Tetesi: CCM waitisha kikao cha dharura Agosti 26, 2026

Tetesi: CCM waitisha kikao cha dharura Agosti 26, 2026

CCM wameitisha NEC ya dharura keshokutwa (Jumatano), Dodoma.

Huenda kukawa mambo mapya yataibuka?
1000056620.jpg
 
CCM wameitisha NEC ya dharura keshokutwa (Jumatano), Dodoma.

Huenda kukawa mambo mapya yataibuka?
Ccm ni wabinafsi kuliko kundi lolote, sitegemei la manufaa kwa nchi. Upendo wangu kwa nchi yangu ulipunguwa kwasababu ya kundi hili.
 
"Dharura"?
Hawasomi nchi inavyokwenda sasa?
Hata swala la Nchimbi siyo dharura, kwa sababu wanamtengenezea agenda wao wenyewe wanaamua lini wamfikishe wanapotaka kumfikisha.

Kama ni dharula kweli, basi kutakuwepo na watu wenye akili kidogo iliyobaki vichwani mwao kujuwa kwamba waTanzania wamechafukwa roho. Hiyo kwa hakika itakuwa ni dharula ambayo sioni kuwa wanao uwezo wa kubadilisha chochote katika kikao hicho.
Unategemea la maana kutoka kwa akina Wasira et al?
 
Bahati mbaya sana hakuna yeyeto mwenye uthubutu wa kuongea au kutoa mawazo yake kwa sasa.

Wajumbe wataenda pale watalipwa posho zao, watamsikiliza mwenyekiti ajenda ya kwanza, wataunga mkono, ajenda ya pili wataunga mpaka ajenda ya mwisho zote wataunga mkono. Kikao kitafungwa, picha zitazambazwa mtandaoni.

Hakuna mwenye uthubutu wa kuongea au kutoa mawazo mbadala. Hapo ndo CCM ilipofika.
sio chama tena. ni genge flani. Abduli na mafwele wamo
 
CCM wameitisha NEC ya dharura keshokutwa (Jumatano), Dodoma.

Huenda kukawa mambo mapya yataibuka?
Hakuna cha maana zaidi ya kuwa kikao cha wachawi, huku agenda kuu ikiwa ni kula zaidi nyama za watu na kufanya kafara kupitia damu za Watanganyika.
 
Makoridoni wanasema kwamba Eti VP ni Mwigulu na PM ni Dotto Biteko

Hii nchi imepotea hii ila nafurahi kuona mambo yanafika haraka mno kuliko kawaida maana baada ya miaka 10 ijayo Haikutakuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Pascal Mayalla una la kusema hadi hapa?
 
Makoridoni wanasema kwamba Eti VP ni Mwigulu na PM ni Dotto Biteko

Hii nchi imepotea hii ila nafurahi kuona mambo yanafika haraka mno kuliko kawaida maana baada ya miaka 10 ijayo Haikutakuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Kwa hiyo watch100 yeye anataka kufanya kazi na mazoba aina ya Biteko?
 
Kikao kitajadili Agenda tatu tu

1. Muhstakabari na mwenendo usiofaa wa makamu wa Rais .

2. Kesi ya Tundu Lissu .

3. Tunajinasua vipi na hii hali ya sasa ya wananchi kutokuwa na imani na ccm ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom