Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,317
- 139,034
Inachekesha sana kuona CCM walijivua nguo kwenye yote isipokuwa ishu za katiba pendekezwa na urais wa zenji.
Ni lipi lingine ambalo wapinzani hawakuwahi kulalamika kwenye bajeti zao.Aje mtu hapa aseme.
Wote tunakumbuka kelele za kina Slaa kuhusu safari za nje,CCM wakakebehi.
Nini ulikuwa msimamo wa Mbatia kuhusu elimu bure wakaulizwa hela mtatoa wapi.
Mnyika alihoji sana kuhusu sheria ya manunuzi,CCM walipiga kura za ndiooo.
Wamesahau uchambuzi wa Kafulila kuhusu viwanda na ukusanyaji wa mapato.Alionekana anaongea mambo ya kufikirika.
Lema aliwahi kumwambia Kikwete ampe majina ya wauza madawa awataje, ikaonekana nchi itayumba.
Ile clip ya Msigwa je kuhusu akili ndogo kuongoza akili ndogo.
Tundu Lissu na ulalamishi wake kwenye sheria mbovu na muundo wa muungano.Leo hii ya Zanzibar yanawaumbua.
CCM leo wanashangilia kuramba matapishi bila aibu.Na Mungu alivyo hapendi wanafiki mnaweza msitimize hata moja.UKAWA hatuna haja ya kushabikia maneno we need actions.Tupo makini na tutazidi kuwaonyesha njia za kupita.Tunajipongeza kuwaokota mlipokuwa mmepotea na kuwaweka sawa kuelekea kwenye peak.Niwashauri mtunze akiba ya maneno msubiri vitendo kwanza!!!Acheni ushabiki mandazi jivikeni ujasiri wa kuhoji pale mtakapoachwa ferry