CCM wamejidunga nusu kaputi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wamejidunga nusu kaputi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by wyclefmore, May 17, 2011.

 1. w

  wyclefmore Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nikiangalia mwelekeo wa ccm siamini macho yangu-ni kama naangalia filamu.kwa nini?.chuki kubwa ambayo imeanza kuchipuka kwa kasi mioyoni mwa watanzania dhidi ya chama hiki ni ufisadi uliokidhiri.na ni kweli kila mtu mwenye akili yimamu hilo analiona.lakini kwa bahati mbaya ccm wamejifanya wamefumba macho,na kama hiyo haitoshi wamekuwa kama mtu aliyejipiga nusu kaputi.wanaendelea kufanya ufisadi kwa kasi ile ile utaniuliza ushahidi-kasome makarabrasha ya mkaguzi mkuu wa hesabu.lakini baya zaidi hawataki kuwachukulia hatua wanaobainika kwa ufisadi.vionngozi wake wanaishia kupiga porojo tu-eti wanawapa mafisadi siku 90 waondoke wenyewe.hiki ni kichekesho kikibwa sana.siku 90 zitapita na hakuna kiatachotokea.pamoja na hilo bado hawatajifunza kuacha kulopoka mambo wasiyoweza kutekekeza. kuwachukulia hatua wote
   
Loading...