Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,101
- 1,909
Dah! inatisha.
Multiple id's at work.
Dah! inatisha.
Zitto must go. I bid him farewell.
Umewahi kuona wapi watu wanafanya maigizo ya kutoana ngeu? Hakuna maigizo hapo, mwendo mdundo, wa kuondoka ataondoka tu!Mmestukiwa kamchezo kenu kakuigiza.
Mkuu, hata kama inasemwa kwa ubaya?napa raha ninapoona kila nikitembelea mitandao ya kijamii naona chadema!chadema!chadema
Umeona yale ya mwandiga na kasulu? Kama mnataka kachama kenu kafe, basi thubutu kumtimua huyu jamaaHalafu nina taarifa njema kwenu,muda si mrefu tutakatimua kwenye chama ili kaje huko lumumba kugombea uenyekiti,au sivyo?mbona munanuna tena,si mumesema munakapenda?tumeamua tuwapeni jumla teh teh teh!
CCM kwa kushirikiana na MNCs mnajiona mnaweza kumnunua kila mtu, fedha mlizo mhonga kijana amezilamba kasha akagundua kuwa career yake inaweza ikawa mashakani...akarudi kwa wataalam wakampa mpango mkakati sasa uharo unawabana...msichokijua ni kuwa hadi mwenyekiti wenu huwa anapenda mageuzi ndo maana baadhi ya vitu anapitishia kwa wapinzani...
Gud analysis.. na kuna kaukweli flani.. tujiulize, siku 14 zimeisha lakini kiimyaaa!!
Na kwanini haya yote yametokea kipindi karibu na uchaguzi mkuu, na ule wa serikali za mitaa.. Jibu ni rahisi, Zito aonekane amesamehewa arudi kwa kishindo azunguke nchi nzima kutangaza CDM.. Hivyo kila mtu ataielewa chadema.. Na itashinda kirahisi kila chaguzi. Zito atawambia tu wafuasi wake kwamba ugomvi umeisha chamani, tupge kazi, tuwaunge mkono viongozi wetu.
Hii ni very advanced technic inayotumiwa na chadema..
Wait and u'll see!