CCM walitoa wapi pesa za kununua haya maeneo yote na majumba

Ccm ni zaidi ya ukoloni!!!

kuna wilaya moja wamewanyang'nya halmashauri stand kuu ya mabasi na amna aliedhubutu kuliongelea hli swala popote na siku sio nyingi hii stend (haitumiki tena) itatambulika kama uwanja wa ccm japo hili eneo lilikuwepo mikononi mwa halmashauri tangia likiwa pori!

CCM NI ZAIDI YA WAKOLONI WALIONDOLEWA NA NYERERE!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Babati Mjini baada ya kumnunua Mbunhe wakabeba Stendi.
 
Genge la CCM lipo kwa ajili ya masilahi yao na hawataki watu kuhoji ndiyo maana kila siku wanapigana ili wafunge JF. Hizo ni kodi za wananchi. Cha kushangaza utasikia wanaccm wanaccm wao wana ofisi tena ghorofa wakati imejengwa kwa kodi za wananchi. CCM ni kikundi cha wapiga dili na siku hawa watu wanaondoka madarakani kuna wengine watakufa.
Pia inatumia nguvu kubwa sana kujilinda.
 
Kanu ya Kenya pia ilimiliki kila aina ya mali wakati wa utawala wa Kenyatta Sr na baba Moi ila baada ya anguko la Kanu mahakama ilihusika na kunyang'anywa kila kitu maana mali zilikua za umma na serikali ya Kibaki ikataifusha mali zote, ukawa mwanzo wa kila kiongizi wa chama kujitoa chamani coz hawakuzoea maisha bila ulaji. Ccm siku yao yaja hata kama itakua baada ya miaka 60

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm ni zaidi ya ukoloni!!!

kuna wilaya moja wamewanyang'nya halmashauri stand kuu ya mabasi na amna aliedhubutu kuliongelea hli swala popote na siku sio nyingi hii stend (haitumiki tena) itatambulika kama uwanja wa ccm japo hili eneo lilikuwepo mikononi mwa halmashauri tangia likiwa pori!

CCM NI ZAIDI YA WAKOLONI WALIONDOLEWA NA NYERERE!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwanja wa shule ya msingi kahangalala geita wamejimilikisha mgodi walitaka kujenga uwanja wa michezo wa mkoa ccm wakaingilia kati wakadai uwanja ni wao licha ya kuwa upo eneo la shule....sasa just imagine hadi uwanja wa shule wanadai kuwa wao tena wanadiriki hta kukataa uwanja wa michezo usijengwe leo hii geita licha ya kuwa mkoa bado haina uwanja wa michezo km mikoa mingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm haina jengo hata moja ambalo inalimiliki kwa halali. Majengo yote ya ccm zikiwemo shule,viwanja vya michezo kila mkoa,viwanja nk. Vyote vilikuwa Mali ya chama na serikali wakati wa mfumo wa chama kimoja. Mali zote hizo ni Kodi za watanzania wala si michango ya Kadi ya za ccm.

Tulipoingia kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992,ccm kwa vile walikuwa madarakani,waliamua kujimilikisha majengo,shule,viwanja nk. Ndo maana kuna vijiji unashangaa ccm wana ofisi lkn serikali haina ofisi...!! Jambo la kutia moyo ni kwamba, watanzania tunajua,siku ccm ikiondoka madarakani itakuwa ndo mwisho wa kumiliki hizo rasirimali. Na ccm haitakuja kurudi tena madarakani mpaka dunia inaondoka. Ni km ilivyotokea kwa KANU ya Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umenena vema. CCM walitumia unyang'anyi kupora mali ambazo kihalali mmiliki wake ni serikali. CCM wanashindwa kununua hata ream moja ya karatasi, wangepata wapi pesa za kujenga majengo yote hayo!!!
 
Ccm haina jengo hata moja ambalo inalimiliki kwa halali. Majengo yote ya ccm zikiwemo shule,viwanja vya michezo kila mkoa,viwanja nk. Vyote vilikuwa Mali ya chama na serikali wakati wa mfumo wa chama kimoja. Mali zote hizo ni Kodi za watanzania wala si michango ya Kadi ya za ccm.

Tulipoingia kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992,ccm kwa vile walikuwa madarakani,waliamua kujimilikisha majengo,shule,viwanja nk. Ndo maana kuna vijiji unashangaa ccm wana ofisi lkn serikali haina ofisi...!! Jambo la kutia moyo ni kwamba, watanzania tunajua,siku ccm ikiondoka madarakani itakuwa ndo mwisho wa kumiliki hizo rasirimali. Na ccm haitakuja kurudi tena madarakani mpaka dunia inaondoka. Ni km ilivyotokea kwa KANU ya Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii kitu lini itatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizi ni mali za taifa sema wamepiga tu, ipo siku atakuja kiongozi mzalendo atachukua hivyo vyote maana kiukweli hata jiwe anajua hzo ni mali za taifa lkn anavunga
 
Hili limeniingia mpaka kwenye mifupanikikumbuka miaka ya 73/75 wakati nipo mkoa wa kagera sikumbuki wakati huo ulikuwa unaitwaje Tulikuwa nikinunua pakiti ya sigara inauzwa bei halali shilling 3/ lakini tunaongeza senti 20 =3/20 hiyo senti mchango ujenzi wa UWANJA WA KAITABA wavutaji wana TANU na wasiokuwa wanachama wote tulichangia uwanja.ETI LEO UWANJA WA CCM KAITABA MHHHH.Maendeleo hayana chama

Hiki kitu itabidi tukifikilie mara mbili

Walifanya hivyo lakini hivi Sasa wazee wa Western Lake Zone Region wamerudisha kwa serikali now ni Kaitaba Stadium (Uwanja wa Manispaa).
 
Nafikiri ni kwa sababu ilikuwa ni vigumu kuitenganisha ccm na serikali na kusababisha tofauti ndogo kati ya mali za CCM na za umma kwa sababu ya mfumo wa chama kimoja.

Wakati wa mfumo wa vyama vingi vinaanza cjui kama hili lilizingatiwa. Lisingekuwa jambo rahisi kwa sababu ccm wenyewe ndio ilikuwa inaunda serikali na huwezi kujihukumu mwenyewe maamzi lazima yawe biased au yaegemee upande mmoja unaokufavour na hawakuwepo watu wa kuhoji kutokana na uchanga wa vyama vya upinzani

Nimewaza tu hivyo sina uhakika sababu enzi mfumo wa vyama vingi unaanza hata primary nilikuwa sijaanza

Kwa hiyo kwa mawazo yako boss
Jamaa wameiba mali za serikali hawajanunua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom