CCM wametushika pabaya

CCM wametushika pabaya

Wakuu,
Siku zinavyoenda ndivyo CCM inavyotoa makombora yake (unleash new weapons)... Cha kushangaza UKAWA wanasema "tupuuze" ila kimsingi hizi dozi zinazo tolewa hazivumiliki.

Leo Makamba kamwaga mboga...kumbe Lowassa alikatwa 1995 baada ya kukutwa na Mali zisizo elezeka!!

Kumbe Lowassa ana mashamba makubwa.. Kuyakagua hadi upande helicopter!!

Kumbe Lowassa hakupigana vita ya iddi amini!!

Kumbe dada yake Lowassa kachukua tenda zote za halmashauri ya Monduli!!

Kumbe Lowassa hakerwi na masikini ana kerwa na umasikini wake!!

Kumbe Sumaye ni kabaila, anamashamba mengi mkoloni wa kingereza.!!

Na bado Makamba, kasema kaacha akiba. Najua akiba ataenda kuimalizia Tanga.

Kiukweli haya makombora ni mazito na kiukweli ukawa kwa sasa tumeshikwa pabaya.

Tujipange tena 2020, kwa sasa magufuli kesha fika ikulu.... Naona mkuu wa nchi naye yuko naye bega kwa bega anazidi kuumpa nondo Magufuli.

Wacha hawa wanaokumbatia Jambazi Sugu watalitapika tu.
 
anachokifanya ni sawa na kuponda mawe nyumba ya zege wakati yeye yupo ndani ya nyumba ya vioo. kwa kujua hivyo edo akawashauri tufanye siasa safi
 
Wakuu,
Siku zinavyoenda ndivyo CCM inavyotoa makombora yake (unleash new weapons)... Cha kushangaza UKAWA wanasema "tupuuze" ila kimsingi hizi dozi zinazo tolewa hazivumiliki.

Tujipange tena 2020, kwa sasa magufuli kesha fika ikulu.... Naona mkuu wa nchi naye yuko naye bega kwa bega anazidi kuumpa nondo Magufuli.

Shida moja JF kumeshageuka Jukwaa la Udaku.Hivi unaleta stori za Makama Senior sialikuwa Katibu Mkuu kwa hiyo hakumuona Lowassa wakati akiwa Katibu Mkuu. Vipi anafanya maandalizi ya Mwanaye kuwa Raisi 2020 siyo?.

Mwambie Wapumbafu na Malofa safari hii wamekuwa wajanja kweli kweli.
 
Ni bora mtu ukaishiwa nguo kuliko akili ccm mmefilisika vibaya sana.
 
Ni bora mtu ukaishiwa nguo kuliko akili ccm mmefilisika vibaya sana
 
Mimi kura yangu ni kwa fisadi Lowassa tu, hao wasafi wa CCM wamenisaidia nini?
 
Weww uliyetoa post pamoja na magamba wenzio mmeshafilisika kwa hoja, propaganda yoyote haiwezi kuwabadili watanzania wanaotaka mabadiliko
 
Wakuu,
Siku zinavyoenda ndivyo CCM inavyotoa makombora yake (unleash new weapons)... Cha kushangaza UKAWA wanasema "tupuuze" ila kimsingi hizi dozi zinazo tolewa hazivumiliki.

Leo Makamba kamwaga mboga...kumbe Lowassa alikatwa 1995 baada ya kukutwa na Mali zisizo elezeka!!

Kumbe Lowassa ana mashamba makubwa.. Kuyakagua hadi upande helicopter!!

Kumbe Lowassa hakupigana vita ya iddi amini!!

Kumbe dada yake Lowassa kachukua tenda zote za halmashauri ya Monduli!!

Kumbe Lowassa hakerwi na masikini ana kerwa na umasikini wake!!

Kumbe Sumaye ni kabaila, anamashamba mengi mkoloni wa kingereza.!!

Na bado Makamba, kasema kaacha akiba. Najua akiba ataenda kuimalizia Tanga.

Kiukweli haya makombora ni mazito na kiukweli ukawa kwa sasa tumeshikwa pabaya.

Tujipange tena 2020, kwa sasa magufuli kesha fika ikulu.... Naona mkuu wa nchi naye yuko naye bega kwa bega anazidi kuumpa nondo Magufuli.

Mharoooooo.. kajipange upya, eti UKAWA tumeshikwa pabaya as if na wewe ni UKAWA kumbe ze magambaz... mnaweweseka tu
 
Wananchi tulisha wapuuza hayo maneno yenu kwa sababu na nyie ni wezi zaidi ya lowasa, tumekubali pamoja na tuhuma zake hizi kura tutampigia kumbukeni watanzania wa leo si kama wa mwaka 2005 wakupewa kanga na chumvi ili wawapigie kura siku hizi wanajitambua.
 
Wakuu,
Siku zinavyoenda ndivyo CCM inavyotoa makombora yake (unleash new weapons)... Cha kushangaza UKAWA wanasema "tupuuze" ila kimsingi hizi dozi zinazo tolewa hazivumiliki.

