Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #21
Mahakamani tukutaneTena mbaya zaidi kashindwa kulipa hiyo kodi. Aibu sana
Mahakamani tukutaneTena mbaya zaidi kashindwa kulipa hiyo kodi. Aibu sana
Sio wakati wote akili huwa inafyatukaHe! Leo hii mmeanza kumkubali huyo Mlinga? Kwa nini sasa hamkumuelewa wakati ule?
Tukutane mahakamaniNdio Mbowe amefukuzwa kwa kukwepa kodi billicanas
Mbowe ameshindwa kulipa kodi billicanas na kufukuziliwa mbali kwa sababu uchumi mgumu.Nikisoma comment zako huwa nacheeka! JF imeingiliwa miaka hii! Hivi unakua uko serious? Umevaa nguo zako afu unaandika vitu unavyofikili ni point kuiwasilisha kwenye jamii?
Ulisomaga kweli mkuu? Hapa JF nadhani hoja ndio bora kuliko vioja! Sijui kama utaelewa!
Sasa kwani Mbowe siyo Mtanzania? Meanza kumbuka maana mlianza kusema ameuza chamaMbowe ameshindwa kulipa kodi billicanas na kufukuziliwa mbali kwa sababu uchumi mgumu.
Hata hili ufipa hamuelewi??
anaulizwa swali moja tu, unataka kuendelea kuwa mbunge au hutaki. Akitoka hapo mikono nyuma, akiingia tena bungeni anapiga meza kusupport kila kitakochosemwa na wenzao mpaka mikono inatoka malenge lenge lakini moyoni anapinga. Na hii ndo Tz yetu pendwa.Wabunge wa ccm hawaaminiki hata kidogo, wakiitwa kama kamati ya chama wote wanageuka na kuwa kondoo
He! Leo hii mmeanza kumkubali huyo Mlinga? Kwa nini sasa hamkumuelewa wakati ule?
Kwani wewe umekuwa wakili wa Mbowe? Eti tukutane mahakamani.Mahakamani tukutane
Yaani hapo unahisi umejificha kabisaaa? Hilo gamba lako la kijani la Lumumba na hayo unayoongea vinaendana haswa. Endelea tu.MIE NADHANI WATU WASHAURI NINI KIFANYIKE AMBACHO NI PRACTICAL. MIMI KWA NIABA YA WANAUKAWA NINIAPENDEKA MH RAIS AFANYE KAMA KIKWETE YA KUWAACHIA WAFANYA BIASHARA WAPITISHE MIZIGO BANDALINI BILA KULPIA USHAURU..KWANI HILI LITASAIDIA MIZIGO MINGI KUPITA LAKINI WAKATU HUOHUO SISI WENYE BIAHSRA YA MALORI NA MENGINEO IPITE KILAHISI HIVYO KUCHANGAMSHA UCHUMI.NINAELEWA HATUA HII ITAPUNGUZA UWEZO WA SERIKALI KIFEDHA LAKINI AKINAFANYA HATA SISI UKAWA TUTAACHA KUMSHAMBULIA
Hao wa kwenu wanarukaga kauli ya.....................?huoni majuzu kawaamuru wasihudhirie vikao na wakatekeleza,tena wakipigwa na njaa kwa kukosa posho?Wabunge wa ccm hawaaminiki hata kidogo, wakiitwa kama kamati ya chama wote wanageuka na kuwa kondoo
Ndio utakapo jua hapo nyie si wazee wa mizuka na kukurupukaKwani wewe umekuwa wakili wa Mbowe? Eti tukutane mahakamani.
Mkuu, siyo kosa lake huyo. Achana naye.Nikisoma comment zako huwa nacheeka! JF imeingiliwa miaka hii! Hivi unakua uko serious? Umevaa nguo zako afu unaandika vitu unavyofikili ni point kuiwasilisha kwenye jamii?
Ulisomaga kweli mkuu? Hapa JF nadhani hoja ndio bora kuliko vioja! Sijui kama utaelewa!
Teh..teh hawataki kukasikiaga tenaKale kawimbo maarufu sana nani anako atuwekee hapa?
Kanawaumiza mnoTeh..teh hawataki kukasikiaga tena
MKUU KWANI JK ALIKUFANYA NINI; HADI UNAKUWA NA CHUKI NAYE KIASI HIKI? UNAUHAKIKA MIZIGO ILIKUWA INAPITA BILA KULIPIWA?MIE NADHANI WATU WASHAURI NINI KIFANYIKE AMBACHO NI PRACTICAL. MIMI KWA NIABA YA WANAUKAWA NINIAPENDEKA MH RAIS AFANYE KAMA KIKWETE YA KUWAACHIA WAFANYA BIASHARA WAPITISHE MIZIGO BANDALINI BILA KULPIA USHAURU..KWANI HILI LITASAIDIA MIZIGO MINGI KUPITA LAKINI WAKATU HUOHUO SISI WENYE BIAHSRA YA MALORI NA MENGINEO IPITE KILAHISI HIVYO KUCHANGAMSHA UCHUMI.NINAELEWA HATUA HII ITAPUNGUZA UWEZO WA SERIKALI KIFEDHA LAKINI AKINAFANYA HATA SISI UKAWA TUTAACHA KUMSHAMBULIA