Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 724
- 295
Ila tanzania imekaribia sana kuifikia Libya, Yemen, Tunisia nk yaani bado kidogo sana!
Ila tanzania imekaribia sana kuifikia Libya, Yemen, Tunisia nk yaani bado kidogo sana!
CCM is above the law
kukamatwa kwa CDM kunasaidia kuongeza hasira
Ila tanzania imekaribia sana kuifikia Libya, Yemen, Tunisia nk yaani bado kidogo sana!
Hata kama wangekamata mtu kwenye mkutano mmoja tu yatosha kuwepo kwa hii thred, kwanini Nape hakamatwi wakati nayeye anachochea vurugu kwa kuisema vibaya chadema?This is selective memory! CDM wametoka kufanya mikutano kanda ya ziwa (uninterrupted) wakaenda kanda ya nyanda za juu wakapiga mikutano (uninterrupted) na kwa ujumla wakasema wamefikia watu katika vijiji zaidi ya 475. Wakati huo kule Mbeya ikawa inaendelea Twanga Kote Kote. Sasa hiyo mikutano ya Singida and I don't where ndo sasa inageuka kuwa ni msingi wa hoja hii tasa? Have you gone deeper to establish the source of the recent crack down?
Sasa hawa maswaiba wakija kutolewa madarakani si itabidi na serikali yote ifanyiwe marekebisho
Hata kama wangekamata mtu kwenye mkutano mmoja tu yatosha kuwepo kwa hii thred, kwanini Nape hakamatwi wakati nayeye anachochea vurugu kwa kuisema vibaya chadema?
Kukamatwa ndiyo mtaji wa siasa wenyewe e,g leo JK na mbowe jamii inasupport CDM wanajitolea kufa na kupona 2015 IKuluNashindwa kuelewa hapa Watanzania, wenzetu CCM wanakata mikutano ya hadhara bila shida kabisa, CDM wakifanya tu wanakamatwa! kulikoni? Inabidi na Na Nnauye wamkamate, wakishindwa tunaweza kumkamata sisi!:majani7::shut-mouth: