CCM waliposhangilia kulamba matapishi yao

CCM waliposhangilia kulamba matapishi yao

UKAWA hawana hali ngumu kwani mpaka sasa wanaoisoma namba ni miCCM. Na raisi kama anamaanisha aliyotuahidi wataisoma namba saaaaana. Wanachi tunasubiri awanyoyeshe vizuri hao mafisadi wakubwa. Kumbe ndiyo maana gharama za serikali zilikuwa kubwa sana!!! Walikuwa wanaenda nje kama wanaenda kariakoo tena kijiji kizima kinaenda!!! Semina nje, mikuatano nje nk. Magufuli wanyoshe haoooooo!!!!! Tutaelewa mengi awamu hii na tunamwombea raisi azidi kufanya kweli waisome naaaaamba!!!!!!!
UKAWA wanahali ngumu mno, spidi ya Dr Magufuli imewapoteza kabisa, kwasasa hawajui wasimamie hoja ipi? ya ufisadi ishakuwa kaa la moto, basi wamekuwa ni watu wa matukio tu, sioni hata haja ya uchaguzi wa Raisi 2020
 
Inachekesha sana kuona CCM walijivua nguo kwenye yote isipokuwa ishu za katiba pendekezwa na urais wa zenji.

Ni lipi lingine ambalo wapinzani hawakuwahi kulalamika kwenye bajeti zao.Aje mtu hapa aseme.

Wote tunakumbuka kelele za kina Slaa kuhusu safari za nje,CCM wakakebehi.

Nini ulikuwa msimamo wa Mbatia kuhusu elimu bure wakaulizwa hela mtatoa wapi.

Mnyika alihoji sana kuhusu sheria ya manunuzi,CCM walipiga kura za ndiooo.

Wamesahau uchambuzi wa Kafulila kuhusu viwanda na ukusanyaji wa mapato.Alionekana anaongea mambo ya kufikirika.

Lema aliwahi kumwambia Kikwete ampe majina ya wauza madawa awataje, ikaonekana nchi itayumba.

Ile clip ya Msigwa je kuhusu akili ndogo kuongoza akili ndogo.

Tundu Lissu na ulalamishi wake kwenye sheria mbovu na muundo wa muungano.Leo hii ya Zanzibar yanawaumbua.

CCM leo wanashangilia kuramba matapishi bila aibu.Na Mungu alivyo hapendi wanafiki mnaweza msitimize hata moja.UKAWA hatuna haja ya kushabikia maneno we need actions.Tupo makini na tutazidi kuwaonyesha njia za kupita.Tunajipongeza kuwaokota mlipokuwa mmepotea na kuwaweka sawa kuelekea kwenye peak.Niwashauri mtunze akiba ya maneno msubiri vitendo kwanza!!!Acheni ushabiki mandazi jivikeni ujasiri wa kuhoji pale mtakapoachwa ferry

Naona umesahau kuhusu ufisadi alio uzungumzia sana Dr Slaa. Au leo siyo agenda tena? Maana hiyo nadhani aliondoka nayo mzee wetu Dr. Slaa.
 
Furaha yangu mimi ni kuona
yaliyosemwa na wapinzani
sasa yanatekelezwa na waliyemuita
kada wa ccm,na alipokuwa anatumia slogan za ukawa
hakuna aliyeshtuka,ghafla wamekuta wanaongozwa na
mfuasi wa ilani ya upinzani,mimi hii naitafsiri hii
kuwa Mungu amesikia kilio cha watanzania.

Mbele ya wahujumu uchumi aliweka simba
Nyuma yao akaweka chui,walipomkwepa simba
wamekutana na chui,sasa ni mshike mshike.
ngonja tusubiri ahadi ya kunyanganya
viwanda visivyoendelezwa na vita dhidi
ya rushwa na madawa ya kulevya tuone nani
ataumizwa kati ya wapinzani na chama tawala.

Sisi raia wa kawaida shida yetu ilikuwa
mabadiliko bila kujali yatatokea upande gani.
Nawashukuru UKAWA maana bila wao hali
isingekuwa ilivyo sasa,wito wangu kwa kila
mtanzania ni kuunga mkono kila juhudi
tunayoiona inalenga kutuletea maendeleo.
 
CCM msijidanganye,Haijawai kutokea haramu ikazaa halali, Mara zote haramu huzaa haramu na halali huzaa halali. Rais wetu Magufuli Ana nia njema, lakini hajaingia ikulu kihalali.kwa hali hiyo hawezi kufikia ambition zake kikamilifu.Hiyo ni kanuni ya asili,ikivunjwa maana yake hakuna Mungu.

Kwa mara ya kwanza naanza kuona dalili ya Mungu kutokuwepo duniani..............teh teh teh
 
UKAWA wanahali ngumu mno, spidi ya Dr Magufuli imewapoteza kabisa, kwasasa hawajui wasimamie hoja ipi? ya ufisadi ishakuwa kaa la moto, basi wamekuwa ni watu wa matukio tu, sioni hata haja ya uchaguzi wa Raisi 2020
Mkuu maslahi yako yatakapoguswa naomba usije kubadilisha
jina lako ili uje na malalamiko.
Kiukweli anayoyafanya Mh. Magufuli ni yale wapinzani walikuwa wanasema
kila siku bungeni kama alivyoeleza mleta uzi.

