William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
matusi hapana, viroja hapana, hoja tu jamani lakini ni lazima tusimamie na kutetea itikadi zetu
Vizuri sana.
Ila itikadi ya CCM ni ipi?
- kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa CCM!!
- Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi
- KIFE CCM! KIZIKWE CHAMA MFU!!
- CCM ndio kwanza tumezaliwa upya, so pole pole utaanza kuziona tupo kwenye kuzi-redifine na soon utaziona hapa just fasten your belt!! ha! ha!
Es!
- Naomba kuwaaamsha usingizini wale wote ambao bado wamelala usingizini, people tupo vitani yaani kwenye vita vya Itikadi za vyama vyetu vya siasa, wenzetu huko Chadema walianza siku nyingi sisi CCM tulikuwa bado hatujaelewa hilo, lakini Inshallah sasa somo limeanza kueleweka, matusi hapana, viroja hapana, hoja tu jamani lakini ni lazima tusimamie na kutetea itikadi zetu, kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa CCM!!
- Simama juu uhesabiwe! People msidanganywe hakuna chama cha upinzani kinachotutakia mema CCM wote wanegependa kuona wanatushinda na CCM inakufa, sasa msijidanganye na siasa za kujifanya kukubalika kila upande ninawaona wanasiasa wengi wakijaribu kuwa kila upande poleni sana, CCM lazima tusimame imara na hakuna kuogopa!! Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi, kumbukeni kwamba:- "IN LIFE IF YOU DON'T STAND FOR SOMETHING, YOU WILL FALL FOR ANYTHING"
- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!
FMES - SAUTI YA UMEME!!
Unataka kusema CCM haina itikadi kwa sasa, miaka 35?!?
Hizo mnazo zirefine ni zipi?
Kwa nini mnazirefine sasa?
What do u stand for?
- ha! ha! ha! sio tena mke wa William Malecela ila ni William Malecela Le Mutuz! ha! ha! ha! saafi sana!!
Es!
Im serious..- ha! ha! ha! are you serious kwamba hujui what I stand for? uliza wengine watakwambia! ha! ha!
Es!
If you don't know where you are going, any road will take you there! Hivi adui wa CCM ni nani tena wakuu - hebu msaidieni huyu 'consultant!.
- CCM ndio kwanza tumezaliwa upya, so pole pole utaanza kuziona tupo kwenye kuzi-redifine na soon utaziona hapa just fasten your belt!! ha! ha!
Es!
- iTIKADI ZIPO NDIO MAANA TUMEKUWA TUKICHAGULIWA KWA MIAKA 51 SASA KUTAWALA NCHI, LAKINI NYINGI ZIMEPITWA NA WAKATI NDIO MAANA TUPO KWENYE KUZI-REDEFINE NA SOON UTAONA ZIKIMWAGWA HAPA JF, MAANA SASA CCM NI KAZI TUPU, CCM NI UMOJA!, NA CCM NI USHINDI TU!!
- KIDUMU CCM!!
Es!
- Duh!!
Es!