Mkuu ukishakuwa ccm unakuwa na akili za kikoromije, huwezi elewa lipi baya lipi ziriRipoti za dunia zinasema kua uchumi wetu unadidimia,Benki ya dunia imetoa onyo na kututahadharisha kua uchumi wetu unaelekea kubaya lakini CCM wanakataa na kulazimisha tuu. Taasisi na majarida ya kiuchumi duniani yanaripoti kua uchumi wa nchi yetu uko kwenye zone mbaya lakini CCM wanakana na kejeli juu, hivi hawa watu wakoje? Wanabishana vipi na mashirika ya nje pamoja na benki ya dunia? Wanasubiri siku tunaanguka kiuchumi ili waje wakiri? Duh mimi sijawahi kuona hii ni kali kwangu.
Ripoti za asasi za kiraria na mashirika ya haki za binadamu duniani yanalalamikia ukiukwaji wa misingi ya kidemokrasia, CCM wanalikataa hili. Hivi hiki chama chetu tawala kinataka nini? Nini faida ya kuukataa ukweli juu ya maisha ya watu?
Brother, siku nyingine utakapotaka kutoa hoja humu JF jitahidi sana kuwa na rejea. Hizo za "taarifa za mashirika mbalimbali" ni ngumu kumesa.Ripoti za dunia zinasema kua uchumi wetu unadidimia,Benki ya dunia imetoa onyo na kututahadharisha kua uchumi wetu unaelekea kubaya lakini CCM wanakataa na kulazimisha tuu. Taasisi na majarida ya kiuchumi duniani yanaripoti kua uchumi wa nchi yetu uko kwenye zone mbaya lakini CCM wanakana na kejeli juu, hivi hawa watu wakoje? Wanabishana vipi na mashirika ya nje pamoja na benki ya dunia? Wanasubiri siku tunaanguka kiuchumi ili waje wakiri? Duh mimi sijawahi kuona hii ni kali kwangu.
Ripoti za asasi za kiraria na mashirika ya haki za binadamu duniani yanalalamikia ukiukwaji wa misingi ya kidemokrasia, CCM wanalikataa hili. Hivi hiki chama chetu tawala kinataka nini? Nini faida ya kuukataa ukweli juu ya maisha ya watu?
Ripoti za dunia zinasema kua uchumi wetu unadidimia,Benki ya dunia imetoa onyo na kututahadharisha kua uchumi wetu unaelekea kubaya lakini CCM wanakataa na kulazimisha tuu. Taasisi na majarida ya kiuchumi duniani yanaripoti kua uchumi wa nchi yetu uko kwenye zone mbaya lakini CCM wanakana na kejeli juu, hivi hawa watu wakoje? Wanabishana vipi na mashirika ya nje pamoja na benki ya dunia? Wanasubiri siku tunaanguka kiuchumi ili waje wakiri? Duh mimi sijawahi kuona hii ni kali kwangu.

Jiwe halipumui wala halifi, lakini jiwe hili linataka kuwa malaika mkuu likifaJPM ni jiwe la msingi tuendako
Wakiongea tu mna wa pyu pyuUpinzani bwana, utadhani nao sio sehemu ya hii nchi.
Sijawahi kumsikia kiongozi yeyote wa upinzani akija na solution ya jambo lolote zaidi ya vilio na lawama za kila siku.
Ripoti za dunia zinasema kua uchumi wetu unadidimia,Benki ya dunia imetoa onyo na kututahadharisha kua uchumi wetu unaelekea kubaya lakini CCM wanakataa na kulazimisha tuu. Taasisi na majarida ya kiuchumi duniani yanaripoti kua uchumi wa nchi yetu uko kwenye zone mbaya lakini CCM wanakana na kejeli juu, hivi hawa watu wakoje? Wanabishana vipi na mashirika ya nje pamoja na benki ya dunia? Wanasubiri siku tunaanguka kiuchumi ili waje wakiri? Duh mimi sijawahi kuona hii ni kali kwangu.
Ripoti za asasi za kiraria na mashirika ya haki za binadamu duniani yanalalamikia ukiukwaji wa misingi ya kidemokrasia, CCM wanalikataa hili. Hivi hiki chama chetu tawala kinataka nini? Nini faida ya kuukataa ukweli juu ya maisha ya watu?
Wakiulizwa kwanini hawana ofisi kwa miaka zaidi ya 20 wanabisha kisa wamepanga kwa mtei.Hao hao akina Mahanju wanapiga kelele kuwa Yohana siyo msukuma, CDM watuambie YOHANA ni kabila gani?