CCM waanza kumgeuka Rais Magufuli

CCM waanza kumgeuka Rais Magufuli

hawa lumumba naona hawajui waanzie wapi kumusifia mfalme wanazuga kuzungumzia mbowe!
 
Kumbe huyu mbunge muda mwingine huwa zina chaji.
 
Bora mchawi kuliko mnafiki, unafiki ndiyo unalimaliza na kuliangamiza taifa. watu shule wameenda na wananchi wajawaamini wakawapa kura zao. ila wanakuwa wanafiki kwa taifa lao. Nawashauri ccm wabadilishe jina la chama chao labda watajitambua
 
MIE NADHANI WATU WASHAURI NINI KIFANYIKE AMBACHO NI PRACTICAL. MIMI KWA NIABA YA WANAUKAWA NINIAPENDEKA MH RAIS AFANYE KAMA KIKWETE YA KUWAACHIA WAFANYA BIASHARA WAPITISHE MIZIGO BANDALINI BILA KULPIA USHAURU..KWANI HILI LITASAIDIA MIZIGO MINGI KUPITA LAKINI WAKATU HUOHUO SISI WENYE BIAHSRA YA MALORI NA MENGINEO IPITE KILAHISI HIVYO KUCHANGAMSHA UCHUMI.NINAELEWA HATUA HII ITAPUNGUZA UWEZO WA SERIKALI KIFEDHA LAKINI AKINAFANYA HATA SISI UKAWA TUTAACHA KUMSHAMBULIA
Uliwahi kuona wapi wafanyabiashara wanapitisha mizigo yao bure bandarini? Tena ishia hapo hapo maana nahisi wewe sio mtanzania.
 
Hivi ni nani ambaye ameshabikia ukwepaji kodi? Hili ndio tatizo letu siku hizi. Mtu akikosoa jinsi mambo yalivyo sasa anaitwa mkwepa kodi...au fisadi...au vyote viwili. Tunachosema ni hiki:

1. Ondoa vat kwenye mizigo ya transit. Hakuna bandari duniani (ninayojua) ambayo inafanya ujinga huo. Matokeo yake imekua ghali zaidi kwa wafanyabiashara kupitisha cargo yao dar. Kumbuka wafanyabiashara hao wanaenda kulipa kodi kwenye nchi zao. Sasa TRA wanasema eti hawatozi mizigo...wanatoza ancillary services...lakini hao wanaotoa hizo services wanachofanya ni kuongeza bei zao...so shida iko pale pale.

2. Ushuru wa forodha kwa mizigo ya ndani uangaliwe upya. Kwa mfano.. mimi gari yangu nilinunua kwa $8000 CIF. Ikafika hapa TRA wakanichapa kodi ya $10000. Yani kodi inazidi thamani ya gari. Ukowapi usawa hapa?

Tukisharekebisha hayo. Sasa tuhimize watu walipe hizo kodi...na watalipa tu!
Kidooogo umeonesha tuanzie wapi...tuendelee kudadafua namna hii tutapata suluhisho...
 
Huyo n mtafuta kik tu' hata hivyo kazungumza ukweli kwa mujibu wa hali ya sasa.
 
Kauli na michango ya wabunge wa ccm si ya kuziamini hata kidogo....
Atapooonda weeee ila mwisho wa siku utasikia naunga mkono hoja.
 
He! Leo hii mmeanza kumkubali huyo Mlinga? Kwa nini sasa hamkumuelewa wakati ule?
Mtu akijipaka kinyesi unataka asifiwe!! Mtu ataeleweka akiondoa kinyesi kwa kuoga, kujipaka marashi na kuvaa vizuri.
 
Hivi Kumbe Nehemia Mchechu alipomaliza kwa Mbowe hakuendelea kwa wadaiwa wengine akisubiri ruhusa ya Rais? Kwa nini hakuendelea kuwatupia vyombo nje wadaiwa wengine? ina maana ilipangwa afanye yale kwa Mbowe ili Rais awe na wa kumtolea mfano? Mchechu aliogopa nini kuendelea na kazi yake kwa wadaiwa wengine hadi asubiri ruhusa ya Rais? Kwa nini wengine wapewe siku Saba za kujipanga lakini siyo Mbowe? Ina maana zile siku alizotoa Mchechu za kulipa deni alitoa kwa Mbowe tu? Kwa nini? Mbona alijinasibu kuwa yeye anamwendea kila mdaiwa?
 
MIE NADHANI WATU WASHAURI NINI KIFANYIKE AMBACHO NI PRACTICAL. MIMI KWA NIABA YA WANAUKAWA NINIAPENDEKA MH RAIS AFANYE KAMA KIKWETE YA KUWAACHIA WAFANYA BIASHARA WAPITISHE MIZIGO BANDALINI BILA KULPIA USHAURU..KWANI HILI LITASAIDIA MIZIGO MINGI KUPITA LAKINI WAKATU HUOHUO SISI WENYE BIAHSRA YA MALORI NA MENGINEO IPITE KILAHISI HIVYO KUCHANGAMSHA UCHUMI.NINAELEWA HATUA HII ITAPUNGUZA UWEZO WA SERIKALI KIFEDHA LAKINI AKINAFANYA HATA SISI UKAWA TUTAACHA KUMSHAMBULIA
KAka Tatizo sio wana CHADEMA tuu..Mlinga ni Mbunge wa CCM yetu..halafu kwa pale Bandari kama umemsikiliza Mkurugenzi wa Bandari na Kamati ya Bunge ya Mwenyekiti Dr. P Kafumo (CCM) kuwa mizigo inapungua kutokana na kuongezeka kwa charges mbalimbali za mizigo mathalani..container la futi 40'" kwa 40" limeongezeka ushuru kutoka 20ml mpaka 30ml. Yaani 10 million differences imewakimbiza waleta mizigo maana haina faida. Pia charges mbalimbali za kutransit mizigo. Hivyo issue pale sio kukwepa ushuru bali kuongezeka ushuru. NAdhani washauri na wewe hao wazee wetu wapunguze tariff ili kuongeza makusanyo. Tafadhali tusiwalaumu wenzetu wa Upinzani na sisi tunakosea sana tu sema ndio hivyo tena...
 
KWA TAARIFA MIMI NI KIONGOZI WA UKAWA NDO MAANA NIKATOA MAPENDEKEZO
 
Back
Top Bottom