CCM wajiwekea doa kwa wananchi wa Arumeru Mashariki

CCM wajiwekea doa kwa wananchi wa Arumeru Mashariki

Ulitaka marehemu apitishwe njia mbaya nyie mmichizika kwa kweli

Ndio majibu yenu hayo, kwani mmeshajipa haki miliki ya hii nchi.

"Hata mkila majani, ndege ya Rais itanunuliwa"

"Kila mmoja atabeba msalaba wake"

" Mnapiga kelele kama watu wa Kariakoo"

Hizi ni Dalili mbaya ya shibe ya Madaraka.
 
Hv katika machizi haujioni we ndio kilaza wa kwanza?kwani marehemu huyu ndio wa kwanza kupitishwa kwy barabara mbaya huko Alumeru?hacha kushikiwa akili wewe!

Mkuu JIWE hilo... utapika hadi ufe..Ana maslahi na MAGAMBA.. Acha waifiche aibu yao kufa kufaana
 
Mimi naihofia nguvu kubwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa alionao Lowassa kwa wananchi wa kule na nchi nzima kwa ujumla. Lowassa ni kizingiti kikubwa sana kwa progress ya CDM.
 
Ulitaka marehemu apitishwe njia mbaya nyie mmichizika kwa kweli
Kwani marehemu akipitishwa kwenye njia mbaya ataumia sana? Kweli ni haki kutumia pesa ya walipa kodi kumtengenezea barabara marehemu? ah labda ni ili mheshimiwa akija apite kwenye barabara nzuri zaidi kuliko waliyoizoea wananchi! Well, wananchi wanayo point!
 
Hizi zinaitwa akili za dharura.
Ukijiuliza sana kuhusu akili ya hawa wachumia tumbo utakuwa unajisumbua tu.
 
Baada ya kifo cha mbunge wa Arumeru Mashariki Jeremia Sumari katika hali ambayo wananchi wa jimbo hilo hawakuitegemea serikali jimboni hapo wiki hii iliyokwisha wamekuwa bize kutengeneza barabara inayoanzia eneo la Sanksi karibu na soko Tengeru inayoelekea kijiji alichotpoka marehemu.Wananchi wanahoji ni kwa nn ichimbwe na kufanyiwa marekebisho baada ya msiba kutokea?na mbaya zaidi imechimbwa na kurekebishwa hadi nyumbani kwa marehemu tu,"Je sisi wa milimani zaidi hatuna haki ya kufikiwa na hiyo barabara"? alihoji mwananchi mmoja akiwa anazungumza na wengine ndani ya daladala. Jambo hilo limeibua hasira na chuki kwa wananchi wengi hasa kipindi ukarabati huo ulivyofanyika na sehemu ulipoishia.UNADHANI KWA HILI CCM INA NAFASI NZURI YA KULITETEA JIMBO HILO AMBALO MWAKA JUZI KTK UCHAGUZI MKUU LILIKUWA NA UPINZANI SANA KUTOKA KWA MGOMBEA WA CDM KIJANA NASSARI?

Kuwa na nafasi nzuri au mbaya itajulikana mara baada ya mchakato wa kuhisabu kura kumalizika.

Kuwa na subra kidogo kwani lolote linaweza kutokea.
 
Mimi naihofia nguvu kubwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa alionao Lowassa kwa wananchi wa kule na nchi nzima kwa ujumla. Lowassa ni kizingiti kikubwa sana kwa progress ya CDM.

Sometime mkuu mimi ndio uwa nachoshwa kabisa,kukatishwa tamaha na hata kushangazwa sana na akili zetu watanzania,hv lowassa ni kipi hasa kinachofanya tukubali kushawishika sana nae?muda mwingine naona kua umaskini na kutosonga mbele kwetu kunachangiwa na umbumbu wetu ktk kufikiri juu ya vitu vyenye tija kwetu!
 
Hoja yako haingii akili kabisa! Any way mmesha anza kampeni tayari Magwanda,sisi tuna mazishi leo Mh Sumari then tutaanza kampeni!
 
Kasomeni tamthiliya ya ''KWENYE UKINGO WA THIM" mtaelewa hawa viongoz we2 ni wa namna gan. Naomben uongoz wa ccm mkimalza kuanua matanga hakikishen mnaaga jimbon moja kwa moja kwan mmetutus wana Arumeru na Arsh yote, hampat kura, ng'ooo! Hvyo anavyoaga Baba yetu Sumari, vivyo hvyo ccm inazkwa! R.I.P Sumar!
 
Nadhani hii barabara isingetengenezwa ili rais akipita aone shida ambayo wananchi wanaipata!!
 
Magamba wamepofushwa na shetani. Sasa hivi hawajui jambo la maana na lipi na walitende lini.

Mpz wangu mzima ? usijali na ww ntakutenegenezea ya kwako ya lami tena mpaka pale nilipo kujengea ile nyumba kw ajili ya familia yetu.

 
anaweza kuja lakini asifike sing'isi. mana wananchi wa huko hawataki kulisikia jina la kimaro.



Sure thing, nimepita hapa sadeki sasa hivi nakutana na wamama wanachuma maharage (green beans), nkawauliza vipi Kimaro atakuja?? Nusura wanikate mimi mabapa
 
Baada ya kifo cha mbunge wa Arumeru Mashariki Jeremia Sumari katika hali ambayo wananchi wa jimbo hilo hawakuitegemea serikali jimboni hapo wiki hii iliyokwisha wamekuwa bize kutengeneza barabara inayoanzia eneo la Sanksi karibu na soko Tengeru inayoelekea kijiji alichotoka marehemu.

Wananchi wanahoji ni kwa nn ichimbwe na kufanyiwa marekebisho baada ya msiba kutokea? Na mbaya zaidi imechimbwa na kurekebishwa hadi nyumbani kwa marehemu tu,"Je sisi wa milimani zaidi hatuna haki ya kufikiwa na hiyo barabara"?

Alihoji mwananchi mmoja akiwa anazungumza na wengine ndani ya daladala. Jambo hilo limeibua hasira na chuki kwa wananchi wengi hasa kipindi ukarabati huo ulivyofanyika na sehemu ulipoishia.

UNADHANI KWA HILI CCM INA NAFASI NZURI YA KULITETEA JIMBO HILO AMBALO MWAKA JUZI KTK UCHAGUZI MKUU LILIKUWA NA UPINZANI SANA KUTOKA KWA MGOMBEA WA CDM KIJANA NASSARI?
Hapo wamesukumwa na woga Mkulu wa kaya akija atapitia wapi?????? Ndo maana zikawa heka heka kutengeneza hiyo barabara, sasa waulize wametumia budget gani ujue wizi katika serikali yetu ukoje?????

 
Mlipowachagua mlikuwa hamuwahui eeh? Sasa kama na nyinyi mnataka barabara zifike majumbani kwenu, KUFENI.

Hiyo ndio CCM ya FF na Rejao bwana. Kumpata mwenye busara huko ni sawa na kupata nywele nyeusi kwenye kichwa cha Lowassa
 
Back
Top Bottom