Huyu ndio kichwa cha maccm kalenga, msanii aliefulia katika tasinia zote, sasa ndio kimbilio la maccc
kalenga kutokana na uhusiano wake na Godfey Mgimwa- na Dokii anamponza, wataumbuka wote
Hata ikitokea CHADEMA wakiona mwezi kwenye bakuli kwa kushida KALENGA, bado watanzania wanawachora tu! Haiwezekeni CHADEMA kikawa chama cha wananchi walio wengi. CHADEMA ni kikundi kidogo cha wahuni fulani.