E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 25,975 Reaction score 25,292 Mar 10, 2014 #61 mwakaila said: !!!hiruma ndio nn tena Relax mama yangu Click to expand... ...Mkuu mwakaila waheshimu wajane msamehe !!!
mwakaila said: !!!hiruma ndio nn tena Relax mama yangu Click to expand... ...Mkuu mwakaila waheshimu wajane msamehe !!!
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,077 Reaction score 132,547 Mar 10, 2014 #62 chunga na unnachosema wewe....usipojonyonga tukufanye nini....?
iCode JF-Expert Member Joined Oct 16, 2013 Posts 770 Reaction score 459 Mar 10, 2014 #63 CCM watapiga counter attack, usijijmini sana...wanawadanganyeni them 2 days b4 wenyewe mtashangaa..
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Mar 10, 2014 #64 Yani we kweli una akili za kitoto kabisa. Mods hii mada hinapaswa kwenda jukwaa la jokes au chit chat. Huku ni zaidi ya kuchanganyikiwa.
Yani we kweli una akili za kitoto kabisa. Mods hii mada hinapaswa kwenda jukwaa la jokes au chit chat. Huku ni zaidi ya kuchanganyikiwa.
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,279 Mar 10, 2014 #65 lusungo said: Ha ha ha Halafu wa ngarenaro huyo Click to expand... Kumbe ni mtoto wa hapa hapa NGALELO tunaongea lugha moja kabisa, ngoja niendelee kumchombeza, siasa sio uadui lusungo naweza nikamrudisha kundini!
lusungo said: Ha ha ha Halafu wa ngarenaro huyo Click to expand... Kumbe ni mtoto wa hapa hapa NGALELO tunaongea lugha moja kabisa, ngoja niendelee kumchombeza, siasa sio uadui lusungo naweza nikamrudisha kundini!
D Danisamweswa JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 453 Reaction score 154 Mar 10, 2014 #66 Lukansola said: sijawahi kuona mnyama mlalamishi kama wewe... hahaha, eti wanyama kama sisi lol. Click to expand... sasa si unaona jamaa kaniita kenge wangu? Nimekubali hilo jina ila nimemshangaa anatumia muda wake kuwasiliana na kenge wakati binadamu wapo.
Lukansola said: sijawahi kuona mnyama mlalamishi kama wewe... hahaha, eti wanyama kama sisi lol. Click to expand... sasa si unaona jamaa kaniita kenge wangu? Nimekubali hilo jina ila nimemshangaa anatumia muda wake kuwasiliana na kenge wakati binadamu wapo.
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,504 Reaction score 42,577 Mar 10, 2014 #67 MSALANI said: Kumbe ni mtoto wa hapa hapa NGALELO tunaongea lugha moja kabisa, ngoja niendelee kumchombeza, siasa sio uadui lusungo naweza nikarudisha kundini! Click to expand... Ha ha ha Kabisa mkuu siasa si uadui chombeza mkuu umtoe katika ulimwengu wa Giza Atakuelewa tu mkuu si unajua ukubwa dawa? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MSALANI said: Kumbe ni mtoto wa hapa hapa NGALELO tunaongea lugha moja kabisa, ngoja niendelee kumchombeza, siasa sio uadui lusungo naweza nikarudisha kundini! Click to expand... Ha ha ha Kabisa mkuu siasa si uadui chombeza mkuu umtoe katika ulimwengu wa Giza Atakuelewa tu mkuu si unajua ukubwa dawa?
swagazetu JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 4,253 Reaction score 1,475 Mar 10, 2014 #68 Vyama vingine hakuna huko!!! Ccm ccm ccm ccm,chadema chadema! Cuf je¡
C casampeda JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 2,900 Reaction score 507 Mar 10, 2014 #69 Lazima uwe MCHAGA.
stanlthecreator JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 1,947 Reaction score 648 Mar 10, 2014 #70 Bahati nzuri Tunakufaham tutakunyonga wenyewe ina maana huwafaham ccm vizuri au una act?
M mmaranguoriginal. JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 4,060 Reaction score 460 Mar 10, 2014 #71 presenter said: Jamani video mpya iliyoongozwa na Nisher imetoka Click to expand... huyu dent wa form one katoka wapi huku kakosea njia au
presenter said: Jamani video mpya iliyoongozwa na Nisher imetoka Click to expand... huyu dent wa form one katoka wapi huku kakosea njia au
DALLAI LAMA JF-Expert Member Joined Jan 31, 2012 Posts 8,652 Reaction score 2,642 Mar 10, 2014 #72 Matokeo ya kalenga yatakuwa SIOI Remix.
