The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,281
Anatumia ID gani?
Forbidden!
Anatumia ID gani?
Mkuu iyo picha wanani hao wanatisha...
Kuiba wake za watu?....sasa naona umeamua kumsema Naibu Katibu Mkuu..hahahahahahaha...mlivyo mazuzu hata kumbukumbu hamna!we hujaelewa tu. sophia simba amezungumza kutokana na uzoefu wa wizara yake. kuna malalamiko mengi ya viongozi na wabunge wa chadema kupora wake za watu. pia chadema wanasababisha mimba nyingi za uchochoroni na watoto wa mitaani kutokana na kuzalisha mimba nyingi zisizotarajiwa
wapare na wachaga ni dugu moja. hivyo usijivunie sana. nenda kwa wamakonde kama we unajifanya unaweza kushawishi sana
Waziri wa maendeleo, jinsia na watoto bi Sofia Simba leo akiwa ziarani wilaya ya Mwanga amekiri kuwa mtiti wa CHADEMA hata wao kama wajumbe wa kamati kuu unawatia wehu.
amesema hata hii mwanga mnayosema ipo salama kwa ccm sio kweli kwani haipo kwani siasa za wanaccm wa mwanga za makundi wanataarifa nazo na pia ziara za kimya kimya za viongozi wa CHADEMA na damage ambayo wameshafanya hasa kwa wazee na vijana wanaijua.
Amesema kuwa CHADEMA wameanza kuukwepa mtego wa polisi na wanafanikiwa akifananisha na matukio ya kupigwa wanaCHADEMA kwenye uchaguzi wa Udiwani Arusha na wao kukaa kimya! " hii ni dhahiri kabisa kuwa mchezo kidogo tu wa kuzembea ni mauti kwetu kama hapa tulivyokuwa tunapategemea pameharibiwa kiasi hiki hamdhani kuwa 2015 mkoa wote tutakuwa wapinzani? alisema Same mashariki CCM hoi, Magharibi CCM hoi Mwanga nayo ndo hivyo tena mtakuwa wageni wa nani? Mwenyekiti ?" alihoji Waziri Simba wakati akiongea na kamati ya Utekelezaji na Baraza la UWT leo ndani ya Ukumbi CCM !
Hii ni kazi njema ya kamanda Anorld Kileo aliofanya kipindi cha mwezi April na May mwaka huu iliyosababisha kungoa mwenyekiti mmoja wa UWT kata.
Mkuu umeanza kujitekenya na kucheka mwenyewe subiri uone kiama chenu mtapata shida kweli,
wito wangu ni kwenu kuwataka muandae nepi make mtatikiswa sana wakati ukifika.