Sijui kisheria hili limekaaje, lakini nanusa conflict of interest. Ingawaje ccm ipo pande mbili, kitakiba, Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili tofauti..inawakuwaje Raisi wa Tanganyika (ingawaje pia ni wa muungano) kusimamia mambo ya Nchi ya zanzibar ili hali Raisi wa Zanzibar amejikalia tu kama kibogoyo... mambo gani haya? Tanganyika ni kweli wanathamini muungano, lakini hili la kusimamia uchaguzi wa ccm ya zanzibar, nchi ya zanzibar, serikali ya wazanzibar na uraisi wa zanzibar, tafadhari waacheni wapumue kwa kweli.. mumewakalia sana kooni sana..