B baraka moze Member Apr 21, 2012 99 3 May 27, 2012 #1 Zaidi ya 3000 wavaa magwanda wasema wamechoshwa ccm
segwanga JF-Expert Member Mar 16, 2011 2,789 729 May 27, 2012 #3 Hebu andka kama m2 mzima si kama chekechea.Unapochömoza kuwapiga pini magamba njoo na mipini ya kutosha mbona unakuwa kama sio great thinker bana au ndio balehe wa jf!
Hebu andka kama m2 mzima si kama chekechea.Unapochömoza kuwapiga pini magamba njoo na mipini ya kutosha mbona unakuwa kama sio great thinker bana au ndio balehe wa jf!
T tocolyitics Member Feb 5, 2012 76 35 May 27, 2012 #5 na bado. lakini cjaona mchakato wa maana Simiyu jamani tutafutane.
Ulukolokwitanga JF-Expert Member Sep 18, 2010 8,396 7,968 May 27, 2012 #6 tocolyitics said: na bado. lakini cjaona mchakato wa maana Simiyu jamani tutafutane. Click to expand... Huko unafiki wa Shibuda unakatisha tamaa wapenda mageuzi.
tocolyitics said: na bado. lakini cjaona mchakato wa maana Simiyu jamani tutafutane. Click to expand... Huko unafiki wa Shibuda unakatisha tamaa wapenda mageuzi.
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Feb 14, 2012 987 220 May 27, 2012 #7 baraka moze said: Zaidi ya 3000 wavaa magwanda wasema wamechoshwa ccm Click to expand... Too short........................................................:der:
baraka moze said: Zaidi ya 3000 wavaa magwanda wasema wamechoshwa ccm Click to expand... Too short........................................................:der:
A Activist p Member May 20, 2012 48 4 May 27, 2012 #8 Na bado sana mpaka 2015 gari lao litakuwa tupu.
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,608 52,339 May 27, 2012 #9 Ni matatizo ya kuandika kwenye simu huwezi kuandika sana hata kama hicho kitu unakijua vizuri, inatia uvivu sana. SIMBA WA TARANGA said: Too short........................................................:der: Click to expand...
Ni matatizo ya kuandika kwenye simu huwezi kuandika sana hata kama hicho kitu unakijua vizuri, inatia uvivu sana. SIMBA WA TARANGA said: Too short........................................................:der: Click to expand...