CCM tumefikaje hapa tulipo?

wow! kwa aina ya mashambulizi anayopewa W.J.Malecela nina wasiwasi wagomvi wake ama hajaelewa alichosema au wako addicted/obsessed na kupinga kila anachosema le mutuz!
 
wow! kwa aina ya mashambulizi anayopewa W.J.Malecela nina wasiwasi wagomvi wake ama hajaelewa alichosema au wako addicted/obsessed na kupinga kila anachosema le mutuz!

Hivi kuna ugomvi pia??!!
Change inaweza kutokea ndani au nje ila agent wa kufanya mabadiliko kutokea ndani hawezi kuwa mtoa hoja sababu mfumo huu unamnufaisha sio kweli kuwa anataka mabadiliko ila kuna linalomsukuma na sio jambo la kudumu, hawezi kutaka kukata tawi alilokalia mkuu. . . . .

Hizi nyimbo kipindik hiki sio sawa. . . . .
 

William, fanya haraka uupenyeze ujumbe huu kwa CC ya Chama chenu maana inasemekana wanataka kufanya hiki ulichokiandika hapa ''ili kuua makundi'' ya Lowassa, Membe na Mwandosya.
 
Le Mutuz mbona mnapenda kuzunguka mitaani mkimlalamikia mke wenu CCM ilhali mnamzalisha na kumhudumia mahitaji yake yote...??
Tutawaelewa vizuri mkimpa talaka huyo mke wenu...!!
 
Nimekuelewa sana mkuu,wakina Kikwete wanapiga kelele ndani ya chama.kuna joka lenye ndimi mbili na.hakuna hatua zinazochukuliwa ndani.ya chama,wanasubili kuja na chinja chinja baada ya joka.kudhuru watu...hii sio demokrasia
 
Mods mnafuta coment za watu kwanini, kuna mtu hamjui huyu pathetic lemutuz. ...
 

Hapo kwa mwigulu umekosea let me clear you with Evidence.
View attachment 266584 January makamba mbeya alipokwenda kuomba wadhamini

hapa ni Arusha
 
ntarudi, wacha niende gym kwanza
 
wow! kwa aina ya mashambulizi anayopewa W.J.Malecela nina wasiwasi wagomvi wake ama hajaelewa alichosema au wako addicted/obsessed na kupinga kila anachosema le mutuz!

Mkuu huyu jamaa.anajuwa alichokiandika hapa.reaction za wana jamvi zinamsuta.huoni kakaa kimya.?
 
Sawa iwe vyovyote agenda yake ya moyoni ,unadhani aliyoyasema hayana mantiki?na unafikiri ni busara kumhukumu kama W.J.Malecela au ni vyema tuihukumu hoja aliyoileta jamvini kama mwanajamvi yaani tujifanye kama mtu tusiye mfahamu kabisa kama vile mimi na wewe ambapo mwanzo na mwisho wa kufahamiana kwetu ni hapa tu.
 
- .... maana mtu una mke wako unaishi naye unakuja mtaani kulalamika kwamba hafai lakini the next thing ana Mimba yako wewe mwenyewe now next time ukisema mke wako hafai ninakusikilizaje? ...

Kwani Lowassa ni 'mke' wa nani hapo ccm?
 
Tulia tu mkuu, uvumilivu na amani ndio imetufikisha hapa kwa mujibu wa viongozi. .. . . .so usituharibie amani na utulivu kisa tu leo unataka kuamua lako ndio utake FACTS na EVIDENCE. . . . . .

Yaani nyie watu mna matatizo sana

William anaharibu vibi amani kwa hoja yake hii

Unajua ninyi mijitu ya CCM mnaudhi sana
 
Muda mwingine tupime hata kwa picha mwigulu akizungumza na wadhamin wake .

