Tunajaribu kugombana na:
1.wasukuma kupitia kwa askofu Gwajima na Mpina .kabila hili ni hatari , umoja wao na kwa wingi wao.na sasa amekuja POLEPOLE tunaanza kumjibu kwa kejeli ? hapa tunakosea .afadhali kunyamazi kuliko kuongea .
2.Taasisi za dini kupitia Askofu GWAJIMA na KKAM ,na TEC : KUNDI hili ni hatari zaidi.tunamuona Gwajima tunafikiri yuko peke yake ,siyo kweli .wakanisa mengi yako nyuma yake ila wamenamua kunyamaza.watajibu kwenye sanduku la kura.
3.upinzani hasa chadema.kundi hili hatari kwa ccm .tuko kipindi cha utandawazi,tuko kipindi cha utawala wa Donald Trump ambaye hana m,zaha na mtu.chadema wako suppoted sana na EU ,USA kuliko ccm ambayo nahisi suppoti yetu ni china na Putin .
4.wananchi wengi wameaminishwa kwamba DP world haikuwa sahihi.
wazee wa chama kaeni chini mtafakali namna ya kukivusha chama.
this is a very crucial moment.a single mistake ,chama kitakufa na kuandika historia mbaya kwamba chama kilifia mikononi mwa manamama.
2015 CCM ilipona kwa kumchagua JPM hata kama ndani ya chama kuna watu walikuwa hawampendi