CCM waaibika Iringa

CCM waaibika Iringa

Malisa Godlisten

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
202
Reaction score
1,588
Mwakalebela hongera sana kwa "maelfu" ya watu waliojitokeza leo dhidi ya "mamia" waliojitokeza jana kwenye mkutano wa CHADEMA. Kidumu chama cha mapinduzi... hakika nimeamini chama chashika hatamu.!
 
Attachments

  • 1427644898961.jpg
    1427644898961.jpg
    108.8 KB · Views: 7,083
Mwakalebela hongera sana kwa "maelfu" ya watu waliojitokeza leo dhidi ya "mamia" waliojitokeza jana kwenye mkutano wa CHADEMA. Kidumu chama cha mapinduzi... hakika nimeamini chama chashika hatamu.!

Mwakalebela bado uDC unamzuzua, ajue 2010 ni tofauti na 2015
 
Hio ndio Chadema. Chanel ten wameonyesha saizi hapa kupitia taarifa ya habari. Cdm noma. Tunakipenda sana hiki chama.
 
RC & DC lazima chama changu kiwachukulie hatua Kali ikiwezekana hata kuwaamisha au kufukuza kabisa! Yaani wamekubali ccm ihaibike kiasi hiki!? Kwa nini hawakuwaleta wanafunzi wa shule zote hapo Iringa!? Walimu wote!? Hili jambo lazima mwenyekiti wetu Kikwete awachukulie hatua! Polisi kwa nini hawakwenda wote, waliovalia magwanda na wale wasio vaa!? Haiwezekani chama changu kiaibike kiasi hiki!?
 
Pendeni chadema hakuna udini ccm ya leo inatupeleka kuzimu.
 
RC & DC lazima chama changu kiwachukulie hatua Kali ikiwezekana hata kuwaamisha au kufukuza kabisa! Yaani wamekubali ccm ihaibike kiasi hiki!? Kwa nini hawakuwaleta wanafunzi wa shule zote hapo Iringa!? Walimu wote!? Hili jambo lazima mwenyekiti wetu Kikwete awachukulie hatua! Polisi kwa nini hawakwenda wote, waliovalia magwanda na wale wasio vaa!? Haiwezekani chama changu kiaibike kiasi hiki!?
Mkuu ilikuwa ngumu kwa sababu wanafunzi wako mapumziko ya pasaka!! Hivyo maccm yakawa yamekwama!! Hata kuleta fisi ilishindikana!!
 
Teh. Bado wale wa Zambarau. Ndugu zao wenye mitaji ni hivyo wao je?
 
Bila shaka Mwakalebela alitaka kupima upepo, na sasa tayari umeupima na majibu umepata. unaweze kurudi kwenye U DC au vinginevyo
 
Back
Top Bottom