CCM walitoa wapi pesa za kununua haya maeneo yote na majumba

Japo mimi ni ccm lakini uporaji huu siungi mkono kwasababu mimi kamaa mwanachama wa kawaida sifaidiki na chochote.
Kama hivi viwanja vya mpira wanavyoshindwa kuviboresha inasikitisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nifukue maada ndugu mods huu Uzi umetia hasira sana Hivi Hawa CCM wanajiona wao ndio Alfa na Omega hapa nchini?

Ipo siku Yao haiwezekani hii nchi wajimilikishe Kama Yao Sasa lengo la kumtoa mkoloni mzungu ni Nini?

Haya mkoloni mweusi ana Miaka 60 Sasa kazi kwetu kupigania uhuru wa katiba Mpya kukomesha haya!
 
Agenda ngumu hii. Nakumbuka Songea uwanja wa majimaji ulijengwa kibabe na serikali, wananchi wote walienda kujitolea pale miaka ya 1982-82 (Azimio la Mlale) kwa
Kufyatua, kusogeza tofali na kujenga pia, bureee. Leo eti uwanja wa ccm. Duh
 
Back
Top Bottom