Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu siasa ni mbinu,naaam ni mbinu za kisanyansi. CCM imeendelea kufanikiwa sana kisiasa kwa kuweza kuwabadili akili 'makamanda' hata kuamini kuwa Lowassa ni 'Mkombozi'.
Kwa sasa siasa kwa CCM ni rahisi kuliko miaka 20 iliyopita kwani wamefanikiwa kuharibu fikra za 'makamanda' kwa kuwapatia 'makamanda' dawa wanayoitaka kwani sasa wamelala fofofo.
Ninajua wengi mtatoa kejeli kwa uzi huu lakini nafsi zenu zikiwasuta. kwa sasa eti nayeye katengenezewa mazingira ya 'kubanwa' ili aendelee kupata huruma ya kisiasa.
Ninaweka hii hapa JF ili kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
Nawasilisha.

Kijana wewe ndio una mawazo mgando, ukitingisha kichwa kidogo lazima unielewe.Mchana na jua hili kali kama hujala au siku haijaeleweka,lazima upate mawazo mgando
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
MmmhKijana wewe ndio una mawazo mgando, ukitingisha kichwa kidogo lazima unielewe.
Wewe ni mgeni wa siasa na ni mmoja wa 'ulipotupo', kalagabaho...Hahahhahahahahhahahahha,mimi siyo proLowassa lakini jina la Lowassa tu linafanya Mwenyekiti wa Chama Cha Makinikia kupata hasira
Fanyia kazi hayo majibu kisha uingie kwenye mtihani.
- Aisee ni Kweli ndiyo maana mlipora ushindi wa maalim Seif Sharif Hamad, na huku bara mliiba kura za ukawa, Kweli nyie mnajua wizi na dhuluma za hadharani
Hao woote wanaokamatwa wanawahadaa ninyi ili muwaone wapinzani.Mngekuwa mnaamini hivyo, wala msingekuwa mnalitumia Jeshi la Polisi kuwakandamiza wapinzani, kwa kuzuia mikutano yao mpaka ya ndani, wakati nyie mnaendelea na mikutano yenu, msingekuwa mnawakamata na kuwaweka rumande, pale wanapoenda kukutana kwenye vikao vyao vya ndani.. Pia msingekuwa mnatumia nguvu kubwa kuzima mawazo mbadala ya wananchi wengine..
Wewe ni mgeni wa siasa na ni mmoja wa 'ulipotupo', kalagabaho...
Hao woote wanaokamatwa wanawahadaa ninyi ili muwaone wapinzani.
Hao woote wanaokamatwa wanawahadaa ninyi ili muwaone wapinzani.
Ndugu zangu siasa ni mbinu,naaam ni mbinu za kisanyansi. CCM imeendelea kufanikiwa sana kisiasa kwa kuweza kuwabadili akili 'makamanda' hata kuamini kuwa Lowassa ni 'Mkombozi'.
Kwa sasa siasa kwa CCM ni rahisi kuliko miaka 20 iliyopita kwani wamefanikiwa kuharibu fikra za 'makamanda' kwa kuwapatia 'makamanda' dawa wanayoitaka kwani sasa wamelala fofofo.
Ninajua wengi mtatoa kejeli kwa uzi huu lakini nafsi zenu zikiwasuta. kwa sasa eti nayeye katengenezewa mazingira ya 'kubanwa' ili aendelee kupata huruma ya kisiasa.
Ninaweka hii hapa JF ili kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
Nawasilisha.
Kijana ipo siku utaelewa.I wish I could be IGP.Kama ni Soccer basi mlishashindwa kabla hamjaingia uwanjani.