Siamini kama mfuasi wa ukweli wa Dr.Magufuli
ataendelea kuwabeza wapinzani,kwani magufuli mwenyewe
amekemea vijembe visivyo na tija kwa taifa na kuwataka
watanzania wote kuungana kufanya kazi.
 
UKAWA wanahali ngumu mno, spidi ya Dr Magufuli imewapoteza kabisa, kwasasa hawajui wasimamie hoja ipi? ya ufisadi ishakuwa kaa la moto, basi wamekuwa ni watu wa matukio tu, sioni hata haja ya uchaguzi wa Raisi 2020

hayo maneno yamekusafisha akili yote naona,,time will tell
 
Zipi hahaha

Acha utoto wewe, nyie ndio mnaochangia Act idharauliwe kwa jinsi unavyojinasibisha nayo halafu unarukia kila post na kuishia kuchangia chuki. Hizi chuki unazoeneza hapa zinatoa taswira kwamba Act iko kwa ajili ya shari dhidi ya cdm/wapinzani na hizo inazosema sera nzuri ni kiinimacho tu ili kuficha uhayawani wake. Please kama huwezi kuchangia kwa busara ni bora ukachangia kwa upuuzi unavyopenda bila kujinasibisha na Act kwani unaharibu haiba ya chama chenyewe na sidhani hata hao viongozi wanakubaliana na upuuzi wako.

CC: Kitila mkumbo, Zitto
 
UKAWA wanahali ngumu mno, spidi ya Dr Magufuli imewapoteza kabisa, kwasasa hawajui wasimamie hoja ipi? ya ufisadi ishakuwa kaa la moto, basi wamekuwa ni watu wa matukio tu, sioni hata haja ya uchaguzi wa Raisi 2020

'Mkinichagua, nitawapeleka wapinzani Makumbusho' (Magufuli, 2015). Ukitaka kuona ama kusikia kuhusu upinzani au UKAWA nenda Makumbusho ya Taifa, utawakuta huko.
 
UKAWA wanahali ngumu mno, spidi ya Dr Magufuli imewapoteza kabisa, kwasasa hawajui wasimamie hoja ipi? ya ufisadi ishakuwa kaa la moto, basi wamekuwa ni watu wa matukio tu, sioni hata haja ya uchaguzi wa Raisi 2020

wewe kweli ni mwehu sana, huon kwa akili zako mchovyo magufuli anajaribu kutekeleza malalamiko ya ukawa miaka nenda miaka rudi? ukawa ndio ilikuwa inapiga kelele kuhusu ata safari za nje za jk?

Hoja za ukawa zipo nyingi sana subiri bunge lichangamke ccm system yao ni ile ile haiwez kubadilika usidhan magufuli ataleta change ni usanii ule ule tu.

wewe umeona wapi hela leo imekusanywa dakika hiyo hiyo vinanunuliwa vitanda hakuna muda wa kufanya manunuzi ni utapeli tu na uongo.
 
Inachekesha sana kuona CCM walijivua nguo kwenye yote isipokuwa ishu za katiba pendekezwa na urais wa zenji.

Ni lipi lingine ambalo wapinzani hawakuwahi kulalamika kwenye bajeti zao.Aje mtu hapa aseme.

Wote tunakumbuka kelele za kina Slaa kuhusu safari za nje,CCM wakakebehi.

Nini ulikuwa msimamo wa Mbatia kuhusu elimu bure wakaulizwa hela mtatoa wapi.

Mnyika alihoji sana kuhusu sheria ya manunuzi,CCM walipiga kura za ndiooo.

Wamesahau uchambuzi wa Kafulila kuhusu viwanda na ukusanyaji wa mapato.Alionekana anaongea mambo ya kufikirika.

Lema aliwahi kumwambia Kikwete ampe majina ya wauza madawa awataje, ikaonekana nchi itayumba.

Ile clip ya Msigwa je kuhusu akili ndogo kuongoza akili ndogo.

Tundu Lissu na ulalamishi wake kwenye sheria mbovu na muundo wa muungano.Leo hii ya Zanzibar yanawaumbua.

CCM leo wanashangilia kuramba matapishi bila aibu.Na Mungu alivyo hapendi wanafiki mnaweza msitimize hata moja.UKAWA hatuna haja ya kushabikia maneno we need actions.Tupo makini na tutazidi kuwaonyesha njia za kupita.Tunajipongeza kuwaokota mlipokuwa mmepotea na kuwaweka sawa kuelekea kwenye peak.Niwashauri mtunze akiba ya maneno msubiri vitendo kwanza!!!Acheni ushabiki mandazi jivikeni ujasiri wa kuhoji pale mtakapoachwa ferry

Unachekesh sana maana unaweweseka
 
Back
Top Bottom