FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Nape Nnauye, njoo, mambo mazito haya.
Last edited by a moderator:
Mmestukiwa kamchezo kenu kakuigiza.
Nape Nnauye, njoo, mambo mazito haya.
Mwite na Nchemba;Kinana pamoja na mwenyekiti wenu
Wote wataipata hii habari, magwanda mmestukiwa! kumbe mnatuletea mchezo wa kuigiza.
Na waandishi wa habari waelezeni Watanzania kuhusu hili, waelewe kuwa wanafanywa wajinga na chadema.
kwi kwi kwi teh teh teh
dah! Inatisha.

hahaha, huyo mpwa ndo yule yule mbweha zumbemkulu