Mkuu Albedo, Waberoya undergoes a metamorphosis whenever the name Zitto is mentioned. Hebu shuhudia aliyowahi kuyasema humu ndani ya JF !
Huyo ndiye Waberoya anayeamini Chadema yuko mwanamme mmoja tu, Zitto !
Katika watetezi wakubwa wa Zitto Waberoya yumo, katika wanaobeza jitihada za Chadema Waberoya yumo, karika wanaomshambulia sana wa Mwenyekiti wa Chadema (Mh. Mbowe) Waberoya yumo, Katika wanaomdhihaki Katibu Mkuu wa Chadema (Dr. Slaa) Waberoya yumo na katika wanaotumiwa bila kujua kutetea ufisadi nchini, Waberoya yumo. Kwa nini nasema hivyo ? Jaribuni kuangalia listi ya wanaokubaliana na Waberoya humu ndani, mtashangaa kwani inatisha. Ninachojiuliza ni kitu gani kimemfanya huyu aliyekuwa moja wa wapiganaji dhidi ya uovu wa Kikwete kubadilika ?
wewe ni Mg3
hujasema na wanaomchukia Nyerere waberoya yumo
Mkuu kuweka rekodi safi, weka post niliyotetea mafisadi! katika post 300 hutakosa hata moja! ukiweza kuweka post ya mimi kutetea mafisadi nitajiuzulu humu!
As amatter of fact huwezi kunielewa wewe! kama umeamua kuniita fisadi na kutetea fisadi tena unaandika kwa ujasiri uhuru wa maoni uko wapi? wewe sema natetea mafisadi halafu uone kwa kwa wewe kusema hivyo kama kunaondoa mafisadi.
Nilishajibu mara nyingi kwa nini niliandika ile article uliyoipost na kwa nini nilirusidha moyo wangu baada ya Zito kujibu hoja! sifuati mkumbo mkuu niko huru kusema Mbowe ni mfanyabiashara na ni rafiki na Lowassa, niko huru kusema Slaa ndiye anakiharibu chama kwa kuweka bifu na Zitto na we have rekod anayojitapa kuwa kapata kura million 2 za watanzania za Zito hajapigiwa kura million 2! Niko huru kusifia remakable move yoyote ile ya CDM inayoonyesha wako serious, tunasubiri maandamono tarehe 5!!!!!!
Mkuu niko huru, ikiwa kila ninachokisema na kuandika unajibu kwa hoja ni wazi tutajibu hoja husika, sasa umekusanya weeeee jinsi ninavyoandika tangu nimejiunga JF!!!! kwa mwazo yako...mimi sina chama, siyo mwanachadema nasema kilicho haki, sasa KAMA KWA MWAZO YAKO UNAONA UKIANDIKA 'kuwa natumiwa na mafisadi bila kujua' basi ujue you are genius na unadserve degree ya kipekee!
Ufisadi my foot! huu tunaoimba mwaka wa sita sasa na hakuna lolote tunalofanya, leo mnataka mtutenge kwa post zetu na mawazo yetu tunaposema ufisadi, naamini nina hasira ya ufisadi zaidi yako wewe!!! nataka tuingie mitaani! nataka hao mnaowasifia wafanye move na sio kuongea na kupiga kelele!
Hivi Mag3 Ukiandika natumiwa na mafisadi basi ndiyo hawaibi? na ndio wanaridisha fedha zetu? hauoni umefikia kiwango cha mwisho cha uwezo wako na kama ngumi za utotoni unakimbilia kung'ata??
Nimerusha dongo humu na NAONA MMEKASIRIKA! wewe ukiwa mmoja wapo ndio mlitaka sana Zito afukuzwe! hicho kijembe ni kuwa bado yumo na yule mliyedhani angekuwa rais anazidi kuaibika! ndiye aliyeongoza wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Zito na waasisi wa chama wakazuia , HII si aibu ya Slaa??
Au pengine una-refer kwenye dowans?? bado una hasira kuwa Dowans Saga mlichemsha na leo tunalia na wewe personally ulihusika kusema tuvunje mkataba na leo tunalia?? bado Zito anakukumbusha kuwa yuko juu na mbali sana zaidi yako!!
Nitaisifia na kuipenda TLP, CUF, CDM, NCCR n.k ikiwa tu ni mahali pa kusifiwa na nitawaponda mahali pa kuponda
Nashukuru umenipa sifa ya kuonekana siyo mfuata mkumbo! naangalia facts, sasa katika facts zako unaweza ku-draw conclusion yeyote ile,ni UHURU WAKO SITAKUTUKANA WALA KUKUKASHIFU KATIKA HILO,
Ila huwa sikuoni kujibu post yangu moja moja na ndiyo maana hauwezi kunisoma na kunielewa NALENGA nini na msimamo wangu ni nini!! Quinine aliuliza sana kuhusu hiyo post MBONA leo umemnanga Zito na kesho namsifia YES, I am prooud of that siwezi kufuata GIZA au upepo, kama nina wasiwasi narusha kombora Zito alijibu hoja zooote za mimi kumnanga kwenye ile article
I believe in Zito, in Mnyika, in Lissu, I believe in Mdee, I believe in Kafulila! kama na wewe ni CDM unafanya mambo nitakusifia, I believe in Hamad junior(CUF), I believe in Magufuli, I believe in Mrema, I believe in Mkapa! NI MIMI ni akili yangu ni mawazo yangu kama unataka substitution ya brain you cant!
