CCM; Tutachapisha Noti nyingi zaidi tuwape Walimu, Polisi na Wanafunzi!

Albert Msando

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,019
171
Nadhani itafika mahali mawazo kama haya yataanza kutolewa! Ili kuondoa migomo mashuleni na sehemu nyingine utasikia 'tuchapishe noti nyingi tuwape walimu na wanafunzi'. Kuna siku nilimsikia aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Charles Keenja akijibu swali bungeni....Mh Waziri Serikali imechukua hatua gani kukabiliana na njaa mwaka huu'

Akajibu 'tumeagiza matrekta 12....tuna imani yatasaidia kilimo'. Kila mara namkumbuka Charles Keenja!!

Inawezekana kabisa pendekezo la kuprint noti nyingi likatolewa! Kwa viongozi wetu wa sasa haitakuwa ajabu!
 
noti zitasumbua watengeneza mia 200 nyiingi ndo zitakuwa safi tusisumbuane na makonda kwenye daladala
 
Sidhani kama kina Ndullu pamoja na kuwa vikaragosi wa wanasiasa watakuwa tayari kufikia hatua hiyo na ukifika hapo basi uprofesa wake na wa MAJI MAREFU unakuwa hauna tofauti. Uchapishaji wa noti mpya unahitaji foreign reserve ambayo imemalizwa na wanasiasa kwa kuhamishiwa offshore. Labla wanunue mtambo wao wa kuchapishia hela nchini badala ya kutumia makampuni yanayotambulika na IMF.
 
Chezo kuna yule jamaa alikamatwa na polisi alikuwa na mashine ya kutengenezea coin fake! Inabidi apewe tender! Ila anazotengeneza ukipiga msumari katikati zinatoboka!
 
Wazee Tanzania hakuna serikali tunajiongoza wenyewe. Kama garama za maisha zinapanda namna hii na watu wametulia kuna kitu gani hapo kama sio watu wanakufa na tai zao
 
This thread is total bulllshit and has no merit. Huu ni upuuzi. Badilisha heading yako au shoot urself.
 
Kinyambiss, at least you have been fair in your comment. But tatizo ni title au content??
 
Ndulu.jpg

According to JK, Ndulu anafanya kazi nzuri. Sio siri serikali ya CCM wana matataizo ya fedha. Base on economic theories, BOT sees lack of flow money na hii njia ya kujaza mapesa mitaani, kwao wao CCM ni short term thinking. Hatuwezi tukawa na fedha mitaani bila kufikilia long term debt ya Taifa na inflation issue. Ndulu na magangstors BOT na ofisi ya raisi siku zote wanaongozwa na siasa sio financial facts. The value of Tanzania currency is going down the drain fast na uwezo wa Mtanzania kununua bidhaa nje ya nchi unakuwa mkubwa. Taifa gani litaendelea kwa hizi solutions za CCM? Sasa wananchi majumbani hawana umeme, wafanya bishara gharama zinaongezeka hasa wale wanao fanya bishara associated na food wanakufa kabisa kibishara. Bei za mafuta na vyakula ndio zinazidi kwenda juu, Watanzania watapata unafuu gani? Ukweli ni kwamba BOT hawana long term solutions wala short term solutions, huyu ndio JK mwana wa CCM....
 
Nadhani itafika mahali mawazo kama haya yataanza kutolewa! Ili kuondoa migomo mashuleni na sehemu nyingine utasikia 'tuchapishe noti nyingi tuwape walimu na wanafunzi'. Kuna siku nilimsikia aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Charles Keenja akijibu swali bungeni....Mh Waziri Serikali imechukua hatua gani kukabiliana na njaa mwaka huu'

Akajibu 'tumeagiza matrekta 12....tuna imani yatasaidia kilimo'. Kila mara namkumbuka Charles Keenja!!

Inawezekana kabisa pendekezo la kuprint noti nyingi likatolewa! Kwa viongozi wetu wa sasa haitakuwa ajabu!

Hilo linawezekana kabisa kwa watu wa aina ya Makamba aka mropokaji
 
Dah! Mungu aepushe tusije tukawa tunaenda kununua soda na magunia matatu ya hela.
 
Sidhani kama kina Ndullu pamoja na kuwa vikaragosi wa wanasiasa watakuwa tayari kufikia hatua hiyo na ukifika hapo basi uprofesa wake na wa MAJI MAREFU unakuwa hauna tofauti. Uchapishaji wa noti mpya unahitaji foreign reserve ambayo imemalizwa na wanasiasa kwa kuhamishiwa offshore. Labla wanunue mtambo wao wa kuchapishia hela nchini badala ya kutumia makampuni yanayotambulika na IMF.

Kwani hawajafika bado???. Huoni juice ya 2500 inauzwa 3500. kesho na kesho daladala kimara posta 900.
 
Ndulu.jpg

According to JK, Ndulu anafanya kazi nzuri. Sio siri serikali ya CCM wana matataizo ya fedha. Base on economic theories, BOT sees lack of flow money na hii njia ya kujaza mapesa mitaani, kwao wao CCM ni short term thinking. Hatuwezi tukawa na fedha mitaani bila kufikilia long term debt ya Taifa na inflation issue. Ndulu na magangstors BOT na ofisi ya raisi siku zote wanaongozwa na siasa sio financial facts. The value of Tanzania currency is going down the drain fast na uwezo wa Mtanzania kununua bidhaa nje ya nchi unakuwa mkubwa. Taifa gani litaendelea kwa hizi solutions za CCM? Sasa wananchi majumbani hawana umeme, wafanya bishara gharama zinaongezeka hasa wale wanao fanya bishara associated na food wanakufa kabisa kibishara. Bei za mafuta na vyakula ndio zinazidi kwenda juu, Watanzania watapata unafuu gani? Ukweli ni kwamba BOT hawana long term solutions wala short term solutions, huyu ndio JK mwana wa CCM....

Sijaona ncho inauza change yaani unauza fedha za aia moja. upuuzi huu. halafu fedha hazitumiki lakini mpaka leo bot hawaja zikusanya. kama 20,10 zinazagaa tuu mitaani hazina kazi, hivi uprof ndio nini??. Namheshimu sana mzee wa watu lakini sijaona chochote cha tofauti alicho fanya upto this time.
 
Sidhani kama kina Ndullu pamoja na kuwa vikaragosi wa wanasiasa watakuwa tayari kufikia hatua hiyo na ukifika hapo basi uprofesa wake na wa MAJI MAREFU unakuwa hauna tofauti. Uchapishaji wa noti mpya unahitaji foreign reserve ambayo imemalizwa na wanasiasa kwa kuhamishiwa offshore. Labla wanunue mtambo wao wa kuchapishia hela nchini badala ya kutumia makampuni yanayotambulika na IMF.

Mkuu Hofsede
Tanzania Hakuna Usomi wala Mawazo ya Kisomi yanayokubaliwa
Balali alikuwa masomi mzuri tu, lakini yaliyofanyika pale BOT unayajua, japo hakutaka lakini halikuwa hana uwezo
Chenge ni Msomi Mzuri tu tena wa Havard aliyoyafanya unayajua
Warema (Mwanasheria Mkuu) madudu anayoyafanya sasa ni aibu kubwa kwa msoni
Hosea ni msomi mzuri tu lakini Takukuru imemshinda

Mkuu Tanzania Siasa Ndio zinatumaliza
 
Back
Top Bottom