Ilikuwa uwanja huo huo?Mwakalebela hongera sana kwa "maelfu" ya watu waliojitokeza leo dhidi ya "mamia" waliojitokeza jana kwenye mkutano wa CHADEMA. Kidumu chama cha mapinduzi... hakika nimeamini chama chashika hatamu.!
Siku ya uchaguzi ndipo tutaelewana
Bila shaka Mwakalebela alitaka kupima upepo, na sasa tayari umeupima na majibu umepata. unaweze kurudi kwenye U DC au vinginevyo
hii aibu kubwa au walikuwa kwenye mkutano Wa tawi lao act...
Mkuu ilikuwa ngumu kwa sababu wanafunzi wako mapumziko ya pasaka!! Hivyo maccm yakawa yamekwama!! Hata kuleta fisi ilishindikana!!
Lazima washitakiwe. Kwanini wanajua kuwa Chadema hatuwawezi alafu wakasahau hata kuleta mafisi ili angalao watu waje kuwaangalia alafu ndipo wamwage sera?RC & DC lazima chama changu kiwachukulie hatua Kali ikiwezekana hata kuwaamisha au kufukuza kabisa! Yaani wamekubali ccm ihaibike kiasi hiki!? Kwa nini hawakuwaleta wanafunzi wa shule zote hapo Iringa!? Walimu wote!? Hili jambo lazima mwenyekiti wetu Kikwete awachukulie hatua! Polisi kwa nini hawakwenda wote, waliovalia magwanda na wale wasio vaa!? Haiwezekani chama changu kiaibike kiasi hiki!?
RC & DC lazima chama changu kiwachukulie hatua Kali ikiwezekana hata kuwaamisha au kufukuza kabisa! Yaani wamekubali ccm ihaibike kiasi hiki!? Kwa nini hawakuwaleta wanafunzi wa shule zote hapo Iringa!? Walimu wote!? Hili jambo lazima mwenyekiti wetu Kikwete awachukulie hatua! Polisi kwa nini hawakwenda wote, waliovalia magwanda na wale wasio vaa!? Haiwezekani chama changu kiaibike kiasi hiki!?
eee bhana washikaji acheni masihara jamani !