CCM wakata rufaa Igunga kupinga Kafumu kuvuliwa ubunge

CCM wakata rufaa Igunga kupinga Kafumu kuvuliwa ubunge

ukiwa na watu wajinga kama ccm ni janga kwa taifa watashindwa kama nini maana sera zao ni uongo, ubabe na rushwa
 
Mwenzao Musa Mkanga kakimbia familia huko Arusha, gharama za kesi noma.
 
magamba ujinga wenu hamuoni mnaueneza duniani mnawadhihirishia walimwengu kuwa ni vilaza hamlion hilo
 
Mh! Nimeshanza kuhisi kitu kibaya kwenye hiyo rufaa! ngoja muone
 
mda wa kukataa rufaa mahakama ya rufaa nadhani ulishapita
kama waliwasilisha kusudi la kukataa rufaa mahakama kuu ni kitambo sana
sina hakika kama watachomoka kwa hii,ground za kuvuliwa ubunge ziko strong sana
watuambie kwa sheria ipi inayowaruhusu kukataa rufaa kwa muda huu?
 
Wakishinda tusijesema..."Mahakama haikutenda haki"
 
magamba hivi hizo sababu zilizo mvua kafumu ubunge hamuoni zinamashiko?kumbukeni mbeleko ya mahakama imekatika bado kidogo tu ya polisi nayo itakatika mwenyekiti wenu alisha watahadharisheni
 
CCM wajiandae kumlipia fidia mrufani. CCM ni kama watu waupare wanaopenda kesi. Kesi ya kuku huiendesha kwa kuuza ng'ombe.Ngoja tuone umahiri wao kwa kuendesha kesi ambazo kushindwa kwao ni dhahiri.
Hatimaye watu hawa wamezoea kutengeneza huzuni na aibu punde ushindi unapoenda kwa wapinzani wao.
 
Mbona hili zuri tu? Tusubiri hiyo orodha ya mashahidi patakuwa patamu!

Kwenye orodha ya mashahidi Magufuli aliingia mitini, Mukama naye aliwaficha kwapani wale Magaidi wake, palivyozidi kuwa patamu mzee wa mabastola naye akasema alienda nayo (bastola) bahati mbaya na ikaonekana bahati mbaya baada ya shati lake kupeperushwa bahati mbaya na upepo ulio kuwa umevuma bahati mbaya.
 
CCM haiwezi kushinda hii rufaa kwasababu ni kweli walicheza rafu nyingi wakati wa kampeni na kwa kulijua hili ndio maana ata Magufuli alikwepa kufika mahakamani kutoa ushahidi.
 
Lakini mbona ofisi ya chadema Igunga haijapata tarifa rasmi kwa baruwa na niko hapahpa mjini Ig atimaye tunayapata katika vyombo vya habari !.
 
Gharama za kesi watakutapeli Dr. Kafumu. Don't take that road to peril and shame Kafumu!
 
Nani aliyekata rufaa?
je kama ni ccm, sheria za uchaguzi zinaruhusu wao kukata rufaa?
nakumbuka Dr. Slaa alishawahi kusema kwa hukumu ile anamwomba Mungu ccm wakate rufaa wao kama wao ili kesi iwe laini kama maini
 
kuna member hapa JF alisema Dk.Kafumu hivi sasa anafundisha UDOM, je hii ni kweli kwa anayefahamu?
 
kuna member hapa JF alisema Dk.Kafumu hivi sasa anafundisha UDOM, je hii ni kweli kwa anayefahamu?

yeaah! jamaa ni mtaalamu wa madini, atakuwa anafundisha jinsi ya kuiba au kusaini mikataba feki ya madini kwenye shule za kata........... and he is not defending the public welfare at all, ila nadhani atakuw anafundisha kwa remote manake he is residing in singida
 
Back
Top Bottom