CCM tumefikaje hapa tulipo?

CCM tumefikaje hapa tulipo?

Huyu mzee wake ime ripotiwa kalazwa hospitali kule kwa Malikia so sidhani kama hata anajua kinacho endelea kwenye vikao vya chama chake; tumwombee tu mzee apone haraka.

- Media kanjanja na Wananchi kanjanja kama wewe, kila Mzee anapokwenda Medical Check Up wakijua tu wanasema amelazwa infact aliyelazwa karudi leo umesikia Media ikisema ametoka Hospitali na kwamba amerudi?

Le Mutuz
 
Wewe ni sample ya ubongo wa Watanzania wengi ulivyo dhaifu kwa kughiribiwa na porojo za Le Mutuz.

Mtu anayekula matapishi yake ni wa kuogopa kama ukoma hiki ni kipindi ni cha maopotunist kuanza kujipendekeza.

Kila mtu atakushangaa leo hii mtu kama Nape na Makonda waanze kumsifia Lowasa halafu eti uwasapoti Fact na Evidence ni kwamba Le Mutuz ameshausoma mchezo na ni very clear Lowasa ameshaiteka Ccm na Le Mutuz ni mmoja wa mateka aliyeamuwa kujisalimisha mapema ili akumbukwe hata Udc, Membe alishashindwa mchakato huu hata kabla hajachukuwa fomu.

- Ningekuwa ni wewe ningempigania mgombea wa chama changu kuliko kulala macho na wagombea wa CCM vipi mmeshakubali kushindwa kabla ya uchaguzi?

Le Mutuz
 
Le mutuz waliotumwa kumshawishi jaji Ramadhani ni pamoja baba yako mzee Malecela, ambaye ni rafiki yake pia. FYI kundi la jaji yumo pia dada yako Dr Mwele ambaye baadae atagombea ubunge Mtera na huyo ndiye waziri wa Afya ajaye. So le mutuz kuwa mpole ukipata hata uofisa utamaduni wa wilaya si haba ila huko unakokimbilia siko!

- Next time jifunze kuelewa mada kwanza kabla hujakurupuka na nonsense kama hizi peleka kule kwenye Celebrity Forums sio hapa ambapo wananchi tunajadili hatma ya Taifa letu!!

Le Mutuz
 
Le Mutuz...CCM ummefika hapo kwa sababu zifuatazo
1. Kulindana
2. Unafiki
3. Kulea Rushwa ndani ya ccm na serikalini
4. Kuoneana haya
5. Kutofuata taratibu na Sheria zilizopo
6. Kudhani CCM ndo Tanzania
7. Majivuno

- Saafi sana thank you Sir!!

Le Mutuz
 
Achana naye kama Le Mutus ameanza kurejesha akili zake na Matola soon atarejea. Wakati mwingine tatizo ni kuvaa viatu ambavyo ni vikubwa unaishia kutafuta cheap popularity ya kitoto- nadhani unanipata

- Uwezo wako wa kufikiri na kuelewa ni mdogo sana, hii mada is too complicated kwa ubongo wako so please relax kaa pembeni usome tu maana kujadiili huwezi le akili ndogo!!

Le Mutuz
 
raisi dada yake le mutuz..

na le mutuz mwenyewe anakamata uwaziri mkuuu.

kitu ma party tu nchi nzima. wekend inaanzia jumatano
Hahahaaa bosi wangu hapa unamaanisha dakitari Mwele?Kaongea ukweli fulani ingawaje hiyo nia yake nzuri imeshindwa kuonekana kwani huwezi kulalamika jahazi linazama katikati ya bahari badala ya wewe kuingia jahazi la uokozi bado unabakia kulalamika tu linazama...mtu wa ivyo nafikiri anahitaji maombi na ukombozi wa fikra.

W. J. Malecela for the fast time you have spoken something with substance! Good turn though...

Kudos!
 
Last edited by a moderator:
- Uwezo wako wa kufikiri na kuelewa ni mdogo sana, hii mada is too complicated kwa ubongo wako so please relax kaa pembeni usome tu maana kujadiili huwezi le akili ndogo!!

Le Mutuz
Haya ndo matatizo yako! Husomi unakurupuka, nakusifia kwa ajili ya hii sred ila unaharibu kwa majibu yako. Pole sana mhe.
 
ni wewe le mutuz? sasa naanza kuamini kuwa utu uzima dawa.Kibaya ni pale unapopost vipicha na vi baby baby vya kibongo.watu hawakuelewi.Any way changes begins with you.big up le mutuz.ukuu wa wilaya viti maalumu?
 
