CCM waaibika Iringa

CCM waaibika Iringa

Hawa Ma DC wa kidini na kishikaji wataweza nini? chama kimeoza system yao imeoza anguko la mwenye kiburi ni kubwa mno huyu dada alliyepewa promosheni toka DC hadi RC Iringa ni bogus amelewa madaraka na namuombea mungu atimize ahadi yake ya kuwaangusha wenye viburi. Mnajua alichofanya wiki iliyopita Iringa? mkutano wake wa kwanza na watendaji wa serikali ilikwa ni kuwatukana, kuwatisha kuwa hawana lolote kwa kuwa mshahara wao unalipwa na Bosi wake wa CCM? can you imagine RC mpumbavu asiyejua kuwa hata yeye na Mwenyekiti wake wanalishwa na kulipwa na sisi walipa kodi? kuna vitu vinakushawishi kuwa na wasiwasi na kichwa cha mtu tuliyekubali kujilaana kwa kumpa uongozi. No wonder watanzania wengi nikiwemo miim tunataka Lowasa aje kuwa rais maana atamshughulikie once and for all. Hakuna kusema eti watu wasiwe vindictive, how can you no kwa mtu huyu ambaye kwa sasa anataka kutuletea ISIS kwa speed ya rad, I can not wait kuona wakati tunamsindikiza Hague hata kama kwa macho kwangu mimi ntakua nimeridhika sana sana, mungu naomba muujiza huo
 
Hiyo nyomi ya Chadema huwa yote inapiga kura ufikapo uchaguzi mkuu?
 
unataka niamini kwamba hapo Iringa hakuna Ma Lory siku hizi ? sawa Hice je ? hata Bodaboda tufanye walikuwa buzy na mambo yao ,Bodaboda pia ama hakukua na Mnuso ama tatizo ni ni ni hasa ama ndo Serengeti haikuwepo
 
wakina faizafox et al siwaoni kabisa wamejichimbia wapi, aibu yao
 
Tunashuhudia kuagana na wenzetu' wenzetu 'wenzetu' ndugu zetu 'ndugu zetu' kwa heli mafisadi.
 
Back
Top Bottom