UTAKUBALI UKATAE MAPOKEZI YA JANUARY MAKAMBA MWANZA
View attachment 266596

Hapo vipi Dalali kila mahali upo choose ua battle wisely
 
umeongea ukweli mtupu, wangekuwa hawatakiwa ilipaswa hata fomu wasipewe.
 
Wewe una usomi gani? Mjinga kabisa wewe, watu wa mikoani mna matatizo sana, hivi hili jina la Malecela limekutoa akili kabisa!! Hopeless kabisa.
Huyo ni Matola at his level best. Umesomeka, acha jazba kila wakati nakuhusia kujenga hoja si matusi. Hata wewe ipo siku tutakurudisha katika utu uzima baadala ya kujaza utoto kichwani.
 
wow! kwa aina ya mashambulizi anayopewa W.J.Malecela nina wasiwasi wagomvi wake ama hajaelewa alichosema au wako addicted/obsessed na kupinga kila anachosema le mutuz!
Mnyonge mnyongeni lakini hali yake apewe, acha wabwabwaji kama Matola waendelee kubwabwaja tu. Ni vyema tukawa na utamaduni wa kuchambua andiko bila kuwa biased.
 
Demokrasia ya kweli ni ipi!!?? kila demokrasia ni ya kweli, inategemea na mazingira... Ulipokua "unaishi" demokrasia inaruhusu mambo ambayo huku kwetu ni mwiko.... Kule kiongozi akiwa na mchepuko ni scandal, huku ni sawa tu coz sio ishu... So, nadhani chukulia poa tu haya yanayojiri...
 
tumefika apa by escrow, wengine mabehewa feki, wengine majengo pacha, wengine meremeta,, wengine richmond, wengine kiwira makaa ya mawr, wengine kubinsfsishwa. nbc, n. k ila kwa ujumla wote tumefika apa tulipo.
 
CCM Imefika hapa kama matokeo ya mchakato wa miaka mingi ulioanzia Zanzibar pale walipopitisha azimio la kificho la Zanzibar lililohitimisha like za Arusha. Kilichofuata ni historia.
 
siku zote huwa nakuona wewe kama mtu mmoja ambaye hana upeo mzuri wa kufikiri kwa kina. leo napenda kusema kiukweli umeongea mambo ya maana sana. nasema toka moyoni maneno ambayo umeongea yanaonesha umekomaa, umekua, umesoma zaidi ya wasomi wetu hawa wanaochumia tumbo . kama ukisimama kwenye mstari huu kweli nakwambia watu wenye akili na uelewa watakuwa upande wako na wengi watakuunga mkono ktk harakati zako kama ni njema. tumechoka kusikia siasa za chuki,visasi na zisizo na uhalisia. Lowassa amesemwa sana kuhusu Richmond, tumemchukia sana, amechafuliwa sana lakini mtu huyu watu wengi bado wanamkubali sielewi kwa nini....

Najiuliza hizo pesa anazotumia kuwanunulia watu ni tsh ngapi? na kwa nini asikae tu ale pesa zake kama hivyo? lakini kwa nini pia watu waione kuwa ni mchafu kiasi hicho? hebu wananchi wenyewe wahukumu. kweli miaka hii wananchi hawachagui chama....CCM inaweza pata shida sana ikilazimisha watu wake.

sikuwah kumpenda lowassa lakini tukubali tusikubali huyu mtu anafahamika sana na ana watu wanampenda. inawezekana sisi hatumpendi.hebu tuwaachie wananchi mtu wamtakaye halafu baada ya miaka 5 tuseme huyu ndo mlimtaka sasa mmeona? yupo mwingine bora.

wananchi wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta kwa vyama pinzani. hawa watu wapewe uwanja sawia wa kushindana....watu waamuliwe kwa kura na busara itumike kusikia watu wanataka nini na kwanini.

Leo kukweli umeongea jambo la maana naanza kuwaza mara mbilimbili kuhusu huu ushabiki wa kutaka mtu flan akatwe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…