Msengelema ni nani?Kwa jinsi mikito ya kisiasa inavyoenda sasa hivi, mtu yoyote makini anaweza kutabiri upepo wa kisiasa utakavyokuwa kwenye uchaguzi kwa ngazi zote mwaka 2020.
Kwa sasa ccm wanajitahidi kadiri ya uwezo wao kupambana na rushwa,ufisadi na madawa ya kulevya kwa nguvu zao zote.
Elimu bure, serikali kuhamia dodoma na kufufuka kwa Atcl pamoja na kuboreka kwa bei ya mazao ya biashara kwa wakulima kama vile pamba na korosho ni baadhi ya mambo yanayotoa mwanga kwa ccm kuendelea kutamba na kuaminiwa na wananchi zaidi mwaka 2020.
Kwa upande mwingine Chadema wanajaribu kuwinda na kuvutia wanachama wapya kwa kutetea wakwepa kodi, wala rushwa, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.
Chadema wanajaribu kujibanza nyuma ya wafanyabiashara, kwamba ikishinda chadema, biashara zao zitaboreka ,pia licha ya kwamba chama hakina hata ofisi, chadema wameahidi wanafunzi watasoma bure mpaka chuo kikuu.
Kwa hali hiyo chadema pia inatoa mwanga wa kutamba mwaka 2020 kupitia uungwaji mkono wa makundi yanayoshugulikiwa vizuri na utawala wa awamu ya tano.
Makundi kama ya wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wala rushwa, wazembe kazini, wakwepa kodi, kwa sasa hawana nafasi ccm, hivyo watakimbilia chadema na kuipa matumaini ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2020.!!!
Wewe kwa maoni yako nani atatamba 2020??
utakuwa mpiga dili wewenilikuwa naipenda sana ccm ila awamu hii... ccm hamna kitu kuna umuhimu wa kujipanga upya naona mapicha picha tu!!!!
Kinacho ifanya serikali ya sasa hivi in kushindwa kupeleka pesa za maendeleo ktk Halmashauri za Wilaya kiasi hadi 2016/17 imefikia 3/4 lakini pesa iliyopangiwa (badgeted for) haijafikia 40% karibu ya wilaya zote, hivyo:Nadhani ccm itashindwa vibaya sana kutokana na mambo yafuatayo:-
1. Ukata na maisha magumu kwa wananchi pamoja na wafanyakazi ikiwa ni sababu za mfumuko wa bei.
2. Wanafunzi wengi wa elimu ya juu kukosa nafasi na malipo ya mikopo kutokana na kuambiwa hawana sifa hii ni kwa fresher's na continues
3. Serikali kutoka na mikakati madhubuti ya kuwainua wananchi kiuchumi na ahadi hewa za milioni hamsini kila kijijini ambapo hii imeshaugeuka kuwa ndoto.huku wananchi wakiambiwa fanyeni kazi.
4. Ukosefu wa ajira kwa watanzania hili ni janga kwa watanzania Hawa graduates ambao wapo mitaani ni Wengi sana na wameambiwa wajiajiri hakuna mwelekeo kwamba wataajiriwa leo wala kesho ( hapa nawalenga zaidi walimu na madaktari)
5. Utawala wa kiimla na kunyanyasa wapinzani hii imeleta kasoro kubwa sana na watanzania Wengi wamechukizwa na unyanyasaji
unaofanywa na serikali dhidi ya wapinzani. Watanzania Wengi wanasema hili siyo hukumu waliloituma serikali ya awamu hii.
6. Wafanyabiashara Wengi wamesikitishwa na kitendo cha serikali kupitia tra kutoa kodi kubwa isiyolingana na mapato na hali halisi ya biashara.
7. Wafanyakazi wa umma wamechoshwa na ahadi hewa za serikali na kunyimwa kwa stahiki zao ambazo zipo kisheria kwa kisingizio kwamba serikali unafanya uhakiki wa watumishi nilikuwa ni muda wa miezi miwili lakini sasa ni mwaka wapili huu kimya?