- Tofauti ya mimi na wewe ni moja mimi ni THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK na Vijana wengi ndio my clients, biashara zangu zote zipo kwenye Social Media ambapo pia ninamiliki kampuni ambayo ninaajiri Vijana wengi kwa hiyo hao unaowalalamikia ndio my clients sasa nisipowaheshimu ninapokutana nao nitafunga biashara zangu, maana matangazo mengi ninayotangaza kwenye oulets zangu za Social Media kuanzia Instagram mpaka blog zinawalenga hawa vijana unaowaita vibaby baby, pole sana kwenye online business advert wanaolengwa na vijana unaowaita vibaby sio mtumzima kama wewe, hahahahahahahahah U know!!

Le Mutuz
 
Haya ndo matatizo yako! Husomi unakurupuka, nakusifia kwa ajili ya hii sred ila unaharibu kwa majibu yako. Pole sana mhe.

- Hivi wewe mburulazzz kweli unaamini ninahitaji sifa za mjinga kama wewe? No way keep sifa zako nenda shule this topic is too complicated kwa akili yako ndogo sana so keep out of this kwa faida yako mwenyewe hahahahahaha

Le Mutuz
 
Hahahaaa bosi wangu hapa unamaanisha dakitari Mwele?Kaongea ukweli fulani ingawaje hiyo nia yake nzuri imeshindwa kuonekana kwani huwezi kulalamika jahazi linazama katikati ya bahari badala ya wewe kuingia jahazi la uokozi bado unabakia kulalamika tu linazama...mtu wa ivyo nafikiri anahitaji maombi na ukombozi wa fikra.

- Nonsense!!

Le Mutuz
 
- Tofauti ya mimi na wewe ni moja mimi ni THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK na Vijana wengi ndio my clients, biashara zangu zote zipo kwenye Social Media ambapo pia ninamiliki kampuni ambayo ninaajiri Vijana wengi kwa hiyo hao unaowalalamikia ndio my clients sasa nisipowaheshimu ninapokutana nao nitafunga biashara zangu, maana matangazo mengi ninayotangaza kwenye oulets zangu za Social Media kuanzia Instagram mpaka blog zinawalenga hawa vijana unaowaita vibaby baby, pole sana kwenye online business advert wanaolengwa na vijana unaowaita vibaby sio mtumzima kama wewe, hahahahahahahahah U know!!

Le Mutuz

so unawatangaza kuwatafutia mabwana au?
mbona hatuoni wakiwa na products zozote za za kampuni yoyote?
au kuwaanika kwenye mtandao unakuwa unawatafutia clients au customers ,acha kuwadhalilisha wadada wa watu wewe eti unawatangaza.
Alafu acha Ku brag wewe mzee,umemuajiri nani,wakati wewe mwenyewe jobless eti kupitia kampuni yangu,my nose Una kampuni wewe,khee na wenye kampuni tujiiteje..poor junk
 
Bavicha wanakesha Ufipa kufuatilia mgombea wa CCM.

Teh teh teh
 
so unawatangaza kuwatafutia mabwana au?
mbona hatuoni wakiwa na products zozote za za kampuni yoyote?
au kuwaanika kwenye mtandao unakuwa unawatafutia clients au customers ,acha kuwadhakilisha wadada wa watu wewe eti unawatangaza.
Alafu acha Ku brag wewe mzee,unemuajiri nani,wakati wewe mwenyewe jobless eti kupitia kampuni yangu,my nose Una kampuni wewe,khee na wenye kampuni tujiiteje..poor junk

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

- Mkuu sijawahi kuandikia mate na wino upo hii ndio ofisi yangu at Tancot House 2nd fl, ni ofisi ambayo zamani ilikuwa ya Mwapachu Meneja wa Air Tanzania zamani ipo hapa town kabisa opposite na Sukari House ni Ofisi ya "Blogu ya Wananchi Media Company Ltd", nimeanzisha Mwaka 2012 na sasa ina Vijana 5 wafanyakazi,

- Halafu unajua ni vigumu sana kusema njia ambayo hukuipitia ina maana kwamba wewe niliwahi kukutafutia wanaume ndio maana unajua hizo habari hahahahahahaha, anyways kama unataka kutangaza matangazo ya biashara yako online njoo hapa ofisini utasaidiwa wapo watu hapa nikiwa sipo, hahahahahaha

Le Mutuz
 
Bavicha wanakesha Ufipa kufuatilia mgombea wa CCM.

Teh teh teh

We mjinga kweli. Kwa hiyo unadhani umeongea point ya maana sana? Acheni kukariri! Hivi hao bavicha wangekuwa wajinga sana km wasingefuatilia anacjofanya mpinzan wao kabla ya kuingia ulingoni.Yaani Simba inajiandaa kucheza na Yanga iache kuofuatilia wanachofanya Yanga na kujua mbinu na udhaifu wao? Wewe kichekesho kweli?e
 
Wewe punguani mateka wa criminal Mbowe.
 
Back
Top Bottom