CCM walimfanyia unyama Baba yangu mzazi

CCM walimfanyia unyama Baba yangu mzazi

CCM walaghai sana, walimpatia hadi mzee wako mke?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Kisandu una umri gani?
Samahani lakini.

Naogopa kuifananisha akili yako na ya mwanangu coz ntakua nimemdharau sana.
Anyways,Mungu akusaidie.
 
Ndungu umenyima u das,u dc au rc nakushauri achana na siasa fanya maisha na jenga familia usije fanya kama baba yako
 
hakuna mtu anapewa mke na CCM bana, mzee wako alimpenda shangazi huyo wa CCM akanogewa penzi katikati ya kampeni akalikamata jimama akalioa, akaacha siasa. Hajakwambieni ukweli wanae.
 
hahahahaaaaaa!!
hii ndio raha ya jf maana hata waliopotea route kichwani wanakuja huku.
ndugu yetu Deo usikate tamaa.endeleza gemu.bila wewe leo nisingecheka sana hadi machozi kunitoka.
 
Maskini Kisandu ! CCM wamemchezea akili sababu ya ukatibu kata !

Wito kwa ndugu zake - muoneni profesa Maji Marefu haraka , mkiwa na kuku mweusi .
 
Back
Top Bottom