Salamu sana wana Jf.
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Leo nina machache tu ya kuyasema kuhusu kampeni zinazoendelea huko Kalenga. Hivi CCM walishindwa kabisa kutafakari kwa kina mpaka wakaamua kumuweka mtoto wa aliyekuwa mbunge ili arithi madaraka? Bado tena wanataka kuleta daftari jipya la kughushi wakati wananchi walijiandikisha mwaka 2010. Huu ukiritimba mwisho tarehe 16 na kisha nguvu zihamie Chalinze....TUMECHOKAAAAAA

Ndo matatizo ya kunywa gongo utotoni!
Aisee nahisi jumapili nitapigwa ban jf maana nimeyaanda moyoni ya kupayuka kwa hawa magamba ikiwezekana toka kwa mkuu wa kaya mpaka hawa simbilisi huku chini,wasiyojua ccm ni ya akina nani ila wao pelepele nyingi.