Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
JINSI CCM WALIVYO MTENDA MABAYA BABA YANGU.
Baada ya marehemu Mbunge Khanga wa jimbo la Kahama kuingia kwenye kesi ya kuibiwa gari la SERIKALI na skendo zingine, alivuliwa ubunge miaka 90s. Mzee wangu Nalimi Kisandu alichukua Fomu ya kugombea Ubunge kipindi hicho jimbo la Kahama.
Mzee walimuwekea vikwazo sana na upinzani sana, walifanya kila mbinu na kumuahidi kumtafutia nafasi nyingine ndani ya CCM akiwemo aliyekuwa mbunge jimbo la Msalala Ndg. Manyambonde. Walimshawishi sana.
Nakumbuka siku anatuambia alikuwa akilaumu sana "CCM wananionea kwa kuwa Mimi sija soma, ngoja nitengeneze kiboko yao hata wakiniua Mungu atakuja kujizihirisha kwa wanangu"
Walichokifanya Viongozi wa CCM mkoa wa Shinyanga ni kumshawishi aoe mwanamke ambaye ni kiongozi ndani ya CCM, mzee aliwakatalia sana, wakamwambia lah sivyo hutapata Ubunge. Ndipo rafiki yake MWL. Said Mselemu alipomshauri aoe tu.
Basi Mzee akapewa Mke ambaye ni Katibu wa CCM wilaya ya Kahama, Ndg Rose Mwesiga akawa mke na mama yetu wa kufikia. Na hapo ndio ukawa mwisho wa safari yake ya harakati za kisiasa. "Wewe Kisandu tumekupa mke Ubunge wa nini tena?" Kauli hiyo ilimkera mzee, ilikuwa ikitolewa na wapambe wa CCM.
Na hata alipotaka kuhamia Chama cha NCCR-Mageuzi kuwafata kina Ndg. Makongoro walimpiga mkwara kisa wamempa mke. Kitendo cha Mzee kuishia Darasa la sita kilimfanya aone manyanyaso sana ndani ya CCM. Nakuamua kuachana na Udj wa kuwasaidia CCM kwenye Kampeni zao.
Nakumbuka ilifikia hatua alikuwa anasema bora ninge baki Arusha labda wasingefanya hizi fitina.
Hayo ni ya Mzazi wangu, Leo Mimi mtoto wake Deogratius wanania adhiri vilevile, huku wakisema Deo mpaka akizile chama au ajinyonge, lakini Mimi nimesoma, nitawakomesha hasa.
R.I.P Nalimi Kisandu.
Deogratius .N. Kisandu
6 Januari 2017