Kada wa CCM maarufu visiwani Zanzibar baada ya clip yake akimpa za uso Mwehishimiwa wa Uchumi wa Blue hivi karibuni, Inasemakana kuwa majuzi alitekwa na watu wasio juulikana, na hivi sasa yupo Hospitali kaiwa na hali mbaya sana baada ya kipigo kizito.
Hahaha........Duuuh hakuna chama kingeweza muacha kwa hayo maneno
Bara ya wapi?CCM waanza kuchapana visiwani, soon kasheshe hili litahamia Bara
2025 utajibiwaBara ya wapi?
Hiyo lugha aliyotumia hakuna chama chochote Africa kingemvumiliaHahaha........
Zanzibar wanajua siasa tofauti na huku Tanganyika
Hiyo lugha aliyotumia hakuna chama chochote Africa kingemvumilia
Huenda naye alitafajia hayo, kama hakutarajia basi atakuwa hayupo sawa.Hiyo lugha aliyotumia hakuna chama chochote Africa kingemvumilia