William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #101
Huyu mzee wake ime ripotiwa kalazwa hospitali kule kwa Malikia so sidhani kama hata anajua kinacho endelea kwenye vikao vya chama chake; tumwombee tu mzee apone haraka.
Wewe ni sample ya ubongo wa Watanzania wengi ulivyo dhaifu kwa kughiribiwa na porojo za Le Mutuz.
Mtu anayekula matapishi yake ni wa kuogopa kama ukoma hiki ni kipindi ni cha maopotunist kuanza kujipendekeza.
Kila mtu atakushangaa leo hii mtu kama Nape na Makonda waanze kumsifia Lowasa halafu eti uwasapoti Fact na Evidence ni kwamba Le Mutuz ameshausoma mchezo na ni very clear Lowasa ameshaiteka Ccm na Le Mutuz ni mmoja wa mateka aliyeamuwa kujisalimisha mapema ili akumbukwe hata Udc, Membe alishashindwa mchakato huu hata kabla hajachukuwa fomu.
Le mutuz waliotumwa kumshawishi jaji Ramadhani ni pamoja baba yako mzee Malecela, ambaye ni rafiki yake pia. FYI kundi la jaji yumo pia dada yako Dr Mwele ambaye baadae atagombea ubunge Mtera na huyo ndiye waziri wa Afya ajaye. So le mutuz kuwa mpole ukipata hata uofisa utamaduni wa wilaya si haba ila huko unakokimbilia siko!
Le Mutuz...CCM ummefika hapo kwa sababu zifuatazo
1. Kulindana
2. Unafiki
3. Kulea Rushwa ndani ya ccm na serikalini
4. Kuoneana haya
5. Kutofuata taratibu na Sheria zilizopo
6. Kudhani CCM ndo Tanzania
7. Majivuno
Achana naye kama Le Mutus ameanza kurejesha akili zake na Matola soon atarejea. Wakati mwingine tatizo ni kuvaa viatu ambavyo ni vikubwa unaishia kutafuta cheap popularity ya kitoto- nadhani unanipata
Siku ingine chagua lugha moja ya kuwasilishia hoja zako.ila lowasa lazima akatwe maana hakuna jinsi
Hahahaaa bosi wangu hapa unamaanisha dakitari Mwele?Kaongea ukweli fulani ingawaje hiyo nia yake nzuri imeshindwa kuonekana kwani huwezi kulalamika jahazi linazama katikati ya bahari badala ya wewe kuingia jahazi la uokozi bado unabakia kulalamika tu linazama...mtu wa ivyo nafikiri anahitaji maombi na ukombozi wa fikra.raisi dada yake le mutuz..
na le mutuz mwenyewe anakamata uwaziri mkuuu.
kitu ma party tu nchi nzima. wekend inaanzia jumatano
Haya ndo matatizo yako! Husomi unakurupuka, nakusifia kwa ajili ya hii sred ila unaharibu kwa majibu yako. Pole sana mhe.- Uwezo wako wa kufikiri na kuelewa ni mdogo sana, hii mada is too complicated kwa ubongo wako so please relax kaa pembeni usome tu maana kujadiili huwezi le akili ndogo!!
Le Mutuz
ni wewe le mutuz? sasa naanza kuamini kuwa utu uzima dawa.Kibaya ni pale unapopost vipicha na vi baby baby vya kibongo.watu hawakuelewi.Any way changes begins with you.big up le mutuz.ukuu wa wilaya viti maalumu?
Haya ndo matatizo yako! Husomi unakurupuka, nakusifia kwa ajili ya hii sred ila unaharibu kwa majibu yako. Pole sana mhe.
W. J. Malecela for the fast time you have spoken something with substance! Good turn though...
Kudos!
Hahahaaa bosi wangu hapa unamaanisha dakitari Mwele?Kaongea ukweli fulani ingawaje hiyo nia yake nzuri imeshindwa kuonekana kwani huwezi kulalamika jahazi linazama katikati ya bahari badala ya wewe kuingia jahazi la uokozi bado unabakia kulalamika tu linazama...mtu wa ivyo nafikiri anahitaji maombi na ukombozi wa fikra.
- Tofauti ya mimi na wewe ni moja mimi ni THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK na Vijana wengi ndio my clients, biashara zangu zote zipo kwenye Social Media ambapo pia ninamiliki kampuni ambayo ninaajiri Vijana wengi kwa hiyo hao unaowalalamikia ndio my clients sasa nisipowaheshimu ninapokutana nao nitafunga biashara zangu, maana matangazo mengi ninayotangaza kwenye oulets zangu za Social Media kuanzia Instagram mpaka blog zinawalenga hawa vijana unaowaita vibaby baby, pole sana kwenye online business advert wanaolengwa na vijana unaowaita vibaby sio mtumzima kama wewe, hahahahahahahahah U know!!
Le Mutuz
so unawatangaza kuwatafutia mabwana au?
mbona hatuoni wakiwa na products zozote za za kampuni yoyote?
au kuwaanika kwenye mtandao unakuwa unawatafutia clients au customers ,acha kuwadhakilisha wadada wa watu wewe eti unawatangaza.
Alafu acha Ku brag wewe mzee,unemuajiri nani,wakati wewe mwenyewe jobless eti kupitia kampuni yangu,my nose Una kampuni wewe,khee na wenye kampuni tujiiteje..poor junk
Bavicha wanakesha Ufipa kufuatilia mgombea wa CCM.
Teh teh teh
Wewe punguani mateka wa criminal Mbowe.We mjinga kweli. Kwa hiyo unadhani umeongea point ya maana sana? Acheni kukariri! Hivi hao bavicha wangekuwa wajinga sana km wasingefuatilia anacjofanya mpinzan wao kabla ya kuingia ulingoni.Yaani Simba inajiandaa kucheza na Yanga iache kuofuatilia wanachofanya Yanga na kujua mbinu na udhaifu wao? Wewe kichekesho kweli?e