Leo Makamba kamwaga mboga...kumbe Lowassa alikatwa 1995 baada ya kukutwa na Mali zisizo elezeka!!

Kumbe Lowassa ana mashamba makubwa.. Kuyakagua hadi upande helicopter!!

Kumbe Lowassa hakupigana vita ya iddi amini!!

Kumbe dada yake Lowassa kachukua tenda zote za halmashauri ya Monduli!!

Kumbe Lowassa hakerwi na masikini ana kerwa na umasikini wake!!

Kumbe Sumaye ni kabaila, anamashamba mengi mkoloni wa kingereza.!!

Na bado Makamba, kasema kaacha akiba. Najua akiba ataenda kuimalizia Tanga.

Kiukweli haya makombora ni mazito na kiukweli ukawa kwa sasa tumeshikwa pabaya.

Tujipange tena 2020, kwa sasa magufuli kesha fika ikulu.... Naona mkuu wa nchi naye yuko naye bega kwa bega anazidi kuumpa nondo Magufuli.

Bas ccm ndo wajinga kwa kufuga majini sasa yametoka ndani ya chupa yanaanza kuwala wao mnalo hilo toka 95 mnajua kuwa sio msafi mkamuacha saiv anawamaliza lowasa yuleee ushahid mlikuwa nao kwa nn toka 95 mmemuacha
 
Ni upuuzi tu, kama mashamba wanayo kihalali kuna ubaya gani? yani uvivu wako wa kutafuta mali ndio na wengine wasitafute? Mbna mnakuwa bado na akili za kizamani, mnaleta mambo yale ya tangu enzi za nyerere kuwa tuwasubiri wengine kutafuta maisha bora, yani hata kama wenyewe bado wamelala tuwasubiri hadi waamke? Hata uhuru kenyata alipigwa madongo kama hayo kwamba familia yao inamiliki ardh kubwa lakin mwishon ndie alieibuka mshindi
 
Wakuu,
Siku zinavyoenda ndivyo CCM inavyotoa makombora yake (unleash new weapons)... Cha kushangaza UKAWA wanasema "tupuuze" ila kimsingi hizi dozi zinazo tolewa hazivumiliki.

Leo Makamba kamwaga mboga...kumbe Lowassa alikatwa 1995 baada ya kukutwa na Mali zisizo elezeka!!

Kumbe Lowassa ana mashamba makubwa.. Kuyakagua hadi upande helicopter!!

Kumbe Lowassa hakupigana vita ya iddi amini!!

Kumbe dada yake Lowassa kachukua tenda zote za halmashauri ya Monduli!!

Kumbe Lowassa hakerwi na masikini ana kerwa na umasikini wake!!

Kumbe Sumaye ni kabaila, anamashamba mengi mkoloni wa kingereza.!!

Na bado Makamba, kasema kaacha akiba. Najua akiba ataenda kuimalizia Tanga.

Kiukweli haya makombora ni mazito na kiukweli ukawa kwa sasa tumeshikwa pabaya.

Tujipange tena 2020, kwa sasa magufuli kesha fika ikulu.... Naona mkuu wa nchi naye yuko naye bega kwa bega anazidi kuumpa nondo Magufuli.
Kama yale makombora waliompa Slaa yamepita pembeni ni hayo waliompa Makamba. Badala ya kueleza watawafanyia nini watz mnahangaika na mtu ambaye mshamkata kwa pensel.
 
Wakuu,
Siku zinavyoenda ndivyo CCM inavyotoa makombora yake (unleash new weapons)... Cha kushangaza UKAWA wanasema "tupuuze" ila kimsingi hizi dozi zinazo tolewa hazivumiliki.

Leo Makamba kamwaga mboga...kumbe Lowassa alikatwa 1995 baada ya kukutwa na Mali zisizo elezeka!!

Kumbe Lowassa ana mashamba makubwa.. Kuyakagua hadi upande helicopter!!

Kumbe Lowassa hakupigana vita ya iddi amini!!

Kumbe dada yake Lowassa kachukua tenda zote za halmashauri ya Monduli!!

Kumbe Lowassa hakerwi na masikini ana kerwa na umasikini wake!!

Kumbe Sumaye ni kabaila, anamashamba mengi mkoloni wa kingereza.!!

Na bado Makamba, kasema kaacha akiba. Najua akiba ataenda kuimalizia Tanga.

Kiukweli haya makombora ni mazito na kiukweli ukawa kwa sasa tumeshikwa pabaya.

Tujipange tena 2020, kwa sasa magufuli kesha fika ikulu.... Naona mkuu wa nchi naye yuko naye bega kwa bega anazidi kuumpa nondo Magufuli.

TAFUTENI CLIP YA UCHAGUZI KENYA.
Kwenye mjadala wa wagombea U rais Odinga alitumia kigezo hicho cha kuwa familia ya Kenyata ina ardhi kubwa lakini Kenyata aliipangua hoja kuwa yalipatikana kihalali na kisheria.
 
Nilikuwepo kwenye mkutano,kulikuwepo na waototo tuu waliofuata mziki na walevi kadhaa na wamama kutoka vijiji vya jirani na mji wa moro
 
Bahati mbaya sana Makamba sio mgombea vinginevyo ningeweka mambo yake hapa asipate mahala pa kuficha uso wake kwani hata uvungu wa kitanda hautamsitiri.
Hawa waliikuwa ni marafiki wa muda mrefu na Lowasa mbona hakuyasema haya au ndo yale yale ya watalaka kutoa yao ya vyumbani baada ya kutalikiana?
Makamba sisi tunakujua, acha kurusha mawe kenye madirisha ya vioo ya jirani wakati yako pia ina vioo.
CCM wote ni mafisadi ndio maana mtu fisadi kama huyu Lowasa mlikaa naye miaka yote hiyo pamoja na kujua ni fisadi hadi kufikia kumpa uwaziri Mkuu tena baada ya kuwa ametokea kwenye uwaziri wa mifugo alikojilimbikizia hizo ranch unazozitaja Makamba. Jisikie aibu Makamba, wewe kweli ni msafi kweli na kama ni msafi ilikuwaje uwe na urafiki na Lowasa fisadi kwa miaka yote hiyo?
Huaminiki Makamba na hizo kelele zako zaidi sana unazidi kumjenga huyo Lowasa na kwa hali ilivyo sasa wananchi wamekosa mtu muadilifu wanataka kumpa mchawi ili amlee mwana Tanzania. Kama mlikaa na Lowasa fisadi miaka yote hiyo na leo mmeitikia wimbo wa wapinzani waliokuwa wanamwita fisadi nanyi mkakaa kimya na kumtetea, hata huyo Magufuli wenu ni fisadi tu ila mnamnadi leo kuwa msafi tu kwa sababu yuko upande wenu. Akitoka CCM mtauanza wimbo wa ufisadi wake kwani mnajuana jinsi mlivyoifisidi nchi hii.
Kama mumewaelewa Watanzania sasa ni kwamba wanataka CCM iondoke bila kujali nani atasaidia kutimiza adhima hiyo, mmekuwa na kiburi na ubabe kwa ukwasi mlioupata kwa kuwaibia Watanzania hadi kupelekea kuwaita waliowalea miaka yote ati Malofa na Wapumbavu.
Mungu hawakubali wenye kiburi na hakika atawashusha, na safari hii lazima mtashushwa kwa kiburi chenu cha kuvimbiwa.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Wakuu,
Siku zinavyoenda ndivyo CCM inavyotoa makombora yake (unleash new weapons)... Cha kushangaza UKAWA wanasema "tupuuze" ila kimsingi hizi dozi zinazo tolewa hazivumiliki.

Leo Makamba kamwaga mboga...kumbe Lowassa alikatwa 1995 baada ya kukutwa na Mali zisizo elezeka!!

Kumbe Lowassa ana mashamba makubwa.. Kuyakagua hadi upande helicopter!!

Kumbe Lowassa hakupigana vita ya iddi amini!!

Kumbe dada yake Lowassa kachukua tenda zote za halmashauri ya Monduli!!

Kumbe Lowassa hakerwi na masikini ana kerwa na umasikini wake!!

Kumbe Sumaye ni kabaila, anamashamba mengi mkoloni wa kingereza.!!

Na bado Makamba, kasema kaacha akiba. Najua akiba ataenda kuimalizia Tanga.

Kiukweli haya makombora ni mazito na kiukweli ukawa kwa sasa tumeshikwa pabaya.

Tujipange tena 2020, kwa sasa magufuli kesha fika ikulu.... Naona mkuu wa nchi naye yuko naye bega kwa bega anazidi kuumpa nondo Magufuli.

Wewe jamaa unavituko sana "ETI CCM WAMETUSHIKA PABAYA UKAWA" wakati wewe ni "CCM DAMU",Sasa makombora yako wapi hapo???,Wewe jiulize huyo J.makamba mwaka 1995 alikuwa wapi??? maana ata kama alikuwa ni MWANACCM alikuwa hana cheo chochote serikalini hadi kumjua deeply hivyo LOWASSA...sasa jiulize kayajulia wapi hayo anayosema kama sio kapangwa aje kuyasema ili amchafue Lowassa???,NA UKITAKA KUMJUA HUYO JAMAA NI MUONGO NI HAPO ANAPOSEMA "EDWARD LOWASSA" HAJAPIGANA VITA YA IDDI AMINI(UGANDA-TANZANIA WAR_1978-1979) Wakati LOWASSA ALIPIGANA VITA HIYO NA AMETUNUKIWA "NISHANI YA VITA",NAOMBA MTEMBELEE WIKIPEDIA MKASOME PROFILE KAMILI NA HISTORIA YOTE YA LOWASSA NDO MTAGUNDUA JAMAA NI MUONGO NA AMEONGEA PUMBA TU,Jionee mwenyewe hapo chini...

Screenshot_2015-09-06-23-00-18.png

Link: https://en.m.wikipedia.org/wiki/Edward_Lowassa
 
Back
Top Bottom