kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,931
- 7,828
wanatia huruma nyumbu. wanakimbia tu kuelekea malisho kama zombies. mbowe kawauza hata hawatambui.Tatizo hawa nyumbu wao wanamkimbilia tu Lowassa hawajui kua anawatumia kama daraja tu
wanatia huruma nyumbu. wanakimbia tu kuelekea malisho kama zombies. mbowe kawauza hata hawatambui.Tatizo hawa nyumbu wao wanamkimbilia tu Lowassa hawajui kua anawatumia kama daraja tu
Aliondoka mwenyewe baada ya ndoto za kwenda ikulu kufifia ndani ya chama. Km mambo ni haya kwakweli lowasa hafai kuwa rais
Ukiwa wana tabu sana ...yaani kabla hawajasafisha vurumai la Dr Slaa ...Mzee makamba anaongezea taharuki.
Mbele mkiwa mmeinama au mnaangalia nyuma? Tusome namba ya nyuma au ya mbelee?
Sisi Watanzania tumezoea kutoa kura zetu kwa mafisadi...
Tulianza kumpa fisadi 'Denjamani Mkaa Hapa' akatuibia na kuanzisha biashara zake ikulu...
Kuonesha kuwa sisi na mafisadi ni damu damu, tukamrudisha fisadi mwingine tena tukathubutu kabisa kuelezea ni chaguo la Mungu...
Huyu naye kama kaka yake aliyetangulia naye hakulaza damu, EPA, Richmond, Escrow na maufisadi yote yametokea huku yeye akiyatazama maana anajua akiyapigia kelele atapoteza sifa kuu ya sisi wapiga kura kutaka tuongozwe na fisadi...
Sasa mwaka wa kuchagua fisadi mwingine ndio huu umefika, ni mwezi na ushee umebaki...
Bahati nzuri tuna fisadi mwingine ambaye wewe mleta mada umetuelezea kwa kumnukuu kada wa CCM...
Naomba umwambie tu Bw. Makamba kuwa sisi Watanzania desturi yetu ni kuwachagua hawa mafisadi...
Mwambie aache kupiga kelele kwa kuwa tu huyo fisadi anayemnanga hayupo chama chake...
nataka mbatia aitishe tena mkutano wa kumsafisha maana amekuwa na kiherehere cha kujibu mambo yasiyomhusu inajulikana kabisa alijenga mtandao wa wakurugenzi wa wilaya ili yeye na ndugu zake waweze kufanya biashara na serikali bila tatizo
Mwaka 2013 nilikuwa Kenya
Mengi yalisemwa ikiwepo
Unamiliki Aridhi nyingi sana uliipataje......
Umeua watu
Una hela nyingi
Ila mwisho wa siku ni huyo huyo muuaji, mwizi, tapeli ndio Raisi wao na maendeleo yanaonekana sasa tofauti na mwanzo
Uhuru alishinda kwa kutumia ukabila.
Yaani K tatu...Kikuyu,Kamba na Kalenjine.
Hii ni Tanzania ya makabila zaidi ya 120
hako kazee kanafki ndicho kalichoifikisha CCM hapa ilipo Ukatibu wake Mkuu ulivumbikwa na fitna, ukiukwaji wa taratibu, rushwa na ufisadi wa hali ya juu hata waliomfuata kushindwa kurekebisha! kama mnakumbuka uvuaji gamba ulivyoshindwa na mpaka leo mpasuko huu kiini chake ni Makamba na kutengeneza nafasi ya mwanae January kugombea Urais! Fitna za richmond na ufisadi wa Lowassa zimekuzwa sana na kambi iliyoanzishwa kipindi cha huyu mzee na matokeo yake ndo haya! Ninadiriki kusema kama asingepewa Ukatibu Mkuu CCM isingekuwa kwenye hali hii ngumu iliyopo sasa! Na aache kutumia maneno ya Biblia kwenye speech zake zenya nia ya ulaghai wake...
Tatizo hawa nyumbu wao wanamkimbilia tu Lowassa hawajui kua anawatumia kama daraja tu
Usinambie kuwa hakuna makabila mengine ambayo hayakupiga kura
Uhuru alishinda kwa kutumia ukabila.
Yaani K tatu...Kikuyu,Kamba na Kalenjine.
Hii ni Tanzania ya makabila zaidi ya 120
Usinambie kuwa hakuna makabila mengine ambayo hayakupiga kura
Hata akimiliki dunia nzima Lowasa ndiyo rais wetu, kutawaliwa na maskini ni shida ona tumetawaliwa na Kikwete kachungulia kaanza kujilimbikizia hata mgombea wa kijani nae atafanyavhivyo hivyo.dawa ni kuing'oa tu hakuna namna nyinginewanatia huruma nyumbu. wanakimbia tu kuelekea malisho kama zombies. mbowe kawauza hata hawatambui.