CCM tumefikaje hapa tulipo?

Wills

agostino ramadhani anayo kundi na kundi lake ni membe na ndiye aliyetoa hukumu kesi ile ya walibya

cheki na jamaa wa pale st peter watakupa kila kitu mpaka transactions za pesa


jiulize ile kesi ilichukua miaka mingapi na yeye agostino alichukua muda gani na aliamua vipi?

Huyu ndio le mutuz ninayemkumbuka mimi. Hamumunyi wala haogopi.

Binafsi sioni mtu yeyete msafi na wala asiye na makundi ndani ya ccm. Huo ndio ukweli na william kauweka wazi kabisaa. Najua wengine watakuja ku mu attack personally lakini he's a man among jamiiforums boys

men lie women lie but fact based evidence dont lie
 
W. J. Malecela amezingumza ukweli usio na chenga hapa.... Kama mtu ni mtovu wa nidhamu ndani ya chama why tumekaa naye all those days leo ndio tuseme? Kifupi CCM kimepoteza misingi yote ya chama cha mapinduzi tulichokijua those days..... Wengine wanapofukuza wanachama wao walikiuka katiba ya chama tunawaona wamekosea..... Nadhani huyu mtoa mada ajiandae tu kushambuliwa sana ndani ya chama. Uzi huu sijawaona kina Lizaboni, Ritz, and the like....
 
Last edited by a moderator:

Le Mutuz...CCM ummefika hapo kwa sababu zifuatazo
1. Kulindana
2. Unafiki
3. Kulea Rushwa ndani ya ccm na serikalini
4. Kuoneana haya
5. Kutofuata taratibu na Sheria zilizopo
6. Kudhani CCM ndo Tanzania
7. Majivuno
 
kusema kweli mie always huwa namuona Le matuz ni mtu wa blah blah ILA leo amekuja na facts tupu kuhusu ccm. Bwana Le matuz siku zote uongo hutumia lift kwenda juu ILA ukweli hutumia ngazi lakini hufika japo huchelewa.Dhambi hii ya kutokuwa wakweli ndio inawatafuna hawa jamaa.
 
Na kama wanataka kutuambia Lowasa sio msafi watuambie yafuatayo;


  1. Nani waligawana zile fedha za stanbick (escraw)
  2. Simba Trust ambayo ni mbia wa PAP ni ya nani
 
Le Mutuz...CCM ummefika hapo kwa sababu zifuatazo
1. Kulindana
2. Unafiki
3. Kulea Rushwa ndani ya ccm na serikalini
4. Kuoneana haya
5. Kutofuata taratibu na Sheria zilizopo
6. Kudhani CCM ndo Tanzania
7. Majivuno

8. Nepotism

Halafu mtu ni/alikuwa kiongozi anazunguka huku na huko kwa kodi zetu leo aje na nyimbo. . . . anajiuliza na ku "theorize on obvious". . . . . . .kwa nini??!!!!
 
Inawezekana kesha nusa nusa toka dom kuwa lowasa tayari kapitishwa si unajua mzee ni kigogo?
Huyu mzee wake ime ripotiwa kalazwa hospitali kule kwa Malikia so sidhani kama hata anajua kinacho endelea kwenye vikao vya chama chake; tumwombee tu mzee apone haraka.
 

Wewe ni sample ya ubongo wa Watanzania wengi ulivyo dhaifu kwa kughiribiwa na porojo za Le Mutuz.

Mtu anayekula matapishi yake ni wa kuogopa kama ukoma hiki ni kipindi ni cha maopotunist kuanza kujipendekeza.

Kila mtu atakushangaa leo hii mtu kama Nape na Makonda waanze kumsifia Lowasa halafu eti uwasapoti Fact na Evidence ni kwamba Le Mutuz ameshausoma mchezo na ni very clear Lowasa ameshaiteka Ccm na Le Mutuz ni mmoja wa mateka aliyeamuwa kujisalimisha mapema ili akumbukwe hata Udc, Membe alishashindwa mchakato huu hata kabla hajachukuwa fomu.
 
Wewe una usomi gani? Mjinga kabisa wewe, watu wa mikoani mna matatizo sana, hivi hili jina la Malecela limekutoa akili kabisa!! Hopeless kabisa.


Kiongozi, hivi umeshawahi kuwa na argument bila kuwa vulgar? Manake sijawahi kukusoma ukachangia hoja kwa points hata siku moja. You ought to change your attitude katika hili, seriously..
 
Le mutuz waliotumwa kumshawishi jaji Ramadhani ni pamoja baba yako mzee Malecela, ambaye ni rafiki yake pia. FYI kundi la jaji yumo pia dada yako Dr Mwele ambaye baadae atagombea ubunge Mtera na huyo ndiye waziri wa Afya ajaye. So le mutuz kuwa mpole ukipata hata uofisa utamaduni wa wilaya si haba ila huko unakokimbilia siko!
 
Kiongozi, hivi umeshawahi kuwa na argument bila kuwa vulgar? Manake sijawahi kukusoma ukachangia hoja kwa points hata siku moja. You ought to change your attitude katika hili, seriously..
Achana naye kama Le Mutus ameanza kurejesha akili zake na Matola soon atarejea. Wakati mwingine tatizo ni kuvaa viatu ambavyo ni vikubwa unaishia kutafuta cheap popularity ya kitoto- nadhani unanipata
 
Hiyo ndiyo style ya uongozi wa JK ambaye wewe mwenyewe unamsifia, kwani aliposema wala rushwa nawajua, waache vinginevyo nitawachukulia hatua, alichukua hatua gani? Vivyo hivyo kwa wauza madawa ya kulevya, na mafisadi pia. Kwa hiyo aina ya rais tuliyekuwa naye ambaye pia ndiye mwenyekiti wa ccm unayoilalamikia ingawa unazidi kuitumikia, ndiyo imetufikisha hapo!
Sasa umeshakua ndiyo mfumo wa uongozi 'sema halafu usichukue hatua hadi muda wako wa ungozi unaisha - unapata pensheni yako na kula bata'. Na hii ndiyo sababu kila mtu anaona kuwa anaweza kuwa rais ! DAWA YAKE NINI?
 
Le Mutuz amesema ukweli mtupu ila kuna watu hapa hawako tayari kujadili facts wanaendekeza matusi na ushabiki. Iweje mtu ambaye mwenyekiti wa chama alisema "ALIPATA AJALI YA KISIASA" leo wanasema ni mwizi? Mbona hawakulikata jina lake alipoomba kugombea ubunge 2010? Mbona hawajawahi hata kumhoji katika kamati ya maadili? Mbona hawakumfungulia kesi ikiwa wanamfahamu ni mwizi? Jibu ni moja tu hapa WOTE NI WEZI Ila wanachofanya sasa hivi ni chuki binafsi zinazotokana na makundi yao FULL STOP.
 

Aisee kumbe Dr. Mwele anakwenda kugombea jimbo la Kibajaj la Mtera na kwamba Mwele ndiye future Minister for MoHSW?

Kwahiyo kuchukua kote fomu ya Urais wa JMT ni geresha?! Mimi nilikuwa nafikiri labda Dr. Mwele ndiyo Mgombea Mwenza wa Judge Augustine Ramadhani!
 

1. Are you serious ulisubiri hili ili kujua ukweli??!!
2. Ukweli hupoteza maana iwapo anaousema sio mkweli. . . . .na ndio hapo utata unaanzia. . . ."wanahubiri amani huku wameficha mapanga". . . . .lakini pia time ya kuusema huo ukweli ni muhimu kuzingatia

Hebu muulize frankly yeye ana ndugu wangapi huko chamani na nafasi zao. . . .halafu kama atakupa FACTS and EVIDENCES neno "ushabiki" utakuwa umelitumia sahihi. . . . .
 
ccm mtajibeba mwaka, hata hamjui mmfika hapa. mmefika hapa kwa ufisadi, unashanga nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…