subiri uone sarakasi zinazokuja , ccm haitokuja kubadilika milele na milele .ccm ni chama ambacho kinajua kujisahihisha na kwenda na wakati...na kwa spidi ya magufuli kitaongoza miaka 30 mingine...
ntakugonga wima,kama huna majibu ya hoja zangu kaushaKwa hiyo unataka kusemaje??
Huyu ndiyo msemaji wa ofisi ya CAG JF.ntakugonga wima,kama huna majibu ya hoja zangu kausha
Mtazamo wako huo hahahahabasi shoga,ant motochini
Mwanaume uliza jengine
Hotuba ya magufuli ni mkusanyiko wa hotuba na michango ya kambi rasmi ya upinzani ya miaka 10iliyopitwa,hotuba na michango iliyopingwa vikali na wabunge wa ccm na rais kikwete.Kikwete anaambiwa waziwaz kuwa amefanya safari za nje nyingi kuliko hata kwenda kumsalimia mama yake kijijini,wabunge wa ccm walishangilia matapishi yao.
Sasa tatizo liko wapi? Na siyo ndiyo maana ya upinzani? Au wewe upinzani uliuelewaje labda? Kumbuka lengo hapa ni kujenga TanZania na haijalishi mawazo au mapendekezo yanatolewa na nani!
Na hili Raisi Magufuli aliliongelea sana wakati wa Kampeni zake kwamba maendeleo hayana Chama, kwani br. ikijengwa na Serikali ya CCM siyo ya wana CCM tu bali ni ya wote!
Mimi nilifikiri hata utafurahia kwamba CCM wanachukuwa yale mazuri yaliyopendekezwa na Upinzani pmj na watu wengine wasiokuwa na vyama na kuyafanyia kazi kwa manufaa ya TanZania nzima, kumbe ni kinyume chake!
Mkuu jamaa wa UKAWA ni wabunifu na matendo Mambo anayolipuka nayo Magufuli watu waliyaona siku nyingi lkn nyie na watawala wenu kwakua Bongo zenu zimelala mlikuwa mnamsifia JK poleni sana UKAWA hamtawaweza siku zote watakuwa mbele kubuni vitu vyamaa vyakuinua NCH hii
Na ndio maana hata Lowasa kashindwa,kwa tafsiri ile ile Haramu haizai halali!!!!?
Zipi hahahaWanaume hawana tabia kama hizi zako.
Hapa kazi tu. MAJUNGU kwenye vijiwe vya kahawa mtaa wa Ufipa.Inachekesha sana kuona CCM walijivua nguo kwenye yote isipokuwa ishu za katiba pendekezwa na urais wa zenji.
Ni lipi lingine ambalo wapinzani hawakuwahi kulalamika kwenye bajeti zao.Aje mtu hapa aseme.
Wote tunakumbuka kelele za kina Slaa kuhusu safari za nje,CCM wakakebehi.
Nini ulikuwa msimamo wa Mbatia kuhusu elimu bure wakaulizwa hela mtatoa wapi.
Mnyika alihoji sana kuhusu sheria ya manunuzi,CCM walipiga kura za ndiooo.
Wamesahau uchambuzi wa Kafulila kuhusu viwanda na ukusanyaji wa mapato.Alionekana anaongea mambo ya kufikirika.
Lema aliwahi kumwambia Kikwete ampe majina ya wauza madawa awataje, ikaonekana nchi itayumba.
Ile clip ya Msigwa je kuhusu akili ndogo kuongoza akili ndogo.
Tundu Lissu na ulalamishi wake kwenye sheria mbovu na muundo wa muungano.Leo hii ya Zanzibar yanawaumbua.
CCM leo wanashangilia kuramba matapishi bila aibu.Na Mungu alivyo hapendi wanafiki mnaweza msitimize hata moja.UKAWA hatuna haja ya kushabikia maneno we need actions.Tupo makini na tutazidi kuwaonyesha njia za kupita.Tunajipongeza kuwaokota mlipokuwa mmepotea na kuwaweka sawa kuelekea kwenye peak.Niwashauri mtunze akiba ya maneno msubiri vitendo kwanza!!!Acheni ushabiki mandazi jivikeni ujasiri wa kuhoji pale mtakapoachwa ferry