Mkuu hata wewe kumbe unaweza kwenda low kiasi hiki? Nisaidie hicho kipengele cha katiba. Tuendelee kufunzana.
Asiyekujua atakubali, wanyamwezi na wasukuma hawana neno 'veve' wanasemaga 'bebe nyanda'.Mie Mnyamwezi wa Sikonge na Mnyakyusa wapi na wapi? Nawafahamu Mwakalinga family wengi tu ila mie siyo mtu wa huko wa Kyela na wala sijafika. Unaweza ukaweka ila utakuwa unaumbua watu wengine kabisa na siyo mie.
Veve Nyanda, Msula eve. Lelingange, kada kiti kampaninga kahurumzya, Fyonooo....... Nafikiri Kinyonga kaelewa 🙂
Manispaa ya Arusha, the so called Jiji ina kata 17 tu. Ana maana hata Mbunge wa Arusha ni wa CCM?
Mkulima
Asante kwa kujibu swali kuhusiana na idadi ya madiwani ktk vyama huhusika, sasa mwenye macho haambiwi tazama, akili ni nywere kila mtu na zake. Shauri lao wenyevipara kichwani.
Mzee nilikuwa sijakupata kwenye bold sasa nimekuelewa.Ongezea Vicky Kamata ni mbunge wa vitu Maalumu Mkoa wa Geita!
Mkulima
Asante kwa kujibu swali kuhusiana na idadi ya madiwani ktk vyama huhusika, sasa mwenye macho haambiwi tazama, akili ni nywere kila mtu na zake. Shauri lao wenye vipara kichwani.
Asiyekujua atakubali, wanyamwezi na wasukuma hawana neno 'veve' wanasemaga 'bebe nyanda'.
Hahahahahah sisi wenye vipara hatuna akili sababu hatuna Nywele na si Nywere!
Wee MkamaP,
Acha kututukana wenye WASH & GO Kichwani bana.
Pamoja na kusoma yote, kumbuka kutumia akili za Mbayuwayu. Kwani Nywele ni kichwani tu?
Sema wengine wanazo nyingi, wengine ni kama Michael Jordan.....

Nina hasira na MkamaP ina maana mimi, Mkapa, Kinana na vipara vyetu hatuna akili? Ole wake nikutane naye atajua kuwa niko uwt!
Wataje wote wenye vipala, kwi kwi kwi vipi Said mwema?
Nimekusamehe hahahahah!!!! Said Mwema nilikuwa namheshimu sana sasa nadhani unaweza kuwa sahihi wenye vipara hawana akili huenda.
NB: Ni Kipara na si Kipala refer kamusi ya TUKI
Search Results for 'kipara' | Matokeo ya Utafutaji kwa 'kipara' | The Kamusi Project
Kama ni ubishi usio na tija wewe unakuwasha nini, ukitaka tuvue majoho ya ustaarabu endelea, wewe endelea kuwadanga wengine na mahesabu yako ya chekechea hata Hai walikuwa wanafanya hesabu hizo hizo za kujumlisha na kutoa mwisho CCM wakapata jawabu la sifuri kwa kuanzia nyambaf.Quinine,
Achana na ubishi ambao hauongezi tija. Sikonge mbona anajulikana waziwazi hapa kwamba ni mtu wa Sikonge, Tabora? Kufahamiana kwake na Mwakalinga hakumfanyi awe mtu wa Mbeya.
Nafikiri muhimu tuendelee kujadili mambo ya katiba na kuacha haya ya kushambuliana.
Wewe ni hopeless kabisa eti tumuulize Mwanakijiji inavyoonekana hata ukipigwa na mkeo huwa unamshitaki kwa MKJJ hovyoooo, kwanza takwimu zako feki hujui wabunge nao ni madiwani kwenye mikoa yao.
Hizza amewehuka. Hana tofauti na mtu aliyeingiwa na pepo, ilhali punde tu ametoka kwa mganga.
Jiulize kama CCM wana madiwani wengi kwanini uchaguzi ulifanyika kwa kuvizia?
Pili kwanini walijaribu kumtumia mamluki Chatanda? Hata kama amemsafisha bado ni mamluki tu maana TAMBWE kaongopa katika kanuni.
Si kweli kuwa mbunge wa viti maalum ni mjumbe wa halmashauri yoyote. Ingekuwa hivyo CDM isingekuwa na mashaka maana ingewazoa wabunge wake wa viti maalum kila kona ya nchi na kwenda kuwajaza Arusha.
Tatu, kama kweli wana madiwani wengi kwanini hawataki uchaguzi urudiwe ili washinde kihalali tena ushindi wa waziwazi.?
Nne,kwanini TAMBWE anaudanganya umma kuwa CCM ina madiwani 16, wakati anafahamu fika kuwa diwani wao wa kata ya Sombetini amejiuzulu na ameshakabidhi barua kwa mkurugenzi wa halmashauri na nakala anayo Makamba?
Tano, kwanini hataki kukubali kuwa TLP waliwapa kura na kitendo cha naibu meya ambaye ni tlp kujiuzulu kitapunguza kura zao?
Saba, kama kweli CCM ina madiwani wengi kwanini waliungana na tlp, maana kama wako wengi kura zao tu zingetosha.
Nane, kama mameya wote wanatekeleza ILANI na sera za CCM kwanini walisimamirha mgombea Arusha? Maana wasingesimamisha mgombea wakijua yoyote atakayechaguliwa atatekeleza sera na ilani yao.
CCM wamewehuka, wanaweweseka, wana kihoro, OLE WAO!!
Hesabu tena vizuri, inaelekea wana kata 19. Kumbuka kuna kata ziliongezwa mwaka 2010.
Madiwani wa Arusha ni 19 wa kuchaguliwa, mbunge mmoja wa kuchaguliwa. Madiwani wa kuteuliwa 7 (CCM 4 na CHADEMA 3) na wabunge viti maalum wanne (CHADEMA 2 na CCM 2). Jumla ndio inakuja 31.
Waliopiga kura walikuwa 16 wa CCM na mmoja wa TLP, jumla 17.
Hizza amewehuka. Hana tofauti na mtu aliyeingiwa na pepo, ilhali punde tu ametoka kwa mganga.
Jiulize kama CCM wana madiwani wengi kwanini uchaguzi ulifanyika kwa kuvizia?
Pili kwanini walijaribu kumtumia mamluki Chatanda? Hata kama amemsafisha bado ni mamluki tu maana TAMBWE kaongopa katika kanuni.
Si kweli kuwa mbunge wa viti maalum ni mjumbe wa halmashauri yoyote. Ingekuwa hivyo CDM isingekuwa na mashaka maana ingewazoa wabunge wake wa viti maalum kila kona ya nchi na kwenda kuwajaza Arusha.
Tatu, kama kweli wana madiwani wengi kwanini hawataki uchaguzi urudiwe ili washinde kihalali tena ushindi wa waziwazi.?
Nne,kwanini TAMBWE anaudanganya umma kuwa CCM ina madiwani 16, wakati anafahamu fika kuwa diwani wao wa kata ya Sombetini amejiuzulu na ameshakabidhi barua kwa mkurugenzi wa halmashauri na nakala anayo Makamba?
Tano, kwanini hataki kukubali kuwa TLP waliwapa kura na kitendo cha naibu meya ambaye ni tlp kujiuzulu kitapunguza kura zao?
Saba, kama kweli CCM ina madiwani wengi kwanini waliungana na tlp, maana kama wako wengi kura zao tu zingetosha.
Nane, kama mameya wote wanatekeleza ILANI na sera za CCM kwanini walisimamirha mgombea Arusha? Maana wasingesimamisha mgombea wakijua yoyote atakayechaguliwa atatekeleza sera na ilani yao.
CCM wamewehuka, wanaweweseka, wana kihoro, OLE WAO!!
Usidandie treni kwa mbele nani kasema Chatanda ni mbunge wa Arusha soma post za watu kabla ya kutapika Zee jinga zaidi.wewe ndio HOPELESS, kumbe unajua kuwa wabunge wa viti maalumu ni madiwani kwenye mikoa yao, halafu bado unarapoqt ujinga? Kama unafahamu hilo MARY chatanda alipigaje kura ARUSHA wakati mkoa wake ni Tanga? Acha wehu.