8. Wananchi Wengi wameshtushwa na utawala wa kinafiki ambao una endelea hivi sasa hapa nchini baada ya tuhuma lukuki zinazomkabili mkuu wa mkoa wa Dar Bwana Daudi bashite lakini kiongozi wake yuko kimya na ameshindwa kulitolea tamko. Hii ni double standard
Ngoja nakuja kuendelea....
Unga umepandishwa bei na ukame sio siasa. Je kenya ambao hata hayo mahindi ya bei kubwa hawana watasemaje?had sasa hakuna jipya ninaloliona zaid ya kunipa hasira tu... elimu imekuwa mbovu.. mfumuko wa bei ndo usiseme yaan mchele unashindana na unga kwa bei... kama hali itaendelea hv.. 2020 ccm nawapa bonge la nyanjo!!!!!!!

Huku mtwara kwa sababu ya Magufuli tuna pesa nyingi za korosho hadi tunanunulia mbuzi sodaNadhani ccm itashindwa vibaya sana kutokana na mambo yafuatayo:-
1. Ukata na maisha magumu kwa wananchi pamoja na wafanyakazi ikiwa ni sababu za mfumuko wa bei.
2. Wanafunzi wengi wa elimu ya juu kukosa nafasi na malipo ya mikopo kutokana na kuambiwa hawana sifa hii ni kwa fresher's na continues
3. Serikali kutoka na mikakati madhubuti ya kuwainua wananchi kiuchumi na ahadi hewa za milioni hamsini kila kijijini ambapo hii imeshaugeuka kuwa ndoto.huku wananchi wakiambiwa fanyeni kazi.
4. Ukosefu wa ajira kwa watanzania hili ni janga kwa watanzania Hawa graduates ambao wapo mitaani ni Wengi sana na wameambiwa wajiajiri hakuna mwelekeo kwamba wataajiriwa leo wala kesho ( hapa nawalenga zaidi walimu na madaktari)
5. Utawala wa kiimla na kunyanyasa wapinzani hii imeleta kasoro kubwa sana na watanzania Wengi wamechukizwa na unyanyasaji
unaofanywa na serikali dhidi ya wapinzani. Watanzania Wengi wanasema hili siyo hukumu waliloituma serikali ya awamu hii.
6. Wafanyabiashara Wengi wamesikitishwa na kitendo cha serikali kupitia tra kutoa kodi kubwa isiyolingana na mapato na hali halisi ya biashara.
7. Wafanyakazi wa umma wamechoshwa na ahadi hewa za serikali na kunyimwa kwa stahiki zao ambazo zipo kisheria kwa kisingizio kwamba serikali unafanya uhakiki wa watumishi nilikuwa ni muda wa miezi miwili lakini sasa ni mwaka wapili huu kimya?
8. Wananchi Wengi wameshtushwa na utawala wa kinafiki ambao una endelea hivi sasa hapa nchini baada ya tuhuma lukuki zinazomkabili mkuu wa mkoa wa Dar Bwana Daudi bashite lakini kiongozi wake yuko kimya na ameshindwa kulitolea tamko. Hii ni double standard
Ngoja nakuja kuendelea....
Ukiamka usingizini utajibiwaKwa jinsi mikito ya kisiasa inavyoenda sasa hivi, mtu yoyote makini anaweza kutabiri upepo wa kisiasa utakavyokuwa kwenye uchaguzi kwa ngazi zote mwaka 2020.
Kwa sasa ccm wanajitahidi kadiri ya uwezo wao kupambana na rushwa,ufisadi na madawa ya kulevya kwa nguvu zao zote.
Elimu bure, serikali kuhamia dodoma na kufufuka kwa Atcl pamoja na kuboreka kwa bei ya mazao ya biashara kwa wakulima kama vile pamba na korosho ni baadhi ya mambo yanayotoa mwanga kwa ccm kuendelea kutamba na kuaminiwa na wananchi zaidi mwaka 2020.
