Kuna mambo mawili matatu yananishangaza kuhusu Muungano.
1. WaZanzibar wanapodai nchi Yao/Yetu hawazungumzii Kabisa WAJIBUsisi tu HAKI, HAKI, HAKIIII sasa tukiachiwa tujilinde wasomali si watatumaliza? HAKI BILA WAJIBU NI UHUNI.
2. Ni upuuzi mkubwa tena wa Hali ya juu, kutoshirikiana kwenye mambo ya uchumi ati Sisi twafikiria ulinzi na usalama tu....siasa zetu ni za kipuuzi mno shame on us. Ati hatuwezi hata kushirikiana kwenye Tume ya mipango, bureau of statistics, research and development, aviation etc...
..hizi hoja zako ungejenga kule Zanzinet, Mzalendo, CUF, Unguja, Pemba, Denmark, Dubai, Oman, etc etc.
..wa-Znz wamekaa mule zaidi ya miaka 20 wanajenga mtandao wa kudai mamlaka kamili.
..sasa sijui nyinyi mnaopenda muungano mlikuwa wapi siku zote hizo msipambane kule Zanzinet, Mzalendo, Unguja,Pemba, na kwengineko.
..pia wa-Znz hawajasema hawataki ushirikiano na wa-Tgk. walichosema wao ni kwamba wanataka MAMLAKA KAMILI.
NB:
..swali moja najiuliza.
..majority ya wa-Tanganyika waliotoa maoni kuhusu muungano walipendekeza serikali 3.
..majority ya wa-Zanzibari waliotoa maoni kuhusu muungano walipendekeza mamlaka kamili na muungano wa mkataba.
..sasa ktk mazingira hayo kwanini Warioba amekuja na mapendekezo ya serikali 3?
..zaidi, kwa kuzingatia taarifa hizo toka kwa tume ya Warioba, huoni kwamba CCM wako completely off the mark wanapopendekeza serikali 2??
cc
takashi,
Foum Jnr,
GHIBUU