You know what I dont hate Mbowe , I hate his ambition and goals being businessman, Slaa amejiharibia kuweka makundi na SIAS ZA CHUKI.. akam uko karibu na chama utajua hili (kama hauishii kubonya keyboard humu) HUWEZI KUAMINI KUNA WAJUMBE WA CDM walioshangilia Slaa kushindwa urais.. alianza vizuri ila kujifanya ujuaji ndiyo kunamponza. NA UNWEZA kaujua Slaa anapendwa zaidi na wasio wanachama kama wewe!kuliko ndani ya CDM
Nataka CDM kama kinataka kiwe mbadala basi kifuate siasa za uhuru zaidi, hasira zangu zilikuja walipovunja na kuhairbu chaguzi za chama! kama wanademokrasia walitakiwa kuanzia ndani, CCM wanatabia ya eti huwezi kumpinga chairman, HIVI KWA AKILI YAKO INAINGIA AKILINI WANACHAMA MILIONI TANO WA CCM hakuna anyechukua form ya urais kushindana na Kikwete!
CDM iko tayari kuona 'obama' na 'clinton' wakisimama majukwaa tofauti wakipingana ili hali wako ndani ya chama...
CDM wako tayari kuweka uchaguzi huru wa kiongozi wa cdm bila kuwekwa mizengwe yoyote ya kuteua chairman?
CDM iko tayari kuwa dream party ambayo hata watoto wadogo wanaweza kusema nitagombea urais kupitia CDM! pasi kuwaza KUWA MTEI ANAMWEKA MKWEWE!
CDM iko tayari kuacha yale yote ya CCM( kina wenye chama) na kufanya kiwe tofauti kabisa???? kama bado basi sahau unapoteza muda!
Sasa unataka kinapoboronga nikae kimya simply kwa sababu wanawapinga CCM!!! I cant, they may be exactly as CCM does!!Kenya taught us the same!
Mag3 ukishindwa kukosoa kitu kwa sababu utaonekana mbaya, then I am sorry I am not the one!!!!!! you are slave of your own mind just because of LOVE!!! pole we!
Ok, endelea kupaint tu kuhusu mimi, NIMEISHAJICHOKEA na maisha haya, we sema tu, halafu uone kama kusema kwako kunabadilisha kitu, kunarudisha hela ya Dowans, andika tu una uhuru pia
Uozo wa CDM baada ya uchaguzi na kuchanganya wanachama tukae kimya!! CDM kugombana na kuibeza CUF-Zanzibar tukae kimya tu!
Tunataka nini, CUF Zanzibar walikaa miaka bila kwenda bungeni! waligoma mpaka allowancee za Kibunge! waambie CEM wafanye hivyo leo huku bara uone kama wanaweza; same cuf CDM mnasema wameolewa, mara CCM-B, mara what?? then tukae kimya tukiona upinzani unakosa nguvu kwa ajili ya watu wachache tu!!
BILA NGUVU YA PAMOJA ccm haitoki madarakani,
sasa sisi observers tunaangalia tu na kuona wapi turekebishe!Thank God!
AMKA WEWE JIPIGANIE , kumsema waberoya humu hakubadili kitu..............
unataka niendelee kuandika mkuu!!
Asante kwa kusema natumiwa na mafisadi bila kujua! hili tusi zuri sana sijakasirikia nimelifurahia, kumbe unaweza hata wewe ukatumiwana mafisadi just kwa kusoma maandiko yako!
will JF be a better place kama wote itakuwa ni wanachadema na post zetu kuwa YES OR NO , or wont be a challengine place to experience heat and answer it!
umenipata?? nakushauri unapoona post zangu zijibu hapohapo, zingine zinahang kwa wewe kutojibu, sasa kukusanya na kugeneralise post 3000 kwa paragraph moja ni tatizo kubwa sana! I can conclude uliandika kwa hasira baada ya kutoa kijembe cha kufunga mwaka!
My stand is JK ni fisadi na mnaowaita wapambanaji waliseme hili waziwazi bila kuuma maneno ! bila hivyo is a wastage of time and we have proved it it for this past 6 years! au pia natumiwa na mafisadi!!
Nitaendelea kuchangamsha jamvi kw mawazo yangu huru yanayokufanya uwaze kutoka many angles !
Lastly!
Sorry!!! I need Violence!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! CCM deserve that kuchekeana chekeana humu hakusaidii kitu! na ndio mnatutafuta uchawi simply kwa sababu HUWEZI KUFANYA KITU unachoweza ni kuandika tu humu, POLE kaka!
Nikishaandikaga maneno marefu kama haya huwa sipo tena kwenye hiyo thread! sina cha kujadili! naaweza bil kujua nikawa natetea mafisadi kwenye hii thread! LOL!