M mmaranguoriginal. JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 4,060 Reaction score 460 Mar 10, 2014 #73 lusungo said: Ha ha ha Halafu wa ngarenaro huyo Click to expand... nadhani ni sombetini mitaa ya kina jumanne mjusi mbwia sembe
lusungo said: Ha ha ha Halafu wa ngarenaro huyo Click to expand... nadhani ni sombetini mitaa ya kina jumanne mjusi mbwia sembe
WENYELE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,461 Reaction score 1,545 Mar 10, 2014 #74 Mwana Mpotevu said: wacha we! Naona English is reachable here! Click to expand... Bora ajinyonge tu...mkuu hiyo ndo elimu ya div 5
Mwana Mpotevu said: wacha we! Naona English is reachable here! Click to expand... Bora ajinyonge tu...mkuu hiyo ndo elimu ya div 5
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,504 Reaction score 42,577 Mar 10, 2014 #75 mmaranguoriginal. said: nadhani ni sombetini mitaa ya kina jumanne mjusi mbwia sembe Click to expand... Naona pamewaka moto wakati unalitaja jina la huyo mlume... abakorakamo njoo umchukue mgeni wa mjusi huku Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mmaranguoriginal. said: nadhani ni sombetini mitaa ya kina jumanne mjusi mbwia sembe Click to expand... Naona pamewaka moto wakati unalitaja jina la huyo mlume... abakorakamo njoo umchukue mgeni wa mjusi huku
cerxm Member Joined Nov 14, 2013 Posts 56 Reaction score 9 Mar 10, 2014 #76 We jiandae kufa ka Vp chimba kabsa kaburi watu wakufukie tu au safisha pa kukjfukia
Nyanidume JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,409 Reaction score 1,151 Mar 10, 2014 #77 We kweli mpuuzi yaani unaidhurumu nafsi yako kwa mambo ya kipuuzi? kwa upuuzi wako ni bora ufe ili namba ya wapuuzi ipungue ili tubaki na wapuuzi wajanja wachache ambao wamekusababishien muwe wapuuzi huku wenzenu wanakula bata.
We kweli mpuuzi yaani unaidhurumu nafsi yako kwa mambo ya kipuuzi? kwa upuuzi wako ni bora ufe ili namba ya wapuuzi ipungue ili tubaki na wapuuzi wajanja wachache ambao wamekusababishien muwe wapuuzi huku wenzenu wanakula bata.
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,279 Mar 10, 2014 #78 lusungo said: Ha ha ha Kabisa mkuu siasa si uadui chombeza mkuu umtoe katika ulimwengu wa Giza Atakuelewa tu mkuu si unajua ukubwa dawa? Click to expand... Kweli kabisa kaka, ngoja nipambane! kabla BABU hajashtukia GAME!
lusungo said: Ha ha ha Kabisa mkuu siasa si uadui chombeza mkuu umtoe katika ulimwengu wa Giza Atakuelewa tu mkuu si unajua ukubwa dawa? Click to expand... Kweli kabisa kaka, ngoja nipambane! kabla BABU hajashtukia GAME!
M mmaranguoriginal. JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 4,060 Reaction score 460 Mar 10, 2014 #79 lusungo said: Naona pamewaka moto wakati unalitaja jina la huyo mlume... abakorakamo njoo umchukue mgeni wa mjusi huku Click to expand... hivi huyu pimbi abakorakamo yupo mwenye ubongo wa kuku kama msalani na lusungo wanaotoka maeneo ya matejoo au ngarenaro kwa jambazi jumanne mjusi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
lusungo said: Naona pamewaka moto wakati unalitaja jina la huyo mlume... abakorakamo njoo umchukue mgeni wa mjusi huku Click to expand... hivi huyu pimbi abakorakamo yupo mwenye ubongo wa kuku kama msalani na lusungo wanaotoka maeneo ya matejoo au ngarenaro kwa jambazi jumanne mjusi
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,504 Reaction score 42,577 Mar 10, 2014 #80 MSALANI said: Kweli kabisa kaka, ngoja nipambane! kabla BABU hajashtukia GAME! Click to expand... Mhh nakweli maana mzee yule hatari anapenda ujana kama Mugabe!!!
MSALANI said: Kweli kabisa kaka, ngoja nipambane! kabla BABU hajashtukia GAME! Click to expand... Mhh nakweli maana mzee yule hatari anapenda ujana kama Mugabe!!!