CCM WAKE UP!! We Are At War! So All Weapons Are Fair Game!!

Status
Not open for further replies.
Apr 27, 2006
26,588
10,364
- Naomba kuwaaamsha usingizini wale wote ambao bado wamelala usingizini, people tupo vitani yaani kwenye vita vya Itikadi za vyama vyetu vya siasa, wenzetu huko Chadema walianza siku nyingi sisi CCM tulikuwa bado hatujaelewa hilo, lakini Inshallah sasa somo limeanza kueleweka, matusi hapana, viroja hapana, hoja tu jamani lakini ni lazima tusimamie na kutetea itikadi zetu, kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa CCM!!

- Simama juu uhesabiwe! People msidanganywe hakuna chama cha upinzani kinachotutakia mema CCM wote wanegependa kuona wanatushinda na CCM inakufa, sasa msijidanganye na siasa za kujifanya kukubalika kila upande ninawaona wanasiasa wengi wakijaribu kuwa kila upande poleni sana, CCM lazima tusimame imara na hakuna kuogopa!! Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi, kumbukeni kwamba:- "IN LIFE IF YOU DON'T STAND FOR SOMETHING, YOU WILL FALL FOR ANYTHING"

- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

FMES - SAUTI YA UMEME!!
 
Maumivu ya kichwa huanza polepole. maumivu sio mzaha, na dawa yake unahitaji..... are you calling people to express their opinions or showing their convictions?? What if they don't have any? is this going to be your own war?
 
Mimi ni mwana CCM lakini nataka unieleze kwanza ule utapeli wa ki-nigeria ulioufanya hapa JF kwa kutangaza eti unawatafutia watu kazi USA halafu wale waliokupa fedha ukawaingiza chaka ni kwanini?
 
Naona mod wako Busy na kufuta post zangu (Nakala kwa Invisible, Fang, )

Lakini i shoul tell you the truth

This thread is rubbish what can be discussed here?

Mkuu hiki sio kijiwe cha FB leta thread za maana

How can great thinker discuss about kulala na kuamka kwa CCM?
 
Last edited by a moderator:
- kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa CCM!!

Hivi Itikadi ya ccm ni ipi? Ubepari wa Soko Holela?

I like ccm. They normal preach contrary to what they implement. Just refer to these contradictory statements:

  • Tanzania ni Muungano wa Nchi Mbili; Tanganyika na Zanzibar! Iko wapi Tanganyika?
  • Tanzania ni nchi ya siasa za Ujamaa na Kujitegemea! Wakati ccm na Serikali wako busy kama makuwadi wa soko holela kuuza kila kitu. Bado kidogo watauza hadi viwanja vya Ikulu
  • Makao Makuu ya Tanzania ni Dodoma--Serikali nzima na wizara zake inaishi na kufanyia kazi Dar?!

- Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi

- KIFE CCM! KIZIKWE CHAMA MFU!!

Hapo kwekundu Mkuu FMES umepitiliza. Ndo sera yenu mpya?
 
- CCM ndio kwanza tumezaliwa upya, so pole pole utaanza kuziona tupo kwenye kuzi-redifine na soon utaziona hapa just fasten your belt!! ha! ha!

Es!

Unataka kusema CCM haina itikadi kwa sasa, miaka 35?!?
Hizo mnazo zirefine ni zipi?
Kwa nini mnazirefine sasa?
 
- Naomba kuwaaamsha usingizini wale wote ambao bado wamelala usingizini, people tupo vitani yaani kwenye vita vya Itikadi za vyama vyetu vya siasa, wenzetu huko Chadema walianza siku nyingi sisi CCM tulikuwa bado hatujaelewa hilo, lakini Inshallah sasa somo limeanza kueleweka, matusi hapana, viroja hapana, hoja tu jamani lakini ni lazima tusimamie na kutetea itikadi zetu, kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa CCM!!

- Simama juu uhesabiwe! People msidanganywe hakuna chama cha upinzani kinachotutakia mema CCM wote wanegependa kuona wanatushinda na CCM inakufa, sasa msijidanganye na siasa za kujifanya kukubalika kila upande ninawaona wanasiasa wengi wakijaribu kuwa kila upande poleni sana, CCM lazima tusimame imara na hakuna kuogopa!! Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi, kumbukeni kwamba:- "IN LIFE IF YOU DON'T STAND FOR SOMETHING, YOU WILL FALL FOR ANYTHING"

- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

FMES - SAUTI YA UMEME!!

What do u stand for?
 
Unataka kusema CCM haina itikadi kwa sasa, miaka 35?!?
Hizo mnazo zirefine ni zipi?
Kwa nini mnazirefine sasa?

- iTIKADI ZIPO NDIO MAANA TUMEKUWA TUKICHAGULIWA KWA MIAKA 51 SASA KUTAWALA NCHI, LAKINI NYINGI ZIMEPITWA NA WAKATI NDIO MAANA TUPO KWENYE KUZI-REDEFINE NA SOON UTAONA ZIKIMWAGWA HAPA JF, MAANA SASA CCM NI KAZI TUPU, CCM NI UMOJA!, NA CCM NI USHINDI TU!!

- KIDUMU CCM!!

Es!
 
If you don't know where you are going, any road will take you there! Hivi adui wa CCM ni nani tena wakuu - hebu msaidieni huyu 'consultant!.
 
- iTIKADI ZIPO NDIO MAANA TUMEKUWA TUKICHAGULIWA KWA MIAKA 51 SASA KUTAWALA NCHI, LAKINI NYINGI ZIMEPITWA NA WAKATI NDIO MAANA TUPO KWENYE KUZI-REDEFINE NA SOON UTAONA ZIKIMWAGWA HAPA JF, MAANA SASA CCM NI KAZI TUPU, CCM NI UMOJA!, NA CCM NI USHINDI TU!!

- KIDUMU CCM!!

Es!

Hapo kwenye red CCM kuna itikadi ngapi?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom