Uchaguzi 2020 CCM tumezidiwa sana na tunaweza tusimalize vizuri. Huyu mtu kasi yake ya ajabu

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Ndugu zangu wanaCCM mlioko humu ndani na kwingineko, hali ni ngumu sana huyu mtu anatuzidi kwa kiasi kikubwa sana kwa ninavyotazama mimi na msema kweli mpenzi wa Mungu.

Huyu ni ambaye ni sawa na Faru aliyejeruhiwa yupo Energetic, anaongea mambo magumu yanayogusa ndani, anaijua sheria sana anajiamini. Naomba sana kuelekea mwishoni tujitathmini.

Tusijipe moyo kwakuwa sisi ni Chama dola kwa maana kwamba tuna uwezo wa kufanya lolote tusalie madarakani, tufahamu kwamba huyu bwana katika hotuba zake kuna zaidi ya dakika 30 za kuelimisha umma namna ya kuzijua haki zao wakati wa uchaguzi. Hawa watu wanaojitokeza kumwangalia ni wengi na Ikumbukwe kwamba uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa watu walijitokeza kujiandikisha tena wengine wanalazimishwa na MaDC mwaka jana na wengi tunakumbuka vizuri. Kwahiyo waliojiandikisha ni wengi sana na serikali ilihamasisha hilo mwaka jana.

Tusijivunie wanachama wetu zaidi ya milioni 11 tulionao, wengi ni majeruhi wa kura za maoni wako nasi kwenye nyuso tu lakini moyoni hawapo na tunawaona. Huu umati ukimpiga kura nyingi huyu bwana hatutaweza kulazimisha kumzuia tutaumiza watu. Kama kuna makosa ya kimkakati naona tunataka kuchelewa Muda unayoyoma chama ndio halitajwi sana siyo mitandaoni wala mitaani zaidi utamsikia Tundu Lissu tu. Ukisikia CCM kinatajwa labda siku hiyo kuna kampeni mahali flani.

Mara nyingi CCM tumekua wagumu hatushauriani na tunajiona tunajua sana hasa katibu wetu wa Itikadi na wenezi , tunaenda kuumia na mimi naenda kukata tamaa walai.
 
Mitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona kama kashakuwa Rais na CCM imechemka.

Lissu hawezi kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
 
Ndugu zangu wanaCCM mlioko humu ndani na kwingineko, hali ni ngumu sana huyu mtu anatuzidi kwa kiasi kikubwa sana kwa ninavyotazama mimi na msema kweli mpenzi wa Mungu...
Pole sana ndugu Mahanju,
Jumuika na wengine wapenda haki
Ķatuletea kiongozi bora
Kiongozi bora ni yule anayesimamia sheria, anayejali haki na mwenye kuleta mabadiliko chanya kimaendeleo ktk jamii.
Kura yako usiipoteze
Mpe bwana TAL
 
Mitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona Kama kashakuwa Raisi na CCM imechemka.....

Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
Bora helicopter kuliko wasanii
 
Hakuna mtu wa kuumia katika hili tutashina na hakuna mtu aliye tushawishi kushindwaaa ni lazimaaa tushinde tena kawa kishindo.
 
Kura ni kwenye box sio kakikundi cha watu wachache hapa JF ambao wana mihemko na mropokaji wao.

October 28th jiandaeni kusikia USHINDI wa kishindo kwa JPM

JPM anatosha
CCM kwa maendeleo ya Tanzania.
 
Sitashangaa hapo ulipo umemaliza chuo na kazi ya kufanya huna

Unaomba pesa kwa shemeji yako elfu tatu asubuhi kabla ya kwenda kwenye shughuli zake halafu unapiga kelele hapa JF

Vijana wengi wa siku hizi mmemaliza vyuo vikuu lakini uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana

Hakuna tofauti ya wewe na mtoto wangu wa chekechea mwenye uwezo wa kuniuliza Baba mbona leo umechelewa kurudi nyumbani au mbona leo hatuendi mazoezi?

Wewe kichwa chako ni zero brain,huwezi kufikiri wala kuhoji

Unasubiria pesa ya shemeji,Fanya kazi mkuu
Huyu sasa ndo polepole mwenyew sasa, utopolo huu sijui umeutoa wapi unasema watu wanaenda kushangaa helicopter kana kwamba lissu kaanza zamani sana kutumia huo usafiri kumbe ni jana tuuu.. Lakin kiwewe kimekushika hadi unafikiri kwa tumbo badara ya kichwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu asivyojielewa anasema eti watu wanaenda kushangaa helcopter tu. Anasahau mwanzoni walisema watu wanaenda kumshangaa Lissu maana ni msukule.

Lakini ukimwambia kwenye mikutano yao watu wanafuata fiesta hapo hakuelewi wakati picha imeonekana tamasha likiisha watu wanasepa.
 
Sitashangaa hapo ulipo umemaliza chuo na kazi ya kufanya huna

Unaomba pesa kwa shemeji yako elfu tatu asubuhi kabla ya kwenda kwenye shughuli zake halafu unapiga kelele hapa JF

Vijana wengi wa siku hizi mmemaliza vyuo vikuu lakini uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana

Hakuna tofauti ya wewe na mtoto wangu wa chekechea mwenye uwezo wa kuniuliza Baba mbona leo umechelewa kurudi nyumbani au mbona leo hatuendi mazoezi?

Wewe kichwa chako ni zero brain,huwezi kufikiri wala kuhoji

Unasubiria pesa ya shemeji,Fanya kazi mkuu
Kumbe haya mazuzu umeyashtukia enh?!

Yaani yapo mengi tu, lakini ukiyaona yanavyoshabikia ujinga unaweza kusema tayari mambo yao yameshawanyookea na yamenyooka wakati wa utawala wa Jiwe ndio maana wanamshabikia pamoja na madhira yote!

Kinyume chake, mengi ni majinga majinga tu! Mengine hata kazi hayana, lakini yanamshabikia Jiwe kwa sababu tu Msukuma mwenzao!

Sitalisahau Juha moja hapa hapa JF, miaka michache iliyopita... yule mpuuzi ungeweza kusema yupo pale Hazina kwahiyo ananufaika sana na utawala wa Jiwe kumbe boya tu aliyekuwa na ka-kioski chake Vingunguti, na kutokana na ugumu wa bishara, alikuwa anakiuza, na tangazo aliweka hapa hapa JF!!

Baada ya kumfukulia hiyo post akinadi kakioski kake, akakimbia mazima kwenye ule uzi!!
 
Kura ni kwenye box sio kakikundi cha watu wachache hapa JF ambao wanamhemko na mropokaji wao.

October 28th jiandaeni kusikia USHINDI wa kishindo kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Vipi utabiri wako kwa DAB umeishia wapi? Cheo ni dhamana, kuna siku tu hata kama si leo wala kesho ila ipo siku isiyo na jina..... Na kabla hujaishusha pua ardhini nafsi na roho yako vitakupatia jibu

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Mitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona Kama kashakuwa Raisi na CCM imechemka.

Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
Wewe bado hujui chochote. Kaaeni na mitambo yenu CHADEMA tunajiandaa kulinda kura by hooks and crooks.
 
Vipi utabiri wako kwa DAB umeishia wapi? Cheo ni dhamana, kuna siku tu hata kama si leo wala kesho ila ipo siku isiyo na jina..... Na kabla hujaishusha pua ardhini nafsi na roho yako vitakupatia jibu

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Jibu la nini tena maana October 28th mimi najua ni Magufuli 5 Tenaaa.

Tujitokeze October 28th tukampe kura za ndio JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona Kama kashakuwa Raisi na CCM imechemka.

Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
Mie nadhani wewe ndio bado una akili za kizamani kudhani mbinu zile za kupora na kuiba kura kwamba zinaweza kuzaa matunda nyakati hizi!
NEVER, na wenyewe wameshalijua hilo.
 
Ndugu zangu wanaCCM mlioko humu ndani na kwingineko, hali ni ngumu sana huyu mtu anatuzidi kwa kiasi kikubwa sana kwa ninavyotazama mimi na msema kweli mpenzi wa Mungu.
Huyu ni ambaye ni sawa na Faru aliyejeruhiwa yupo Energetic, anaongea mambo magumu yanayogusa ndani, anaijua sheria sana anajiamini. Naomba sana kuelekea mwishoni tujitathmin.

Tusijipe moyo kwakua sisi ni Chama dola kwa maana kwamba tuna uwezo wa kufanya lolote tusalie madarakani, tufahamu kwamba huyu bwana katika hotuba zake kuna zaidi ya dakika 30 za kuielimisha umma namna ya kuzijua haki zao wakati wa uchaguzi. Hawa watu wanaojitokeza kumwangalia ni wengi na Ikumbukwe kwamba uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa watu walijitokeza kujiandikisha tena wengine wanalazimishwa na MaDC mwaka jana na wengi tunakumbuka vizuri. Kwahiyo waliojiandikisha ni wengi sana na serikali ilihamasisha hilo mwaka jana.

Tusijivunie wanachama wetu zaidi ya milioni 11 tulionao, wengi ni majeruhi wa kura za maoni wako nasi kwenye nyuso tu lakini moyoni hawapo na tunawaona. Huu umati ukimpiga kura nyingi huyu bwana hatutaweza kulazimisha kumzuia tutaumiza watu. Kama kuna makosa ya kimkakati naona tunataka kuchelewa Muda unayoyoma chama ndio halitajwi sana siyo mitandaoni wala mitaani zaidi utamsikia Tundu Lissu tu. Ukisikia CCM kinatajwa labda siku hiyo kuna kampeni mahali flani.

Mara nyingi CCM tumekua wagumu hatushsuriani na tunaiona tunajua sana hasa katibu wetu wa Itikadi na wenezi , tunaenda kuumia na mimi naenda kukata tamaa walai.
Kura huwa hazitafutwi majukwaani
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Back
Top Bottom