Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,632
CCM imefungia huu mtandao kwa muda wa siku 90.
Ila wapiga kelele maarufu wa CCM naona nao wamegoma kupumzika bado wapo humu wana randa randa.
Hii inaashiria hata na wao hawakubaliani na uongozi wa Serikali iliyopo na inayotaka kuingia ya CCM ndio maana kwenye ule uzi wa michango kwa ajili ya Maxence nao wamechangia
Nimeona mpaka yule kada wao maarufu LM kachangia buku 5.