Kwa upande mwingine Chadema wanajaribu kuwinda na kuvutia wanachama wapya kwa kutetea wakwepa kodi, wala rushwa, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.
Chadema wanajaribu kujibanza nyuma ya wafanyabiashara, kwamba ikishinda chadema, biashara zao zitaboreka ,pia licha ya kwamba chama hakina hata ofisi, chadema wameahidi wanafunzi watasoma bure mpaka chuo kikuu.
Kwa hali hiyo chadema pia inatoa mwanga wa kutamba mwaka 2020 kupitia uungwaji mkono wa makundi yanayoshugulikiwa vizuri na utawala wa awamu ya tano.
Makundi kama ya wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wala rushwa, wazembe kazini, wakwepa kodi, kwa sasa hawana nafasi ccm, hivyo watakimbilia chadema na kuipa matumaini ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2020.!!!
Wewe kwa maoni yako nani atatamba 2020??
Korosho imepandishwa bei kisiasa wahindi wamegoma kuchukua imebidi tuuze kwa bei ya kutupaHuku mtwara kwa sababu ya Magufuli tuna pesa nyingi za korosho hadi tunanunulia mbuzi soda
Kumnunulia mbuzi soda ni wehu tu kama malimbulikeni wengine huko Arusha wanatumia bia kusafisha gariTungeuza bei ya kutupa hela za kununulia mbuzi soda zingetoka wapi
Chadema haijawahi kushika dolaNitajie ahadi hata moja ambayo chadema wametimiza
Huu ndio uwandishi wa kibashite.Kwa jinsi mikito ya kisiasa inavyoenda sasa hivi, mtu yoyote makini anaweza kutabiri upepo wa kisiasa utakavyokuwa kwenye uchaguzi kwa ngazi zote mwaka 2020.
Kwa sasa ccm wanajitahidi kadiri ya uwezo wao kupambana na rushwa,ufisadi na madawa ya kulevya kwa nguvu zao zote.
Elimu bure, serikali kuhamia dodoma na kufufuka kwa Atcl pamoja na kuboreka kwa bei ya mazao ya biashara kwa wakulima kama vile pamba na korosho ni baadhi ya mambo yanayotoa mwanga kwa ccm kuendelea kutamba na kuaminiwa na wananchi zaidi mwaka 2020.
Kwa upande mwingine Chadema wanajaribu kuwinda na kuvutia wanachama wapya kwa kutetea wakwepa kodi, wala rushwa, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.
Chadema wanajaribu kujibanza nyuma ya wafanyabiashara, kwamba ikishinda chadema, biashara zao zitaboreka ,pia licha ya kwamba chama hakina hata ofisi, chadema wameahidi wanafunzi watasoma bure mpaka chuo kikuu.
Kwa hali hiyo chadema pia inatoa mwanga wa kutamba mwaka 2020 kupitia uungwaji mkono wa makundi yanayoshugulikiwa vizuri na utawala wa awamu ya tano.
Makundi kama ya wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wala rushwa, wazembe kazini, wakwepa kodi, kwa sasa hawana nafasi ccm, hivyo watakimbilia chadema na kuipa matumaini ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2020.!!!
Wewe kwa maoni yako nani atatamba 2020??
Wabunge na madiwani wa chadema wana kazi ya Kupambana na mafisadi ya CCM yanayotumbua pesa za walipa kodi zinazotumwa kwenye taasisi za umma kwamfano tanescoKwa hiyo kazi ya wabunge na madiwani wa chadema ni nini??
Au ndio hiyo ya kubeba Ngada za mwenyekiti
Uelewa wako uko chini sanaHuu ndio uwandishi wa kibashite.
Unauliza swali hapo hapo unajijibu tena kwa maswali na majibu dhaifu na maelezo ya kuungaunga. Kwa uamdishi huu nina wasiwasi na elimu yaki ata vyeti vyako pia vinatia shaka.
Mahakama ya mafisadi siipo mpelekeni mnaogopa nini?Fisadi lowasa yupo chadema