Nathason2
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 598
- 680
Kisandu wewe ni Rafiki yetu mwema unachojaribu kufanya ni kutushirikisha hisia zako lakini pia wewe ni mtu wa dini mi nakushauri usome Luka 20
9.Akaanza kuwaambia watu mfano huu; Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu; akapangisha wakulima, akaenda akakaa katika nchi nyingine muda mrefu.
10 Na wakati wa mavuno alituma mtumwa kwa wale wakulima ili wampe baadhi ya matunda ya mizabibu; wakulima wakampiga wakamfukuza mikono mitupu.
11 Akatuma na mtumwa mwingine. Wakampiga huyu naye, wakamwaibisha wakamfukuza mikono mitupu.
12 Akamtuma na wa tatu; huyu naye wakamtia jeraha, wakamtupa nje.
13 Basi, bwana wa shamba la mizabibu alisema, Nifanyeje? Nitamtuma mwanangu, mpendwa wangu; yamkini watamheshimu yeye.
14 Lakini, wale wakulima walipomwona, walishauriana wao kwa wao, wakisema, Huyu ndiye mrithi; haya, na tumwue, ili urithi uwe wetu.
15 Wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamwua. Basi, bwana wa shamba la mizabibu atawatendeje?
kwa hiyo bwana kisandu unavyojiapisha fikiria na hayo niliyokuambia hapo juu