CCM wafarijiana kwa kushindwa na CHADEMA

CCM wafarijiana kwa kushindwa na CHADEMA

we hujaelewa tu. sophia simba amezungumza kutokana na uzoefu wa wizara yake. kuna malalamiko mengi ya viongozi na wabunge wa chadema kupora wake za watu. pia chadema wanasababisha mimba nyingi za uchochoroni na watoto wa mitaani kutokana na kuzalisha mimba nyingi zisizotarajiwa

Lubisi ndio imeandika haya maandishi hapa juu
 
Peoples.....Power

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mbona babu kijana W. Malecela anasema amezunguka Kilimanjaro nzima na kuona ccm bado imara?

Ndio kusema ccm hawajui wako wapi kichama na wanaelekea wapi?
 
Viongozi wote wa serikali ya CCM wanajua moto huu wa CHADEMA hakuna wa kuuzima hata wakitubambikia kesi bado watanganyika wanaiamini CHADEMA kuliko CCM.

Huyo mama anakumbuka shuka kumeshakucha!!
 
Leo ndio anajua kuwa chedema mziki wake mkubwa,tunashuru kwa kukiri mpango endelevu(ccm+polosi) kuiangamiza chadema,Mungu aendelee kukufunulia mwanga zaidi ufunguke zaidi na ikibidi uhame uko kabisa
 
John
154256_470787302966308_450988753_n.jpg
Mkuu Palali, halo wengine kwenye picha ni kina nani?. Nimewatambua John Stevens Lugendo, Fred Ogot na Ahmed Kipozi, bila kumsahau Frima na ukumbi ni Bills!.
 
we hujaelewa tu. sophia simba amezungumza kutokana na uzoefu wa wizara yake. kuna malalamiko mengi ya viongozi na wabunge wa chadema kupora wake za watu. pia chadema wanasababisha mimba nyingi za uchochoroni na watoto wa mitaani kutokana na kuzalisha mimba nyingi zisizotarajiwa

wewe ndugu yangu nafikiri unaongea ambacho ukijui shame on yoU! nani aliwai kusema nanukuru '' hawa wana kiherere'' na ninavyojua wewe ni mtu wakutegemea book 7 kwa hiyo mbona unawaaibisha wenzako?
 
Ataendelea kukiri kama alivyokiri kuwa HAKUNA MWANAUME KAMA LOWASSA ndani ya chama cha magamba teh,teh,teh,teh.
 
Mbona babu kijana W. Malecela anasema amezunguka Kilimanjaro nzima na kuona ccm bado imara? Ndio kusema ccm hawajui wako wapi kichama na wanaelekea wapi?
atajiju M4C forever and always
 
we hujaelewa tu. sophia simba amezungumza kutokana na uzoefu wa wizara yake. kuna malalamiko mengi ya viongozi na wabunge wa chadema kupora wake za watu. pia chadema wanasababisha mimba nyingi za uchochoroni na watoto wa mitaani kutokana na kuzalisha mimba nyingi zisizotarajiwa

Na wewe wamekujaza mimba nini!
 
John
Mkuu Palali, halo wengine kwenye picha ni kina nani?. Nimewatambua John Stevens Lugendo, Fred Ogot na Ahmed Kipozi, bila kumsahau Frima na ukumbi ni Bills!.
Pichani ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Bwana Freeman Aikaeli Mbowe (wa Pili kutoka Kushoto) akiwa Pamoja na Mwanamuziki Nguli kutoka Zaire (Sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo) Bwana Koffi Antoine Olomide (wa Tatu kutoka Kushoto waliokaa).

Bwana Freeman Aikaeli Mbowe na wenzie waliopo kwenye Picha ndio waliofanikisha
Ziara ya Kwanza ya Mwanamuziki huyo Mashuhuri wa Afrika Nchini katika Miaka ya 90 Mwanzoni, Wa Kwanza kulia waliokaa ni Bwana Ronie Mtawali ambaye alikuwa Meneja wa Kwanza wa Club Billicanas.
 
Nitachangia elimu yangu na nguvu zangu kukomboa nchi, hata nikafa katika jitihada hizo mauti yangu si bure. MIAKA 50 imetosha ni wazi tunataka CHAMA KINGINE.
 
Waziri wa maendeleo, jinsia na watoto bi Sofia Simba leo akiwa ziarani wilaya ya Mwanga amekiri kuwa mtiti wa CHADEMA hata wao kama wajumbe wa kamati kuu unawatia wehu.

amesema hata hii mwanga mnayosema ipo salama kwa ccm sio kweli kwani haipo kwani siasa za wanaccm wa mwanga za makundi wanataarifa nazo na pia ziara za kimya kimya za viongozi wa CHADEMA na damage ambayo wameshafanya hasa kwa wazee na vijana wanaijua.

Amesema kuwa CHADEMA wameanza kuukwepa mtego wa polisi na wanafanikiwa akifananisha na matukio ya kupigwa wanaCHADEMA kwenye uchaguzi wa Udiwani Arusha na wao kukaa kimya! " hii ni dhahiri kabisa kuwa mchezo kidogo tu wa kuzembea ni mauti kwetu kama hapa tulivyokuwa tunapategemea pameharibiwa kiasi hiki hamdhani kuwa 2015 mkoa wote tutakuwa wapinzani? alisema Same mashariki CCM hoi, Magharibi CCM hoi Mwanga nayo ndo hivyo tena mtakuwa wageni wa nani? Mwenyekiti ?" alihoji Waziri Simba wakati akiongea na kamati ya Utekelezaji na Baraza la UWT leo ndani ya Ukumbi CCM !

Hii ni kazi njema ya kamanda Anorld Kileo aliofanya kipindi cha mwezi April na May mwaka huu iliyosababisha kungoa mwenyekiti mmoja wa UWT kata.

Siyo kwamba alikuwa anamnanga mshindani wake - Mama Malecela?
 
Back
Top Bottom