CCM wakosa umma Singida

CCM wakosa umma Singida

muhosni

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,108
Reaction score
154
Itv habari leo asubuhi

Wa windsurf Nape na Chiligati wakiutubia umati mdogo wa wananchi ambao idadi kubwa Yao walikuwa wamevaa sare za ccm. Idadi hiyo ni ndogo sana ukilinganisha na umma unaohudhuria mikutano ya Chadema. Hata hotuba zao hazikusisimua
 
ndiyo mwanzo wa kushuka chini... na kupotea kwenye ramani ya nchi hii..
 
Hiyo inatuambia kuwa wale alokuwa wanahuzuria mikutano ya kampeni walikuwa ni wa kununua tu.
 
Nape na wenzake wakoloni weusi ndiyo mwisho wao,ccm imeshakufa muda.
 
Nape anaiharibu CCM. Inabidi wamwangalie kwa makini anachokiongea asije akakiingiza chama matatani
 
Itv habari leo asubuhi

Wa windsurf Nape na Chiligati wakiutubia umati mdogo wa wananchi ambao idadi kubwa Yao walikuwa wamevaa sare za ccm. Idadi hiyo ni ndogo sana ukilinganisha na umma unaohudhuria mikutano ya Chadema. Hata hotuba zao hazikusisimua

Mbona hujmalizia wengi wao ajuza wasioelewa wamefata nini na watu ambao hawana kazi zakufanya
 
This makes my day bright coz walikuwa wanafikiri wananchi tunakokotwa na chadema sa watajua wananchi tunafikiri wenyewe na kuamua wenyewe na tumewachoka kinachofata wasipoelewa ni mawe kila wanapoonekana,
 
Sidhani kama walifika200...Ohoooooo! the dying poor ccm!!
 
Wananchi waliogopa kuja kwa sababu mara nyingi walikuwa wakipewa posho za mahudhurio (1000/- or 2000/- pengine hata mia 5) lakini safari hii magamba yenye fedha yana mgogoro yako katika utata! Kumbe mahudhurio yao kwenye mikutano hiyo haikuwa ya dhati ila a facade for money quest kupooza machungu ya maisha. Ukweli unajulikana kwamba washajua kwamba kwa hao kina nepi hakuna suluhisho la matatizo yao.
 
Zile zama za kumshangilia 'mtoto' na kumsikiliza eti kwakua 'baba' kamtuma imepita. Wanasiasa wanaokubalika ni wale walio na ushawishi kutokana na bongo zao na wanaosimama kwa miguu yao. Mambo ya kutumwa eti kahamasishe chama wakati wanaokuangalia hawaamini nia ya aliyekutuma utamvuta nani katika tanzania ya leo. Wajinga wa kufuata t-shirt na kuangalia misafara ya magari wanazidi kuisha na ndio maana kwenye mikutano ya ccm wamebaki na vikongwe visivyojua mbele ni wapi kwani vimepoteza matumaini na vijana waliohamasishwa kwa MSHIKO.
 
Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho,ccm ni mwaka wao kulia machozi ya damu.imekwisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom