Kama hawataendekeza UCCMNi dalili njema kwa chadema.
Kama hawataendekeza UCCMNi dalili njema kwa chadema.
kwanini zito ndio apewe pongezi wakati kazi hiyo imefanywa na wana kgm wote wapenda mapinduzi. Tuache ushabiki wa kinnafiki. Minasema hongereni wana chadema wote wa kgm, na sio zitto zuberi kabwe.
Ndugu yangu Waberoya, kuna mambo ya msingi ambayo yanahitaji msimamo na kama unakosa msimamo katu huwezi ukajiita mpiganaji, unakuwa mtazamaji period. Kama wazungu wasemavyo you cannot run with the hare and hunt with the hounds, ni kwamba ama uko upande wao au uko na sisi. Tabia ya mtu hujulikana kwa kuwatazama rafiki zake na watu anaoshirikiana na kukubaliana nao kwa kauli na matendo. Waswahili husema Wapemba hutambuana kwa vilemba na vivyo hivyo wazungu pia wana msemo kuwa birds of a feather flock together. Ndio maana mimi siku zote nimekataa kushawishika kuwa ndani ya CCM, chama ambacho kimelea na kinawakumbatia mafisadi, anaweza akakaa mtu ambaye kwa moyo wa dhati anauchukia ufisadi.
Umeniita bendera fuata upepo kwa msimamo wangu wa kuwakataa wote wale wanaomshabikia Kikwete na kujaribu kutomhusisha na vitendo vya chama anachokiongoza au na serikali anayoiongoza. Siyo kawaida yangu kujibizana na watu humu ndani lakini Waberoya unaweza na wewe ukasema kuwa huna ukaribu na watu hao ambao hawana hata jeuri ya kuita koleo kwa jina lake mbele ya Kikwete ? Hivi sasa kwa vijembe vyako dhidi ya Chadema umeweza kuzoa mashabiki kibao wa huu utawala wa kidhalimu. Kila unapomkandia Dr. Slaa, kiongozi pekee aliyewahi kuwataja mafisadi hadharini unapata thanks kibao za akina MS, Jeykey, Tumaini, Omarilyas n.k. Come on admit it Waberoya, they probably got to you and they are very good at that !
Basi hongera wewe!, chaa ajabu humu jamvini ukisoma post zote zilizompa Dr.Slaa, tundu lissu au mbowe pongezi hakuna mtu aliyepinga na ikitokea kupingwa basi hushambuliwa kwa matusi. Hapo ndipo ninapo gundua kua kuna watu wanaangalia majina badala ya uwezo wa mtu.
Chuki binafsi hazifai tubadilike wa TZ
Ubinafsi siku zote ndo unaua chama... Kinachonipa wasiwasi ni ubinafsi ambao upo ndani ya chama chetu, ni ukweli ambao tunajitahidi kuukataa ila upo pale pale...ni bora hii mbegu ya ubinafsi ife mapema kabla ya kuharibu chama. Na pia kuna kila dalili za uroho wa madaraka na kutaka kila mmoja apewe sifa binafsi...hawataki collective appriciation, kila mmoja anataka aonekane yeye kafanya cha maana kuzidi wenzie...sasa hapo sie twasema nooo...ndo maana JK aliwakandamiza kina Magufuli awamu ya kwanza akidhani angeweza kufanya la maana kumbe asijue hata Magufuli akifanya bado sifa zitamuendea yeye na serikali nzima..kwa hiyo sie wa Chadema tusishabikie kabisa watu wanaojitenga na kutaka sifa binafsi..kinachotakiwa ni kuendeleza chama na chama kiweze kuleta maendeleo ya nchi..hatujali amefanya Zitto, Mbowe wala Dr.