CCM tumetengeneza wakati hatari kwa chama chetu

Nyie sukuma gang mtahangaika sana lakini asilani hamtauona uongozi wa nchi hii tena. Mtaokoteza kila upuuzi, sasa Polepole ni mdudu gani ktk siasa ya nchi hii, km siyo yule mshamba wenu kumwokoteza jalalani nani angemjua? Hamna sera wala mkakati wwte zaidi ya kuokotez kila tukio ht liwe dogo kiasi gani, Mungu ameshaamua ugomvi wa nchi hii ametuepusha na majanga ambayo angeisababishia nchi hii yule mfu wenu. Hakuna chenu tena, bila ht aibu eti wasukuma kabila hatari, ht haya?
Acha udwanzi wewe.Kuna pigo takatifu linakuja ndani ya CCM.
 
Nyie sukuma gang mtahangaika sana lakini asilani hamtauona uongozi wa nchi hii tena. Mtaokoteza kila upuuzi, sasa Polepole ni mdudu gani ktk siasa ya nchi hii, km siyo yule mshamba wenu kumwokoteza jalalani nani angemjua? Hamna sera wala mkakati wwte zaidi ya kuokotez kila tukio ht liwe dogo kiasi gani, Mungu ameshaamua ugomvi wa nchi hii ametuepusha na majanga ambayo angeisababishia nchi hii yule mfu wenu. Hakuna chenu tena, bila ht aibu eti wasukuma kabila hatari, ht haya?
Wewe ndio mshamba wa mjini umemjua Polepole juzi.
 
Nyie sukuma gang mtahangaika sana lakini asilani hamtauona uongozi wa nchi hii tena. Mtaokoteza kila upuuzi, sasa Polepole ni mdudu gani ktk siasa ya nchi hii, km siyo yule mshamba wenu kumwokoteza jalalani nani angemjua? Hamna sera wala mkakati wwte zaidi ya kuokotez kila tukio ht liwe dogo kiasi gani, Mungu ameshaamua ugomvi wa nchi hii ametuepusha na majanga ambayo angeisababishia nchi hii yule mfu wenu. Hakuna chenu tena, bila ht aibu eti wasukuma kabila hatari, ht haya?
soma hii

The Sukuma people are the largest ethnic group in Tanzania, comprising roughly 16% of the country's total population. Estimates of their population range from 5.5 million to over 10 million, according to some sources. They primarily reside in the northern part of Tanzania, particularly around Lake Victoria, in an area known as Usukuma
 
Write your reply...ukiwa jf unaweza fikiri nchi imekumbwa na hofu ya machafuko. Kumbe makenge na manyumbu yanapiga kelele
 
Tunajaribu kugombana na:
1.wasukuma kupitia kwa askofu Gwajima na Mpina .kabila hili ni hatari , umoja wao na kwa wingi wao.na sasa amekuja POLEPOLE tunaanza kumjibu kwa kejeli ? hapa tunakosea .afadhali kunyamazi kuliko kuongea .
2.Taasisi za dini kupitia Askofu GWAJIMA na KKAM ,na TEC : KUNDI hili ni hatari zaidi.tunamuona Gwajima tunafikiri yuko peke yake ,siyo kweli .wakanisa mengi yako nyuma yake ila wamenamua kunyamaza.watajibu kwenye sanduku la kura.
3.upinzani hasa chadema.kundi hili hatari kwa ccm .tuko kipindi cha utandawazi,tuko kipindi cha utawala wa Donald Trump ambaye hana m,zaha na mtu.chadema wako suppoted sana na EU ,USA kuliko ccm ambayo nahisi suppoti yetu ni china na Putin .
4.wananchi wengi wameaminishwa kwamba DP world haikuwa sahihi.

wazee wa chama kaeni chini mtafakali namna ya kukivusha chama.

this is a very crucial moment.a single mistake ,chama kitakufa na kuandika historia mbaya kwamba chama kilifia mikononi mwa manamama.
2015 CCM ilipona kwa kumchagua JPM hata kama ndani ya chama kuna watu walikuwa hawampendi
Naam, mdogo mdogo dawa inaingia.
 
Back
Top Bottom