CCM wamebana wameachia KIGOMA..!

CCM wamebana wameachia KIGOMA..!

Supervisor

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
559
Reaction score
208
Chadema wamechukua manispaa uchaguzi umefanyika leo na ni shangwe tupu
 
Hongereni sana Kabwe, Kafulila na wenzenu wote.
huyu kaka namshauri agombe uraisi 2015, kwani anaweza ni mtu anaejuwa anacho kifanya. amefanikisha bila hata kupigwa mtu kirungu sio yale ya Arusha, dhahabu ni dhahabu tu! hata uipake tope.
 
Hongera Zitto pamoja nakususwa na waleeee umeonyesha unaweza mwenyewe juhudi binafsi
 
zitto ana uwezo wa kupinga na pia ku negotiate. ni tofauti na hao wengine wa vurugu tu muda wote.
 
kwanini zito ndio apewe pongezi wakati kazi hiyo imefanywa na wana kgm wote wapenda mapinduzi. Tuache ushabiki wa kinnafiki. Minasema hongereni wana chadema wote wa kgm, na sio zitto zuberi kabwe.
 
Kwa hali wana kigoma na chadema kwa ujumla tunawapa pongezi

pamoja tutashinda
 
Tuambieni mbeya vipi maana naona mbeya kulikuwa na mgawanyiko wa madiwani wa ccm?
 
kwanini zito ndio apewe pongezi wakati kazi hiyo imefanywa na wana kgm wote wapenda mapinduzi. Tuache ushabiki wa kinnafiki. Minasema hongereni wana chadema wote wa kgm, na sio zitto zuberi kabwe.

Itakubidi uzoee utani. Kama adui yako (CCM=Topical=MS etc) anashabika mtu wako ujue kuna jambo. Hii ndiyo njia rahisi ya kujua kizazi cha nyoka (Mafisadi). Sasa jiullize Kafulila amekuwa lini CDM mpaka apewe pongezi?
 
''zito afukuzwe chadema!'' hutawaona wakichangai hapa! aibu ya kufunga mwaka 2010!

Hongereni CDM kigoma, najua mnajua naamanisha nini! niseme??
 
Back
Top Bottom